Eng. Stella Manyanya ana maslahi gani kwa wafanyabiashara wa Mafuta? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eng. Stella Manyanya ana maslahi gani kwa wafanyabiashara wa Mafuta?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by analysti, Aug 10, 2011.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Jana nilisikitika sana kUmsikia Eng. Stella Manyanya akiwatetea wafanya Biashara ya Mafuta wakati wa Mjadala wa dharura Bungeni kuhusiana na Mgomo wa Hawa wtu. Nikafikiri Ameghafirika, Lakini sasa hivi naangalia kipindi cha Jambo TZ, TBC1, Naona huyu Mama anaendelea kujitahidi kuwatetea hawa wafanya biashara walionifanya hata mimi nishindwe kwenda shamba leo kwani trekta halina mafuta.

  Huyu mama anasema ati kuwe na majadiliano, for how loooong!!! Mama cmooon!!!. Huyu mama anamaslahi gani kwa hawa watu???. Wabunge wenzake wote wameoneshwa kuguswa na hili swala, isipokuwa yeye.

  Huyu mama anajali zaidi maslahi ya hawa wafanya biashara kuliko well being ya watanzania wakulima kama sisi.

  AAAAAAAAAAAAAAGGGGGGGGGGGGGGGHHHHHHHHHHHHHRRRRRRRRRRRRRRRRRR.
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi kwa kweli katika wabunge bomu kwa sasa ni pamoja na huyu mama kumbe alikuwa anaburuzwa tu na akina mwakyembe sasa tunaona ngozi yake eng fake kabisa
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  CV yake please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Itatusaidia kujua yuko wapi?
   
 4. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Umaarufu ulikuwa wa kuambukizwa na akina Mwakyembe. Tangia bunge hili lilipoanza nimeona huyu mama akichemka sana, hasa katika kuomba mwongozo wa spika akikosoa hoja za upinzani. Hili la jana na asubuhi hii ya leo ndo nimechefuka. This lady is hopeless!!!
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ukweli ni kwamba serikali bado inadanganya wananchi kuhusu suala la mafuta
   
 6. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Serikali hii haijawahi kuwa honest kwa watanzania hata siku moja. Siku zote inaamini wataanzania ni wajinga na waelevu wa chache hawana nguvu ya kufanya chochote.

  Tunasubiria swala la bajeti ya ngereja, amini usiamini kitakacholetwa na kupitishwa ni usanii mtupu na kitakuwa kilekile kilichokataliwa kikiwa na figure za uongo ambazo wala hazitzkuwa na pesa halisi. kinachoendelea sasa hivi ni kuangalia upepo umekaaje iliwaichomeke hii bajeti ipite. Inauma sana!
   
 7. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  Wabunge wa CCM wameshaagizwa kwamba ni Bora Punda avunjike lakini Mzigo Uvuke, so budget lazima ipite by hooks and crooks!! Tusitarajie chochote kipya!!
   
 8. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. Serikali inavuta pumzi kwa sababu jamaa wali donate kiasi kikubwa cha hela kwa wabunge na Raisi hasa CCM
  2. Viigogo wengi Serikalini wanamiliki au wana shares kwenye vituo hivyo vya mafuta- kazi ipo.
   
 9. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Uyo mama anadhani amekuwa maarufu sana.
   
 10. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 704
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 80
  She has got a wrong conception on herself!!!
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Huyu mama ameshatumiwa sana mpaka amekuwa rubbish, hana thamani tena ndio maana huwa anaamua kuropoka kila linalokuja kwenye ubongo wake. She is sick!!!!!
   
 12. p

  pointers JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  huyu mama akili yake ina matatizo
   
 13. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Eng. Manyanya ana haki ya kuwatetea si waliwachangia kwenye fedha za kampeni mwaka jana kwa hiyo anayosema katumwa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi.......

  ...usimshangae pia anaweweseka kupoteza umaarufu wa kisiasa rejea mchango wa Deo Filikunjombe wakati wa bajeti ya wizara ya uchukuzi Filikunjombe aliposema atahamasisha maandamano Ludewa kupinga bajeti hiyo ilyoletwa bungeni na serikali ya CCM lkn Manyanya aliomba mwongozo na akaongea ujinga kabisa eti akumbuke mm ni kiongozi wake katika chama cha magamba na chama chetu hakiaamini katika siasa za maanadamano!

