hivi kesho watanzania wataondokana na giza kweli ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kesho watanzania wataondokana na giza kweli ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Aug 12, 2011.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kesho tarehe 13/08/2011 ni siku ya kipekee kabisa kwa watanzania kufuatia

  Bunge leo tarehe 12/08/2011 saa nne asubuhi kutengua kanuni ili kuruhusu

  kujadiliwa kwa bajeti ya nishati na madini hapo kesho kupitia kamati ya

  matumizi, kuskiliza na kujadili mpango maalum wa kuliondoa taifa gizani ,

  je watanzania ni kweli kwamba serikali itaondoa tatizo la umeme ndani ya

  muda maalum na wakati tatizo hilo limedumu ndani ya miaka 50 ya

  uhuru ? serikali inayoitwa sikivu je ilishindwaje kuliona tatizo hilo mapema

  wakati bajeti ikiandaliwa tulikuwa kwenye mgao ? je ni hatua gani za

  kiuwajibikaji watachukuliwa wahusika wote waliopelekea kufa kwa miradi

  mikubwa ya umeme au ndiyo mpango maalum ? nawakilisha.
   
 2. p

  plawala JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna lolote,atakuja kutaja megawati tu huyo,megawati.....megawati.....megawati..... and so on
   
 3. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Liganga....mchuchuma.....kiwila....michakato inaendelea.
   
 4. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa nilizonazo kupitia kwa msemaji wa shilika la ugavi wa nishati hiyo ni kuwa,kuna mitambo imewasili,ambayo ina uwezo wa kuzalisha megawati 100. Hadi kufikia septemba mwaka huu mgao utakuwa umepungua kama si kwisha kabisa chanzo hicho kilisema. &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  pia kuna taarifa dhidi ya jairo, jalada lake la uchunguzi lafikishwa kwa DPP. Nadhani huu utakuwa mwnzo tu wa safari ndefu ya kushughulikia kero na uwozo unaoikabili wizara hiyo muhimu.
   
 5. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,853
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  DPP? Si ndo njia ya kwenda mahakamani! Kwanza ndiko inakopatikana haki na pili wakati mchakato wa kupata haki ukiendelea swala husika halitakiwi kujadiliwa. Sijui umenipata?
   
 6. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Sahau!!!!!siasa huwa inamaneno matamu sana kama sauti ya santuri au kinanda,lakini utekelezaji wa maneno yaongelewayo huwa ni mgumu,kama gamba la ccm
   
 7. Tympa

  Tympa Member

  #7
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  SITEGEMEI JIPYA. Mi nasubiri tarehe 30/8(aliyo tuahidi pinda) ifike illi tuanze mipango ya kuandamana nchi nzima.
   
 8. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kiukweli hadi sasa sielewi serikali inampango gani?uku kwetu kagera umeme uwa haukatiki lakini kesho jumamosi wametutangazia mgomo siku nzima sasa sijui wanamaanisha nini.lakini sina hofu coz kuna makamanda ambao tumewatuma mjengoni sizani ka watatulostisha wenje,lema,msigwa,mnyika na tundu naomba mtupiganie tupo nyuma yenu makamanda.saga continue
   
Loading...