A call for Kikwete to resign his presidency

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,185
59
Dear President Kikwete,

Just Because....

that you have failed us over and over again that you have not worked hard to fight corruption that you seem to not remember any of your promises that you have made criminals your best friends, that you have demonstrated cowardice and incompetence, that your "unnecessary massive" government has impoverished us of your reckless spending, of your careless embezzlement, of your deliberate actions to divide us

You are a sell off, you are taking us for a ride, you don't remember that we exist, you have taken our land from us, you have robbed our savings and our future, you have not taken time to listen to us - your employer

.....

just because... you don't seem to care ... it doesn't get to you whether we die or live...

just because.... of all these and many more...

I am asking you for the sake of our people and our nation, for the sake of our kids and grand kids, for the sake of our united republic, for the sake of our .. yeah future.... to spare us this looming danger.

I am calling for you to resign your presidency effective immediately so that we can start to build our nation again without you as our commander in chief and president.

Yours in pain!

Mwafrika wa kike - 2008!
 
Mwafrika wa Kike,

Nipo pamoja na wewe katika kilio hiki. JK will be considered a National Hero akichukua hatua hii katika kuliokoa Taifa ambalo kwa Makusudi ameamua kuliangamiza.

JK, Kuna ufahari gani wa kuwa Rais mwenye Qualities ambazo ni kinyume na yale ambayo wananchi wako wanataraji kutoka kwako.?

Umeamua kukumbatia Mafisadi na Kusahau wale ambao walipanga mistari siku nzima ili wakupigie Kura, Wakitegemea Maisha Bora kwa Kila Mtanzania!Yako Wapi?

Muda umefika wa wewe kuyakabili haya kiume na kiungwana!!!

STEP DOWN!
 
Mama hapa kazi unayo ni sawa na kumpigia paka gitaa ukitegemea acheze. Mwenzio yuko ktk starehe anajua urais alioupigania ila astarehe ameukwaa na yupo anakula zake pensheni kama mstaafu vile kumbe yuko mzigoni.
 
Najua atabrush off wazo hili na kama kawaida yake atasema kuwa hizo ni kelele za wapinzani. Kama nchi inateketea namna hii na huku yeye anasafiri nje ya nchi bila kujali gharama za maisha na ugumu wa maisha ya watanzania basi hakuna chochote kitakachosemwa.

Mimi nasimama nihesabiwe katika hili. Najua huu msimamo hautafurahisha wengi akiwemo mama yangu ambaye yeye anampa JK hadi 2010, lakini ni kosa kukaa kimya wakati mambo yakiharibika kiasi hiki.

Sitaki kuwa yule atakayesema baadaye kama Ngabu anavyosema hapa kuhusu JK - I told you so ....
 
Huyu jamaa anaipeleka nchi pabaya.
Kwanza hakuna strategies zozote za kuuinua uchumi wa nchi hii, matokeo yake tumeona shule zimeanza kufungwa mapema kwa kukosa chakula. wazabuni wanaanza kuishtukia serikali kwani haiwalipi. Mfumuko wa bei ni mkubwa kuliko maelezo. Njaa ndiyo hiyo. Si punde mishahara ya watumishi wa umma wataanza kupata baada ya miezi 3 au zaidi.

Ndugu WanaJF natoa WITO
Wewe kama uko nje ya nchi au ndani ya nchi unapata pata pesa na una baba na mama au ndugu wengine ambao unajua wanakutegemea kwa namna moja au nyingine kule kijijini kwetu anza mpango wa kutuma pesa sasa wakati wa mavuno ili wanunue chakula na kukihifadhi vizuri. Baadaye hili litakuwa ni tatizo kubwa Believe me, tuombe Mungu mtu asife kwa njaa.

Serikali hii haieleweki, usiitegemee kama ilivyofanya 2006 kwani serikali iliyopita ilikuwa na pesa ingawa walikuwa wezi. Jamaa ataanza mguu na njia na konge la wanamtandao kuomba msaaada wa chakula huku akifika analala hoteli sawa na anaowaomba msaada. Atatumia tripu hizi kujirusha kinoma.
 
hajiuzulu mtu hapa, na tunasonga mbele kuleta maendeleo kwa ari kasi na nguvu mpya
 
Na huko Arusha anavyojivimbisha kichwa na misifa ya hao wanaoendelea kumsifia huko wakimg'ong'a! Atakuja kusema nyie semeni tu "wenzangu" wamarekani wanaona kazi nzuri ninayofanya!