  Nilimdharau kwa sababu Filikunjombe aliongea kama mtanzania halisi lkn yye akatoa mwongozo wa kijinga kabisa
   
 14. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyu mama ana njaa, anadhani kujipendekeza kwa matajiri kutamsaidia, hastahili kuitwa Eng.
   
 15. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Nadhani tumesahau Meya wa jiji amesha sema wabunge wanafikili kwa kutumia makalio sasa sijui mnataka huyu mama aseme nini ikiwa hana ubongo.... na ndiyo maana ni wa kiti maalum.
  Serikali yetu hawezi kuwafanya lolotehawa wauza mafuta na hili tatizo wanalitengeneza wenyewe.
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Hebu angalia ili swala upya na kwa umakini. Aliyekusababishia usiende shamba sio wauza mafuta bali ni serikali legelege chini ya chama legelege.
  Hebu tuangalie ili swala kwa makini tusikurupuke kwenye kufikiri.
   
 17. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ametumiwa vipi mkuu?!!!

  Sidhani kama una maana ni 'kiviiile!!!'
   
 18. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Juzi niliandika juu ya mrema na changes yake attitude ya ghalfla kutoka kwenye kuibana serikali juu ya ubadhirifu na kuhamasisha wananchi haki zao na kwenda kwenye kuitetea serikali kwa nguvu zake zote ilhali hali ya sasa huenda ni ngumu kuliko ile ya wakati ule......na kibaya zaidi kuwakosoa na kuwasimanga watu wanaopigania rasilimali zetu...nikasema ni ajabu sana, tena ni zaid ya ajabu ila kwa haraka haraka tuna haki sisi tuliomwamini kabla na kumfutilia kuamini kuwa amenunuliwa....nini kibadilishe mtazamo wake ghafla? nje ya fedha?

  Sasa leo tuna huyu mwana mama ambaye ktk bunge lililopita alijipambanua kuwa mpiganaji na kufa na kupona against ufisadi...alitufikisha mbali zaidi pale alipoamua kujiuzulu nyadhifa zake fulani fulani TANESCO ili awe huru ktk uchunguzi wa richmond.....nilishtuka sana na kughabikika sana kwa staili aliyoanza nayo ktk bunge la 10.....ni kutoa HOJA ZA KUJIPENDEKEZA KWA WATAWALA hata pale ambapo angeweza kukaa kimya....kila akiinuka ujue either anatetea serikali au anaomba mwongozo ili kushambulia wapinzani au yeyote aliye challenge serikali....juzi alisimama kumpa taarifa MhFilikunjombe kwenye bajeti ya uchukuzi pale alipotishia kuandamama, STELLA MANYANYA aliamka nakumwambia kuwa 'CHAMA CHETU SI CHA MAANDAMANO, TUNA NAMNA YA KUDAI HAKI ZETU! Nilimshangaa sana huyu stela, hivi alidhani Filikunjombe hajui taratibi za ccm za kuwasilisha mawazo? mpaka alifikia hatua ya maandamano maanake alijua kwa taratibu zile asingeweza KUTOA KILIO CHAKE
  Stela anadhani maandamano ni sera ya chama fulani......anasahau kuwa ni haki ya kikatiba....huyu naye anajiunga kwenye kundi la kina Mrema, 'WASAKA MATONGE' kwa umoja ni MSAKA TONGE

  Mix with yours
   
 19. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,290
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Huyu ni mama tu(mwanasiasa) wala sio Eng. anatudharaulisha ss maEng.
  mwanzo ilikuwa nguvu ya soda, kumbe nae mchafu tu.
  hana jipya ndomana akapigwa chini ubunge jimboni mwao wanainch wa kule walishamstukia kuwa ni kirazaa tu ila anatumia jina kubwa la Eng. kuwatisha wananchi.
  Na magamba wakaamua kumpa viti maalum ili aendelee kuwatetea


  "changes begins wt u"
   
 20. K

  Kishili JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ametumika mno hadi amezeeka kiasi mabosi hawamtamani tena sasa anafikiri kuendelea kuwemo viti maalum ni kujipendekeza kijinga
   
Loading...