Synovate Wachakachua Kura za maoni za Juzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Synovate Wachakachua Kura za maoni za Juzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, Aug 8, 2011.

1. Mzalendo80

Mzalendo80 JF-Expert Member

#1
Aug 8, 2011
Joined: Oct 30, 2010
Messages: 2,385
Likes Received: 122
Trophy Points: 160
Inasemekana kuwa Synovate Wamechakachua Kura za maoni walizotoa Juzi kuwa Dr.Slaa anaongoza, Source ya Mtu anayefanyakazi katika Shirika hilo alisema kuwa Kikwete pia alishindanishwa katika maoni hao lakini aliachwa Mbali na Dr.Slaa kwa 26%. Synovate waliogopa kutoa maoni ya ukweli wakijua wanawezakufukuzwa au kulitewa zengwe na serikali ya Kikwete kwa kutoa maoni hayo. Na pia inasemekana umaarufu wa Kikwete unashuka kwa kasi siku hadi siku na Synovate wanaogopa kuzitoa kwa sababu ya kuogopa serikali inawezakuwatimua.

My take: huku tunakokwenda na nchi yetu siko kuficha ukweli na kutoa uongo na kuugeuza ndio ukweli utagharimu serikali ya Magamba

2. p

plawala JF-Expert Member

#2
Aug 8, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 627
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ndiyo sababu ya kumweka Jk kando

hata hivo tushajua janja yao,always wanatoa taarifa zao kulenga au kuficha mambo fulani ya serikali

3. Yericko Nyerere

Yericko Nyerere Verified User

#3
Aug 8, 2011
Joined: Dec 22, 2010
Messages: 16,212
Likes Received: 3,774
Trophy Points: 280
Walishachakachua tangu 2010 kuelekea uchaguzi ule alioshinda Dr Slaa!!

4. B

Babu Ubwete Senior Member

#4
Aug 8, 2011
Joined: Jan 26, 2008
Messages: 169
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Hiyo inafahamika kama Synovate kwanza ni ya kikenya, Pili wanajipendekeza kwa serikali, wanabagua wafanyakazi wenye asili ya Tanzania. Hizi NGO uchwara auncle Bob wa Zim alizitimua zote na sisi tunahitaji kujua hizi Ngo zisizo na ethics kuzitimua nchini.

5. U

Uwezo Tunao JF-Expert Member

#5
Aug 8, 2011
Joined: Nov 14, 2010
Messages: 6,947
Likes Received: 12
Trophy Points: 0
Sasa kama serikali ya Kikwete ni ya VISASI kiasi hicho kiasi cha hata taasisi kiweledi kama Synoveta inafika mahala inaogopa kuipa ukweli wa mambo juu ya uhalisia wa maoni ya wananchi juu yao sasa NI VIPI WATAKAVYOWEZA kupata taarifa sahihi yenye kuwasaidia hata wao tu kujirekebisha????

6. UmkhontoweSizwe

UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

#6
Aug 8, 2011
Joined: Dec 19, 2008
Messages: 2,964
Likes Received: 240
Trophy Points: 160
Mkuu, hao hawahitaji kupata taarifa sahihi wala kijirekebisha. Mwongo siku zote huchezea kwenye eneo hilo hilo la uongo, maana uongo kwake ndo ukweli.

7. Lukolo

Lukolo JF-Expert Member

#7
Aug 8, 2011
Joined: Dec 2, 2009
Messages: 5,137
Likes Received: 76
Trophy Points: 145
Nilishangaa kuona eti Kikwete hakuwemo katika walioshindanishwa. Lakini kwa kiongozi mwenye visasi kama Kikwete sidhani kama kuna yeyote anayeweza kusimama na kumsema hadharani halafu akaachwa hivhivi. Kwa jinsi Kikwete alivyo, hataona shida kukunyonga tu. Kama aliweza kuwatosa vibaya kabisa akina Mangula despite ufanyaji kazi wao bora, basi hataona taabu kummaliza mtu mwingine yeyote. Hata kama mimi ningekuwa ndo mkurugenzi wa synovate katu nisingekubali kupoteza kibaru au maisha yangu kwa sababu tu ya kusema ukweli. Aina ya uongo wa Synovate unaitwa ni uongo mtakatifu. Unasema uongo kwa ajili ya kuokoa maisha au kulinda maslahi ya wengi.

