Maana ya Serikali Legelege ndiyo hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana ya Serikali Legelege ndiyo hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STEIN, Aug 12, 2011.

 1. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Tumeona wiki nzima nchi ikiwa katika hali tete, pale wauza mafuta walipogoma kuuza na kusambaza mafita eti kwa sababu serikali imewapunguzia wananchi kodi. inashangaza sana sijui wao wanaumia nini, nakumbuka hata wakati Dr. Slaa aliposema atapunguza bei ya vifaa vya ujenzi kwa kuondoa kodi wakaja juu kinoma ohhh haiwezeka, huyu jamaa ni mchaga, hadi wakagawa magazeti bure ili kumchafua asishinde urais.

  Mimi najiuliza hawa jamaa wananufaika nini na hizi kodi zinazotozwa na serikali?

  Jibu ni kwamba wafanyabiashara wengi hawalipi kodi hata kidogo hasa hawa wakubwa na ndiyo sababu wakagoma serikali kuondoa kodi kwenye mafuta anaekataa hili aniambie sababu hasa ya jamaa kugoma kuuza mafuta ni ipi.

  Nasema serikali legelege inafanya maamuzi legelege kama unavyoona eti wameishia kuifungia miezi mitatu badala ya kuifuta kabisa, hivi inamaana CCM hawawezi kuchukua maamuzi magumu.
   
 2. K

  Kiti JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 225
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hayo ndo matokeo ya serikali kuongozwa na Da Gama
   
 3. c

  change we need Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  inawezekana kuna watu huwa wakisikia maamuzi magumu au serikali legelege huwa wanashindwa kupambanua vizuri..hivyo sasa matatizo yanayotukabili kama umeme, mafuta na mambo mengine kibao na serikali iko kimya haina maamuzi na haijui wafanyeje..serikali legelege ndo ilivyo haiwezi kuchukua hatua kwa muda muafaka. serikali inawakumbatia wafanyabiashara kwani ndo walioiweka madarakani..hawalipi kodi hivyo ukisema unapunguza kodi inawauma wamezoea kuchuma.
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kuifungia BP kwa miezi mitatu ni changa la macho kwa watanzania. Ilichofanya serikali ni 'funika kombe mwanaharamu apite'. Ndiyo maana siku zote nasema na leo nitarudia tena kwamba chini ya uongozi wa ccm watanzania wasahau kabisa kitu kinachoitwa maendeleo. Wakitaka maendeleo basi wafanye uamuzi sahihi wa kukiondoa cham hicho kwa njia ya kura.
   
 5. N

  Nipe tano Senior Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Msisitizo uwe......KUKIONDOA KWA NJIA KURA NA SI VINGINEVYO...
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,791
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  wananchi walifanya mwaka jana lkn wakanyang'anya ushindi wao TISS na Tume ya uchaguzi kinachotakiwa sasa hv ni tahrir square
   
Loading...