Tanesco imepokea mitambo from Mombasa

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Wanasema mitambo imetoka Mombasa..ya AGRECO na badra anasema kwenye redio kuwa mambo ni mswano kwanzia septemba mwaka huu

aggreko-1.jpg

aggreko.jpg
 
Another ufisadi around the corner,,!generator la gesi na hakuna gesii,labda watakodi na gesi kutoka huko kenyaa!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wanasema mitambo imetoka Mombasa..ya AGRECO na badra anasema kwenye redio kuwa mambo ni mswano kwanzia septemba mwaka huu

One day b4 wizara ya nishati haija present bajeti yake hapo June, walituonyesha mitambo ya gesi ikiingia ubungo. Wakati kesho wanategemea ku present tena bajeti yao, sasa wanakuja na single mpya!
 
Hiyo mitambo Mipya au Used?
<br />
<br />
HUYU BADRA C JUZKATI ALIANAUNSI KUNA JENERETA LA MEGAWATS MIA? HE NDO ILO LA KUKODI MAMBASA?NA KAMA NI KUKODI LAZMA MTUMBA TUU! TZII NE SECOND HAND COUNTRY ANZIA TOP MPAKA KIDOLEGUMBA CHA MGUUNI
 
we need an extra supply pipe zaidi ya hii ya songas iliyopo. Hivi ule mradi wa umeme wa mtwara ambao Artumas Energy was keen to develop ulifia wapi tena??
 
Tena vile vile vya megawati 100, vimekodishwa AGGrECO ya Mombasa, mmmmh yale yake ya venezuela!
 
One day b4 wizara ya nishati haija present bajeti yake hapo June, walituonyesha mitambo ya gesi ikiingia ubungo. Wakati kesho wanategemea ku present tena bajeti yao, sasa wanakuja na single mpya!

Kweli new single, tuone mchezaji nani.
 
Hakuna mradi wowote utakaoingia Tanesco ambao siyo chanzo cha ufisadi,mpaka IPTL itakapo kata mirija yake ndani ya Tanesco,IPTL ndiyo mrija wa kwanza na mkuu kuliko hata Richmond wengine wanaiga tu.
 
Nadhani lengo ni kupunguza mgao kama si kuumaliza kabisa,bila kujali mitambo imetoka wapi,mipya,imetumika au nani ameiingiza. Tunachohitaji ni umeme wa uhakika na si vinginevo.
 
Back
Top Bottom