8. chitambikwa

chitambikwa JF-Expert Member

#8
Aug 8, 2011
Joined: Nov 8, 2010
Messages: 3,940
Likes Received: 12
Trophy Points: 135
synovate kufala

9. Facts1

Facts1 JF-Expert Member

#9
Aug 8, 2011
Joined: Dec 23, 2009
Messages: 308
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
Kabla ya matokeo kutangazwa tayari taarifa sahihi wanazo ndio maana wanachakachua hata hivyo serikali yetu huwa haitegemei tafiti za kitaalam ili ifanye kazi inategemea mkulu anataka nini ili afurahi.

10. S

SEAL Team 6 JF-Expert Member

#10
Aug 8, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 655
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Ipo siku watachakachuliwa wao.

11. N

NasDaz JF-Expert Member

#11
Aug 8, 2011
Joined: May 6, 2009
Messages: 11,308
Likes Received: 1,651
Trophy Points: 280
Ninapoisoma habari hii between the lines; napata picha moja! Ni ama Synovate hawajui wananachotakiwa kukifanya au habari yako ni ya uzushi! Hata hivyo, endapo nitaambiwa nichague moja katika hayo; basi nitalipigia upatu suala la uzushi wa habari! KWANINI?! Sioni sababu ni kwanini Synovate wamuhusishe na JK kwenye kura za maoni wakati wanajua kisheria hawezi tena kusimama na kugombea urais!!!! Kura za maoni zinapoitishwa ni kwa ajili ya wale wanaoonekana wanaweza kusimama kwenye kiti cha urais!!! Kwa kuangalia ukweli huo; nina mashaka kwamba ama umedanganywa na wewe uka-swallow kila kitu bila kutafakari au ni wewe umeamua kudanganya na bila shaka wapo watakao-swallow uongo huu kama ulivyo!

12. Gracious

Gracious JF-Expert Member

#12
Aug 8, 2011
Joined: Jul 12, 2011
Messages: 1,750
Likes Received: 343
Trophy Points: 180

U have a good point

13. Daniel Anderson

Daniel Anderson JF-Expert Member

#13
Aug 8, 2011
Joined: Aug 7, 2011
Messages: 879
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

wanajanvi awali ya yote naomba kuwasalimu kwa kubisha hodi janvini.

Ila ndugu yangu NasDaz umetoa mawazo ambayo si mapana.
Utafiti unaweza kuhoji imani ya wananchi kwa kiongozi aliyepo na kama wananchi wanamuhitaji zaidi.
Ni dhahiri kwa majority ya watanzania, jk ameporomoka umaarufu wa kisiasa kwa kiasi cha kutisha na hata hiyo asilimia 26 nyuma ya Slaa ni chache.
Hakika kama alivyoahidi kuwa anataka watz tumkumbuke baada ya utawala wake, kweli tutamkumbuka kwa kuwa ni rais rahisi aliyepata kutokea.
Aliupata urais kirahisi na amechokwa kirahisi vilevile. Kweli kinachokuja kirahis hupotea kirahisi vivyo hivyo.

14. Shine

Shine JF-Expert Member

#14
Aug 8, 2011
Joined: Feb 5, 2011
Messages: 11,514
Likes Received: 16
Trophy Points: 0

They left with only 4yrs za kuchakachua

15. Shaycas

Shaycas JF-Expert Member

#15
Aug 8, 2011
Joined: Feb 13, 2009
Messages: 899
Likes Received: 34
Trophy Points: 45
Tafakari kabla.
Kikwete anaweza kuhusishwa kwa kipindi ikizingatiwa kuwa kunaweza kufanyika Uchaguzi mkuu iwapo miswada iliyopitishwa bungeni, rais amekataa kuisaini.
Pia kumbuka kampuni hii wakati mkapa anatoka ilifanya utafiti uliomhusisha yeye na wengine waliotaka kugombea na kuonesha kuwa yupo nyuma ya JK.

