Rais Kikwete, toa tamko kuhusu mafuta: Tunaumia wananchi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete, toa tamko kuhusu mafuta: Tunaumia wananchi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfu Lela Ulela, Aug 8, 2011.

 1. A

  Alfu Lela Ulela JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,255
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Napata uchungu sana napoona serikali yetu ilivyo dhaifu, kiasi hata inashindwa kusimamia maagizo yake.

  Serikali ilitoa agizo la kushushwa kwa bei ya mafuta. Tena agizo likasisitiza kuwa wafanyabishara wa mafuta watakaofunga vituo kwa kisingizio chochote watakiona.

  Lakini wiki moja imekwisha bila agizo hilo kutekelezwa. Vituo vimefungwa na serikali badala ya kuchukua hatua eti inawaomba wamiliki wa vituo wapunguze bei.

  Nimemsikia afisa mmoja wa EWURA akisema "tunatoa wito vituo vyote viuze mafuta." alitoa kauli hii baada ya kutembelea vituo tisa na kukuta ni vitatu tu vyenye kutoa huduma.

  Hivi Serikali huwa inatoa wito au huwa inaagiza? Serikali inayoshindwa kutekeleza maagizo yake ni serikali ya hovyo sana.

  Jamani, Serikali hii haina sababu ya kuendelea kuwepo.
   
 2. N

  Neng'uli Senior Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa tunaumia sana, Ni aibu tupu huku mtaani, ajali mbaya zinatokea kutokana na magari kuzima yakiwa njiani kutafuta mafuta,

  Mzee, mbona uko kimya, mbona U.S au U.K chochote kikitokea utaona mara moja Raisi anatolea ufafanuzi. TZ kuna nini?
  Editor please send this message to top Leaders,


  Kesho itakuwaje kwenda ofisini
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Nitakuwa bega kwa bega kumung'oa huyu mkoloni mweusi!!
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo mkusanyiko uanzie wapi kesho?napendekeza viwanja vya gymkhana-nyuma ya zamani movenpick hotel
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  He he he....sitaki kutoa comment yoyote hapa itakuwa Nongwa!
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mhhh......twende zetu kule kwenye tabia za wanyama mpenzi......hapa sio kabisa
   
 7. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unataka atoe malalamiko au tamko.
  Hivi ulishaona mtu mlalamishi anakemea au kuwa na msimamo, msitegemee atoe tamko, akijitahidi sana atajitokeza na kulalamika,
  huku akidai anasikitishwa sana na hiii hali.
  Mimi wala sitegemei jipya, yupo yupo tuu.
   
 8. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ah kiongozi wangu!
  Haya fuata ushauri wa Preta..
  Tukutane kule kwenye Njiwa, Mende, Nyuki... lol
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  ina maana hajasikia ynayotokea egypt,malawi na nchi zinginezo? Anafikiri yeye ni special saaana ee.
   
 10. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  well,
  nani kakuambia JK ana matatizo ya mafuta?
  hii imekula kwetu na hakitoa kauli atasema '
  mimi huyu raisi na serikali yake nilisha mtoa akilini sana hatakuletea magonjwa ya moyo tu
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Nimemuona anafuturu na watoto yatima na leo yupo na mashekhe wengine wakila futari.......mambo mepesi mepesi
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  oh Yeeesss sugarpie ! Pls twende kule kwanza muda wenyewe ndiyo huu huku kwenye siasa stress tupu.

  JouneGwalu,

  Ha ha haaa,hata wewe mkuu? Haya natangulia kule mkuu....
   
 13. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Korogwe- Tanga petrol inauzwa in a black market Tshs. 2,500
  badala ya Tshs. 1,950 kama serikali inavyotaka.
  but none defend us.
  Tanzania kwisha kabisa
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Mtamwonea bure mtu wa watu hata yeye nasikia analalamika hivi hivi.
   
 15. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tena malalamiko yenyewe hata yatoa kavaa suti yake ya jeans
  Ndio maana wazee kama msuya wanasema wazi wazi watampigia kampeni LOWASA kama
  akichukua form maana haoni tofauti ya huyu mpangaji wetu wa magogoni.

  kuna mchezo mmoja siku hizi ukiwambia ukweli wao wanaongelea barabara vimejengwa nyingi
  hii inakuwa hatua moja mbele hatua kumi nyuma sijui kama uwanja utatosha lazima tutoke nje ya geti la karni 21

  yaani tuna migao mingi UMEME, MAJI, SASA MAFUTA KILA GARI LITA 5, MGAO WA KEKI YA TAIFA ( HAPA NI WANA MAGAMBA TU),
  MGAO WA URAISI ( ZANZIBAR NA BARA/ DINI ), MGAO WA BARABARA NA SASA JK VYEO ANATOA KWA MGAO DINI UMEZINGATIWA
   
 16. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wanasafiri vipi na mafuta hakuna, si magari ya ikulu nasikia yanajaza sheli za uswahili, sasa wamepata wapi mafuta
   
 17. babuwaloliondo

  babuwaloliondo JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watanzania tunadhani kuwa huduma muhimu ni favor, Na tukizipata tunaona ni tunasaidiwa.
  Kama kweli watu wanajali, basi tuchukue hatua. Sio kulalamika.
  Kikwete hawezi tena kutatua matatizo ya nchi hii. Hana ujasiri wakuwakoromea hawa watu hana.
  Pamoja na wabunge wake wa ccm(wengi wao) ambao wamekuwa wakiitetea serekali kana kwambwa wanaishi nje ya Tanzania.
  Tusitegemee solution yoyote kutoka kwenye serekali legelege.
  Baada ya muda watajitokeza na kuamua kusalimu amri kwa hawa jamaa, kama walivyo
   
 18. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kuna kitu Mungu anataka kukifanya Nchi hii. Hata kama watanzania hawawezi kufanya chochote kwa serikali iliyoshindwa,
   
 19. F

  Freynock17 New Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa yupo yupo tu hawez kutatua tatizo lolote, yan hamna kitu anafanya... Ngoja tusubiri tuone ila Tanzania itakombolewa na Watanzania wenye uchungu na nchi yao na sio Jk
   
 20. B

  Baraka Kitale Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona bora rais asiwepo tujue moja wala eura wanatutesa tu
   
Loading...