Amesahau kabisa sisi ndio wadau wake!:( hata wale ambao hatukumpigia kura kwani "demokrasia" imeturuhusu kufanya hivyo. Tunaendelea kutaabika na kupigika wakati yeye anamwaga tabasamu lake lililowavuta hata wenye uwerevu kumpa kura!

Nikimwangalia katika mkutano unaoendelea Arusha nazidi kuumia jinsi asivyo na hata chembe cha haya! Amewageuza hao "nduguze" wanaogusana mabega huko Arusha, kuwa wapiga kura wake...kwa hao akiambiwa Jump, while on air he will ask "how high"
 
Ukishasujudia wamarekani wataendesha hii serikali kama yao.
Hata maaskofu waliokuja na hili chaguo la Mungu wao nao wametubu na kuona
Maisha si bora kwa kila mtanzania.
 
Na huko Arusha anavyojivimbisha kichwa na misifa ya hao wanaoendelea kumsifia huko wakimg'ong'a! Atakuja kusema nyie semeni tu "wenzangu" wamarekani wanaona kazi nzuri ninayofanya!

Amesahau kabisa sisi ndio wadau wake!:( hata wale ambao hatukumpigia kura kwani "demokrasia" imeturuhusu kufanya hivyo. Tunaendelea kutaabika na kupigika wakati yeye anamwaga tabasamu lake lililowavuta hata wenye uwerevu kumpa kura!

Nikimwangalia katika mkutano unaoendelea Arusha nazidi kuumia jinsi asivyo na hata chembe cha haya! Amewageuza hao "nduguze" wanaogusana mabega huko Arusha, kuwa wapiga kura wake...kwa hao akiambiwa Jump, while on air he will ask "how high"

hii ya sullivan hata yeye amegundua vile ameuzwa na tapeli young na wenzake. Muda si mrefu, watanzania wamuulize kiasi cha pesa kilichotumika kugharimia mkutano huu na kimetoka wapi.

Kwa mengine, imani niliyokuwa nimeanza kujenga kwa Kikwete imepotea na ameniangusha kabisaaaa. Sina imani naye tena na sitegemei tena chochote toka kwake.

Amenitisha kwa jinsi anavyocheza na issue ya muafaka wa cuf na ccm kule zanzibar. This is too much, nimechoka kusubiri kwa gharama ya watoto wangu na wajukuu zangu!

Kikwete should resign now... Shein anaweza kumalizia kipindi kilichobaki.
 
Not in the least defending Kikwete, neither tempted to participate in this noble -if quixotic- gesture.

But just curious,

Is it characteristic of a literate society to be critical of its leadership (perhaps even just critical, period) regardless of performance?
 
Na huko Arusha anavyojivimbisha kichwa na misifa ya hao wanaoendelea kumsifia huko wakimg'ong'a! Atakuja kusema nyie semeni tu "wenzangu" wamarekani wanaona kazi nzuri ninayofanya!

Amesahau kabisa sisi ndio wadau wake!:( hata wale ambao hatukumpigia kura kwani "demokrasia" imeturuhusu kufanya hivyo. Tunaendelea kutaabika na kupigika wakati yeye anamwaga tabasamu lake lililowavuta hata wenye uwerevu kumpa kura!

Nikimwangalia katika mkutano unaoendelea Arusha nazidi kuumia jinsi asivyo na hata chembe cha haya! Amewageuza hao "nduguze" wanaogusana mabega huko Arusha, kuwa wapiga kura wake...kwa hao akiambiwa Jump, while on air he will ask "how high"

Anapenda sifa kweli bwana huyu, but I bet that 'resign' has never occured as one of the options. I just wish angebaki kuwa Minister for foreign Affairs coz anapenda kusafiri nje ndugu huyu!
 
Rais ambaye ameshindwa kushugulikia wezi wakati ana ushahidi wa kutosha kabisa. Kama ameshindwa hili ataweza lipi? Watu wamechota pesa wanaishia eti kujiudhuru na kuendelea kula pesa zao vizuri. Kweli watanzania wamepata.

