Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,589
- 1,679
Punde kidogo hivi, shirika langu limeniambia kuwa limeamua kugeuza sehemu ya mkutano wake mkuu kutoka Tanzania. Hili ni shirika la kimataifa na kwa muda wa miezi kadhaa sisi wengine tumekuwa tuki lobby kando kando mkutano huo mkubwa- zaidi ya watu 200 wangeshiriki- ufanyike Tanzania.
Kwanza hilo lilipitishwa mnamo miezi miwili iliyopita. Narudi kutoka likizo naambiwa uamuzi huo sasa umegeuzwa (overturned) kutokana na sababu za (logistics)......... Kubwa ya sababu zilizoelezewa ni 'umeme wa kubahatisha!'