Tumeona wiki nzima nchi ikiwa katika hali tete, pale wauza mafuta walipogoma kuuza na kusambaza mafita eti kwa sababu serikali imewapunguzia wananchi kodi. inashangaza sana sijui wao wanaumia...
Waziri kivuli wa kambi rasmi ya upinzani mh.Sugu analihutubia bunge..ila jamaaa kweli ni mtetezi wa wasanii kwani analia sana kuhusu wizi wa kazi za wasanii.
HOTUBA YAKE HII HAPA:
HOTUBA YA...
Na Nova Kambota,Akiandika kupitia gazeti maarufu la uchambuzi nchini Raia Mwema mwandishi nguli na mwanaharakati wa siku nyingi Padri Privatus Karugendo kwenye toleo namba 196 la tarehe 27 julai...
Mwenyekiti CHADEMA wa Wilaya ya Iramba ndugu Emmanuel Edgar Ntundu na Mwenyekiti wa Chadema singida Mjini ndugu Nakamia John wameahamia CCM. wengine ni Ela Samson Dyelu mwenyekiti wa baraza la...
Nimeshtuka kuona ktk gazeti moja linajulikana kama Sauti ya waislam likiandika kwamba Gamba la CCM linalotaka kuvuliwa kwa mapacha 3 lengo kuu ni kumuondosha kabisa Rostam azizi ktk CCM na sio...
Mikataba ya EAC imeshasainiwa na inaendelea kusainiwa kwa kasi mpya.
"Waraka wa Hamani" ushasainiwa.
http://www.tzonline.org/pdf/fasttrackingeastafricanintegration2010.pdf
JUMUIA YA MASHARIKI...
Leo asubuhi baada ya kipindi cha maswali Naibu Spika aliwasomea wabunge kichwa cha habari cha gazeti lililotoka leo ambalo ni MTANZANIA lenye kichwa kisemacho WABUNGE NGUVU YA SODA.
Ndugai...
waziri mkuu mizengo kayanza pinda amewashauri madiwani wa chadema kwenda mahakamani kama wanaona hawakutendewa haki na chao kwa kuvuliwa uanachama, alikuwa akijibu swali lililo ulizwa na mbunge...
kesho tarehe 13/08/2011 ni siku ya kipekee kabisa kwa watanzania kufuatia
Bunge leo tarehe 12/08/2011 saa nne asubuhi kutengua kanuni ili kuruhusu
kujadiliwa kwa bajeti ya nishati na madini...
Katika mvutano wa sakata la wauza mafuta na serikali ambalo liiashiria kuzuka kwa vurugu nchi nzima wakulaumiwa sio wauza mafuta bali ni serikali pamoja na JK niwizara hiyo hiyo ya nishati na...
Kuna uvumi kuwa watu waliotakiwa kujivua gamba CCM wanafanya mikakati ya kutumia mtandao wao ulio[po NEC ya CCM kukwamisha kufukuzwa uanachama.Wenye kujua ukweli mtujuze ukwali wa uvumi huu.Je...
Kumbe yale majenereta ya iptl yamewashwa huku gharama za kuyaendesha zikiongezeka kwa mafuta ya kuyaendehsa yale ni ghali mno
sasa msijiongopee yamewashwa kwa sababu ya mfungo
yamewashwa...
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili...
Kumekuwa na taarifa za kuhusu huyu wakili maarufu wa Arusha aliyekamatwa kwa tuhuma za money laundering, kuna mtu wakati naongea naye nikaona anajaribu kumwuunganisha huyi wakili katika...
Mbunge wa ubungo John John Mnyika aomba muongozo kwa Sapika Makinda juu ya muda gani utakaotumika kumhukumu Ngeleja kesho juu ya mapitio ya bajeti yake na mpango maalum juu ya utatuzi wa janga la...
Wakati Spika wa Bunge Makinda akianza kazi aliliagiza bunge na kamati zake kwamba wanapokwenda nje kwa shughuli za bunge hupewa posho, hivyo si sahihi kupewa posho nyingine kwani ni dalili ya...
Jana nilisikitika sana kUmsikia Eng. Stella Manyanya akiwatetea wafanya Biashara ya Mafuta wakati wa Mjadala wa dharura Bungeni kuhusiana na Mgomo wa Hawa wtu. Nikafikiri Ameghafirika, Lakini sasa...
Salaam kwenu wote,
Napenda kuwatangazia kwamba Vox Media na East Africa Business and Management Training Institute wameandaa tena mdahalao Jumamosi ijayo utakohusu ubinafsishaji wa UDA...
Anapoadhimisha siku yake ya kuzaliwa, anapaswa kushughulikia matatizo ya watoto wengi wanaokufa wakati wa kuzaliwa kutokana na huduma hafifu za mama wajawazito na watoto, pia gharama ambazo...