Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rai yangu kwa wana Arusha na CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwana wa africa, Aug 8, 2011.

 1. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  maamuzi magumu yaliyochukuliwa na cc ya cdm kuwavua uanachama madiwani watano wakaidi ni kielelezo cha dhamira ya kweli ya chama makini kusimamia sheria na taratibu sahihi katika kuiongoza jamii. aidha uamuzi kama huu unaweza kuchukuliwa na baadhi ya watu kama mtaji wa kisiasa kuwatumia madiwani hao wakaidi katika ajenda zao za kutaka kukibomoa au kukiyumbisha chama. kutokana na hali hiyo ni vyema busara zaidi ikatumika kuwapa wananchi hasa wa arusha taarifa sahihi kwa kutumia vikao na mikutano ya hadhara katika kueleza kwa ufasaha na dhamira iliyopelekea maamuzi haya kufikiwa . zaidi sana viongozi, . aidha kwa viangozi wakuu wa cdm (mbowe na timu yake kwa kushirikiana na ofisi ya waziri mkuu kutumia wakati huu kusukuma kwa nguvu zaidi jitihada za kutaka kuleta utengamano wa kisiasa katika jiji hilo ili kumaliza suala hili.
   
 2. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Umenena!
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  well said!
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tuko pamoja tunaheshimu maamuzi ya kamati kuu! Tutawaunga mkono wagombea wapya
   
 5. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  sijui kwa nini watu wengine wanachukulia hatua hii ya Chadema kama failure? Mi sioni failure yeyote hata kama Chadema watashindwa kurudisha hayo hizo kata zinazoongozwa na madiwani hao, na hivyo kupoteza Halmashauri ya jiji la Arusha.
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Nakuunga mkona!ni dhahiri wataibuka wengine wengi na kuwapaka matope cdm,thus wachukue hatua ya kuwajulisha wananchi na watu wa Arusha sababu zilizowafanya kuchukua maamuzi magumu!big up cdm!mmewaonyea njia wale vilaza wakuhesabiana siku!
   
 7. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani sikuwahi kuona chama komavu kwenye maamuzi kama CHADEMA.Mwenye kusema na aseme ila Ukweli uliotukuka upo pale pale kwamba maamuzi ya cc ya CHADEMA ni ya kuheshimiwa na yanaonesha jinsi chama kilivyojipanga kupambana na wala rushwa hadi za sh.5000 ili kukaidi maelekezo ya Viongozi wao.
   
 8. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mwana wa africa umefunguliwa toka ban?
   
 9. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Nchi ya kusikilizia tunaendelea kusikilizia uchaguzi mdogo!
   
 10. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Wahenga wanatuambia, "vita vya panzi, furaha ya kunguru!" Binafsi, sikubaliani na misimamo ya wanazi wa cdm! Bado siamini kwamba best option ya kutatua migogoro kwenye vyama ni kutimuana! Historia inatuonesha kwamba, NCCR ilipotea kwenye ramani kutokana na mtindo huu huu wa kutimuana timuana kwa kile ambacho na wao walikiita kuondoa mamluki! Viti 3 vya ubunge ambavyo leo hii vipo NCCR kule KGM na matunda ya staili hii ya cdm! Ina maana hiyo ndiyo pekee ya kutatua migogoro ndani ya chama?! Am afraid kwamba staili hii ya msimamo mkali itaipeleka cdm pabaya! Na busara unayoihitaji mtoa mada ni kwamba ilishaachwa kutumika tangu kitambo! Ni kwanini uongozi wa juu wa cdm haukuenda Arusha kama ambavyo madiwani wale walivyokuwa wanadai?! Haiwezekani nusu ya madiwani wamlalamikie Lema na kuomba uongozi wa juu kwenda kuchunguza na bado uongozi ukapuuza maombi hayo!! Ni wapi hiyo busara?! Ningekuwa ni mpenzi au mwanachama wa cdm basi nisingesita kusema waziwazi kwamba staili ya uongozi ya akina Lema haitafikisha cdm pale inapotakiwa kufika!! cdm watakuwa wanafanya kosa sana wakihadaika na wapiga pinje wa JF ambao wengi wao sio wapiga kura! Mwenye macho haambiwi tazama, kwa mtindo tutarajie mabaya kwa cdm.
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Migogoro na timuatimua ni dalili tosha ya chama kinachoyumba. Hao jamaa ndiyo walikuwa nguzo ya CHADEMA Arusha na kuwafukuza ni kujichimbia kaburi. Watajipanga, watarudi kuwpa kichapo kitakatifu hadi mjutie maamuzi yenu ya kukurupuka. Kwanza mliwapa nafasi ya kujitetea? Mlisoma mazingira ya mgogoro? Mlirekebisha tofauti?
   
