SWALA LA SAKATA LA MAFUTA WAKULAUMIWA SERIKALI na JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SWALA LA SAKATA LA MAFUTA WAKULAUMIWA SERIKALI na JK

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Japhari Shabani (RIP), Aug 12, 2011.

 1. Japhari Shabani (RIP)

  Japhari Shabani (RIP) R I P

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 721
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika mvutano wa sakata la wauza mafuta na serikali ambalo liiashiria kuzuka kwa vurugu nchi nzima wakulaumiwa sio wauza mafuta bali ni serikali pamoja na JK niwizara hiyo hiyo ya nishati na madini ambayo bajeti yake ilikataliwa kutokana na mapungufu makubwa tuitegemee kua na kua ilikua makini katika uhamuzi wa swala la kupunguza bei ya mafuta.Swala hili walilifikia kutokana na pressure kutoka kwa vyama vya upinzani na nguvu ya wananchi.Kwa vile CCM na JK kutokua na umakini na kutenda mambo kisanii wakurupuka na kutangaza kushushwa kwa bei ya mafuta ili kupunguza pressure ya wananchi bila kuzingatia mambo ya kibiashara na misingi ya kibiashara.Huwezi ukakurupuka na kumlazimisha mfanya biashara kufuta au kupunguza bei ya kitu fulani kabla ya kutathimini vigezo vilivyotumika kuweka viwango hivyo na vimetumika kwa muda gani.Hii na ifananisha na mfano serikali itangaze bei ya ununuzi wa pamba mfano kutoka kwa wakulima kwa wafanya biashara kwa kiasi fulani and then baada ya kununua pamba hiyo iwatangazie wafanya biashara kuuza pamba hiyo kwa serikali kwa kiwango cha chini ya bei walioinunuli toka kwa wananchi!Kwa swala hili la mafuta serikali ilikua inatakiwa kutoa ruzuku kwa bei ya mafuta wakati ikitafuta muafaka na wafanya biashara.Haya yasingetokea hii inazidi kudhihirisha ya kua kwa serikali hii na rais huyu tutegemee maamuzi yoyote.Kunasiku wataamrisha mabasi yaendeshwe bila mafuta!MUNGU IBARIKI TANZANIA.
   
Loading...