Adam Malima naye ang'olewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Adam Malima naye ang'olewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Engineermsuya, Jul 27, 2011.

 1. E

  Engineermsuya Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu wabunge wenzie wanasema is the most arrogant MP in the house. Anamfanyia fitna Ngeleja kwa kusubiri akalie kiti na mimi naona huyu naye inabidi naye aondoke kama wakati lile fagio la chuma litakalo pita

  Huu umeme mizengwe na naona wote hawa waondoke tuu au wataturahisia sana kazi wakiachia ngazi tuu
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Kaka usiumize kichwa na hao watu! Tatizo la msingi la matatizo yetu ni Jakaya M.Kikwete! Huyu ndie aliyewaweka hao na aliwaweka ka maksudi na sasa lengo lake nimetimia, ndio maana anasema siku akigeuka kuwa Wingu basi mgao itakuwa Historia hapa tz!!
   
 3. E

  Engineermsuya Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nimekupata mkulu
  lakini kama ngeleja hafai iweje Malima afae?
   
 4. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi hilo fagio la chuma analoongeleo kuwa litapita unategemea kuwa litapita lini au unaota?
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Kitu ambacho huwa tunasahau wana JF nikwamba watu wa kusurubiwa kwenye wizara ni makatibu wakuu, na hasa hasa wakurugenzi wa maidara kwenye mawizara, hawa ndiyo tatizo na kikwazo kikubwa kutokana na ajira zao za kudumu kwa hiyo wanazifanya wizara kama mali zao binafsi, michoro yote ya kihifisadi na ufujaji pesa za walipa kodi yanakuwaga engineered nao. Mawaziri kazi zao ni za muda tu siyo za kudumu hawezi kupanga deal yoyote bila kushirikiana na hao wafanyakazi wa kudumu wanao fahamu udhahifu wa wizara husika. Katika mawazo yangu wizara ya Nishati na madini JK angempa January Makamba, huyu dogo ana uzalendo wa kweli na haogopi mtu, kuna mambo baadhi ya wana JF walikuwa wanamzulia tu yeye na dada yake ambayo mimi sikuyapenda kwa kweli nilijuwa ni mbinu tu za kumkatisha tamaa January. Kitu cha pili JK anapashwa kufanya ni kusafisha wizara nzima na Tanesco na amuachie January apange safu ya viongozi wapya wizarani na Tanesco, bila kufanya hivyo wizara hii muhimu itabaki donda ndugu kwa taifa, wakurugenzi wengi wenye dhamana kubwa wanakosa uzalendo na wamejisahau sana na kuwa arrogant matokeo yake ndiyo haya tunayo yashuhudia leo, hii ni siku ya saba hakuna mafuta lakini hakuna tamko kutoka serikalini wenyewe wanaona ni business as usual mpaka atokee mtu jasiri kama Makamba ndiyo wanashituka kutoka usingizi wa PONO!!! JK fumba macho ufanye kweli bila kuangalia mtu USONI dunia hiko nyuma yako na hakuna atakaye kulahumu. God bless.
   
Loading...