 12. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ni kweli LAKINI HAYAKUHUSU
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Umejitahidi sana kuchangia; bahati mbaya michango yako yote imeelemea kwenye kukizana na CDM. Maswali yako hapo juu yana majibu humu humu na huko nyuma, ila kwa upuuzi au ufinyu wa uelewa wako unajifanya kama chizi ili mradi uudhi na upotoshe hoja. GROW UP
   
 14. K

  Kalamunzu Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ....Ni uamuzi mgumu; lakini makini sana na wenye muelekeo wa kujenga nidhamu ya chama. Haiwezekani watu waamue kufanya watakavyo kwenye mambo nyeti na muhimu kwa maslahi ya chama ilhali chama kikae kimya bila kuwachukulia hatua za kisheria kwa mujibu wa taratibu na au kanuni zinazoendesha chama. Wanachama waliyovuliwa uanachama watambue kwamba walichofanya ni utovu wa nidhamu na hujuma kwa chama. Kwa jinsi hii, wananchama wengine wa CHADEMA Arusha na kwingineko Tanzania na nje yake watambue kwamba chama ni taasisi na si mtu na au watu wachache wenye malengo ya kibinafsi. Kwa pamoja tukubali maamuzi ya Kamati Kuu kwa mujibu wa Katiba ya Chama.
   
 15. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  haya ndiyo yanaitwa maamuzi magumu ambayo ccm haiwezi kudhubutu kuyafanya.bado shibuda tumalize kesi
   
 16. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huu sasa ndio mwisho wa Chadema. Hakika Chadema wameshindwa kusoma alama za nyakati kama walivyoweza kwa Shibuda.

  Natabili hata uchaguzi wa madiwani ukirejewa kwenye kata hizo zote tano CHADEMA watapoteza,

  Dr Slaa na Mbowe wanawapeleka pabaya Chadema.
   
 17. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Naamini CCM wangekuwa wanachukua maamuzi magumu kama haya TUNSINGEKUWA TUNATESEKA HIVI. hata siku moja mtoto hawezi kuwa juu ya wazazi wake,walitumwa wakagombee Udiwani na CDM na sio familia zao kama wamekiuka sheria za chama ulitaka wawe rewarded kama akina JAIRO; Lowasa,Chenge na wengineo?
  Kama unasubiria chama kife kwa maamuzi sahihi pole saana
   
 18. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt; ww ongelea migamba yenu achana na Cdm. Halafu ww m.¤*a@Nge umerith mikoba ya Yahaya Husein yule aliyekuwa mlinzi wa MKUU wenu?
   
 19. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Mkuu kumbuka uongozi wa chama haukukurupuka bali walituma timu iliyokuja kukaa nao na waliona kilichopo jikoni. Kama ilifikia hatua ya kuwatimua basi tujue palikuwa na mazingira ambayo jibu lake ndio hilo cc ya chadema imechukua. Tunajua mtasema vingi sana kuhusu kukosoa chama lakini hakita yumba, vijana wanataabika mitaani wamevumilia vya kutosha. Hapa ndio tutajua wanaotaka madaraka ya kuwababaisha wananchi, na wasipoangalia vizuri ile kesi itawajeukia kwa kuwarubuni wananchi ili kupata madaraka. Tunakiu ya kuongozwa kisheria tumechoshwa na ubabaishaji usiokuwa na msingi.
   
 20. p

  plawala JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama hatua iliyochukuliwa na CC ya CDM itaiponza basi na iwe hivyo,kuna tofauti kbwa sana kati ya NCCR na CHADEMA,subiri uone
   
Loading...