16. M

Mzee wa Posho Senior Member

#16
Aug 8, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 160
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
CDM mwaka jana mliichukia Synovate leo mnaisifia Synovate next time........?

17. F

FJM JF-Expert Member

#17
Aug 8, 2011
Joined: Apr 11, 2011
Messages: 8,088
Likes Received: 90
Trophy Points: 145
If I remember correctly ( and I do) mara baada ya Synovate kutoa matokeo ya utafiti wao wakati wa uchaguzi 2010, walisema wangefanya mwingine mara tu baada ya uchaguzi. Ninachohisi hapa ni kwamba wanaweza wakawa wameuliza 'kukubalika' kati Rais Kikwete na Dr Slaa. Hii ni mbali na swali la nani utamchagua kwa kiti cha urais 2015. Wakati mwingine kwenye research unaweza ukawa na swali/maswali ambayo si ya msingi sana lakini unayoweka ili kumuweka mtu kwenye mazingira mazuri (kimawazo) kukupa majibu ya uwazi zaidi kwa yale uliyokusudia kuyatafiti.

Hata hivyo, Wakubwa wa Synovate wanatakiwa waangalie upya utendaji wao hapa Tanzania maana kwa tafiti hizi mbili zinazogusa siasa (2010 na hii ya 2011) wanaoneka kujipa reputation mbaya sana - kutokuaminika. Watu wanaaza kuuliza uwezo wao kama watafiti, objectivity na hata experience. Hii si hali nzuri kwa organisation yeyote let alone a 'for profit' organisation. Kila kona ya Tanzania watu wanaijuwa Synovate - for the wrong reasons!

18. N

NasDaz JF-Expert Member

#18
Aug 8, 2011
Joined: May 6, 2009
Messages: 11,308
Likes Received: 1,651
Trophy Points: 280
Mkuu, sina tatizo lolote la kukubalika au kutokukubalika kwa Slaa kwa hivi sasa ukilinganisha na JK! Wala sitashangaa maoni yakisema kwamba endapo uchaguzi ukiitishwa leo, basi Dr. Slaa atamshinda JK! Ninachobisha mimi ni kwamba, haiwezekani kwa sasa Synovate imuweke JK kwenye kura za maoni wakati yeye (JK) hawezi kusimama tena kugombea urais. Na wakifanya hivyo, itakuwa ni poll isiyo na mantiki ! Ninavyokumbuka mimi ni kwamba, kura za maoni zilizokuwa zimepigwa hazikuwa za kuonesha imanbi ya wananchi kwa viongozi, bali ni nani angeweza kushinda endapo uchaguzi ungefanyika wakati wa maoni hayo!

19. DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

#19
Aug 9, 2011
Joined: Nov 13, 2009
Messages: 11,582
Likes Received: 4,692
Trophy Points: 280

Ni wapi na lini CHADEMA wameisifia synovate?

20. Sikonge

Sikonge JF-Expert Member

#20
Aug 9, 2011
Joined: Jan 19, 2008
Messages: 11,503
Likes Received: 539
Trophy Points: 280
huwa inafanywa sana ila sema hujui tu kwa sababu moja au nyingine. Kwa Tanzania unaweza kuona ni kitu kipya ila ungelikuwa unajihusisha na siasa za Kimataifa kwa siku nyingi, ungeligundua kuwa ni jambo la kawaida.

Wamekujibu hapo juu kuwa hata wakati Mkapa anaondoka madarakani, walifanya. Bush wakati anamaliza madaraka, USA pia walifanya. So this is not a big deal kabisa. Wanaweza hata kukuhusisha wewe kama ungelikuwa una umaarufu fulani kama wa Ruge/Kusaga kwa mfano.

Loading...