Nafikiri Rais wetu aliwahi kugombea kiti cha Urais, muda wake ulikuwa bado.
 
Na huko Arusha anavyojivimbisha kichwa na misifa ya hao wanaoendelea kumsifia huko wakimg'ong'a! Atakuja kusema nyie semeni tu "wenzangu" wamarekani wanaona kazi nzuri ninayofanya!

Amesahau kabisa sisi ndio wadau wake!:( hata wale ambao hatukumpigia kura kwani "demokrasia" imeturuhusu kufanya hivyo. Tunaendelea kutaabika na kupigika wakati yeye anamwaga tabasamu lake lililowavuta hata wenye uwerevu kumpa kura!

Nikimwangalia katika mkutano unaoendelea Arusha nazidi kuumia jinsi asivyo na hata chembe cha haya! Amewageuza hao "nduguze" wanaogusana mabega huko Arusha, kuwa wapiga kura wake...kwa hao akiambiwa Jump, while on air he will ask "how high"

Kweli bado safari ni ndefu sanaaaa...., sijui mkombozi atatoka wapi!
hawa jamaa ni michwa hawatujari kabisa, tunabaki tukilalama wao mashavu dodo.

Eti leo naye Sumaye yuko ndani yabanda, akisifiwa kama PMaliyepita, daaaa!!, hapa haponi mtu.
 
Not in the least defending Kikwete...But just curious,

Is it characteristic of a literate society to be critical of its leadership (perhaps even just critical, period) regardless of performance?

Are you wondering whether Kikwete is performing well?
 
Are you wondering whether Kikwete is performing well?

I was asking myself the same question! Au ni kiongozi yupi anaongelewa hapa? Maana huhitaji REPOA kufanya kipima joto kujua performance ya JK kwanza ukiwataka wao wafanye watapindisha matokeo au watayatoa katika mazingira ambayo yamefanyiwa some editing ili kutumia maneno ya kidiplomasia wasimchafue mtu
 
Are you wondering whether Kikwete is performing well?

No,

I am wondering whether the original post, complete with lack of specifics, is overly quixotic.

I was reading somewhere on how people use their tax rebates, one Mwafrika wa Kike type was furious about the Bush administration and its "Bushit", so she was like as soon as I get my tax rebate mula I will start a fund to impeach Bush and try him for war crimes.

Come the rebate check the gal went and paid a small portion of her debt!

If we entertain farfetched thoughts like pressuring Kikwete to resign, we should adopt farfetched sommersaults, like leaving the comfort of the keyboard and protesting at the embassy on the fourth instead of barbecuing.

This wishful thinking criticism business, quixotic and devoid of realism, without action, especially the disquetingly and unashamedly unearthly sort -short of divine intervention that is, and you know how much stock I have in that- is diverting attention from a detail approach of what can and should be done, like a call to reduce the size of the government, a decrease in unnecessary foreign trips, organization of the opposition, constitutional change etc.

Moreover, as I have stated here several times, our problems are systemic and not because we have one bad leader.What if Kikwete resigns and the toothless Shein proves to be a worse procastinator than Kikwete? What if the spy Pinda plunges our country into a totalitarianism that would make Orwell's 1984 look like a comic book?

We need systemic changes, not cosmetic ones which this "Fulani has to go" mbius seems to be all about.

Let's not kid ourselves, are we shouting and jumping to have Kikwete resign just because it feels good and gives us inspiration or do we really believe that this can happen while we cannot even reach consensus to petition an official signed document?
 
No, I am wondering whether the original post is overly quixotic.

Original post called for Kikwete's resignation because of performance. You questioned whether leaders are being criticized regardless of performance. Then you were asked whether you are wondering that Kikwete is performing well. And your response is you are questioning whether the original post was imaginary.

Unless you think that Kikwete may be performing well, then you can not wonder whether the original post calling for Kikwete's resignation was made regardless of perfomance. Ok!

I do not mind where you stand, I just have more respect for a man who let's me know where he stands. So, stand up an be counted!

Let's try again. Since the original post is blasting Kikwete's performance, and you are questioning whether that criticism was made regardless of performance, are you allowing the possibilty that Kikwete is performing well?
 
Back
Top Bottom