Misaada au balaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misaada au balaa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eiyer, Aug 9, 2011.

1. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#1
Aug 9, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,654
Trophy Points: 280
Hivi kuna nchi yoyote duniani imepata maendeleo kutokana na misaada inayoletwa na tunaowaita wahisani?Au ndo inatuongezea umaskini?Mi najua maendeleo tunajiletea wenyewe!China,Marekani,Uingereza,Ujerumani n.k nani aliwapa misaada?

2. Likwanda

Likwanda JF-Expert Member

#2
Aug 9, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 3,854
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
kivipi? Hizo nchi zilikopa ndipo zikajiendeleza.

3. Keren_Happuch

Keren_Happuch JF-Expert Member

#3
Aug 9, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 1,880
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Yapo maendeleo kwa watu binafsi......................:(

4. F

FUSO JF-Expert Member

#4
Aug 9, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 11,833
Likes Received: 2,304
Trophy Points: 280
as a nation YES tumepoteza dira na mwelekeo kabisaa katika suala la maendeleo lakini as individuals maendeleo yapo kibao- watu wana vijicenti nje ya nchi na majumba kama yale ya holwood.

Overall hili tatizo ni hatari sana kwa taifa, maana kuna siku hii amani itatokweka kabisa na kuirudisha itakuwa ndoto, yaani kum control mtu mwenye njaa ni kazi nzito sana. (si njaa ya hela hapana nasemea njaa ya msosi).

5. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#5
Aug 9, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,982
Likes Received: 729
Trophy Points: 280
Underlined.

6. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#6
Aug 9, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,654
Trophy Points: 280

I'm not talking about individuals,nazungumzia nchi!

7. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#7
Aug 9, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,654
Trophy Points: 280

Zilikopa kwa nani?

8. Keren_Happuch

Keren_Happuch JF-Expert Member

#8
Aug 9, 2011
Joined: Jan 14, 2011
Messages: 1,880
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Eiyer,
Ninaamini kabisa kama hizo pesa zingetumika kwa matumizi yaliyokusudiwa, tungepata maendeleo. Lakini tatizo, hizo pesa zinaingia kwa watu binafsi, ndo maana nikasema maendeleo yapo kwa watu binafsi.

9. F

FUSO JF-Expert Member

#9
Aug 9, 2011
Joined: Nov 19, 2010
Messages: 11,833
Likes Received: 2,304
Trophy Points: 280
mbaya zaidi hawa watu wenye pesa nyingi wanatumia kujengea majumba ya kifahari, unakuta jumba kubwa wanaishi watu wawili tu - misusing of funds - na mabillion mengine yanayobakia kuyaficha nje ya nchi.

Hatukatai watu kuwa na pesa lakini wange invest lets say kwenye kilimo na ufugaji ambayo ndiyo sekta muhimu katika uchumi wa taifa hili - Tungesonga. Ila mtu akiiba hela tu anazipeleka benki za Genniva kuzificha.

my take: Ni bora kuwa na mwizi wa mali ya umma ambaye atatumia pesa hizo za wizi ku-invest kwenye miradi endelevu ndani ya nchi yake.

10. Eiyer

Eiyer JF-Expert Member

#10
Aug 9, 2011
Joined: Apr 17, 2011
Messages: 28,237
Likes Received: 3,654
Trophy Points: 280

Karen,we have 2 problem here,kwanza watoaji wa misaada,wanatoa misaada ya kijinga,mfano tunapewa hela za kununua vyandarua milioni kumi lakini in return tunawapa zawadi ya kuchimba Tananite miaka 70 bila sisi kupata chochote!!!!Pili wapokeaji wa msaada,tumepewa hela ya vyandarua mil kumi tunanunua vyandarua mil 2 tu!Hela zingine zinatumika kujenga mahoteli ya kifahari huko S.Afrika na kufungua akaunti za kufuru ughaibuni!Si wehu huu?

Loading...