Elections 2010 Riz1 For President 2015

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili kumuharibia kwani babayake na kijana amenza kumpigia mwanane kampeni za chini kitu ambacho kinawaumiza sana vichwa mapacha watatu wanamuona kama msaliti ya EL, RA na mzee wa vijisenti. hii imekaaje?
 
hii imekaa hovyo, kwani 2015 atakuwa ametimiza miaka mingapi ili aweze kugombea. Kama ndio hivyo hii imekaa hovyo sana, nafikiri wanadhani wanaongoza mawe, mpaka kuachiana uongozi kijinga namna hiyo
 
kumbuka Raisi Hateuliwi Anachaguliwa..
na sasa wa TZ wengi tumefunguka macho..
Kwanza haya mambo ya kipuuzi hata usiyaseme
maana kweli we unatafuta tu uchokozi humu ndani ..
we ngoja wataalum waje waanze kukuuliza Evidence ...
yangu macho ..
 
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili kumuharibia kwani babayake na kijana amenza kumpigia mwanane kampeni za chini kitu ambacho kinawaumiza sana vichwa mapacha watatu wanamuona kama msaliti ya EL, RA na mzee wa vijisenti. hii imekaaje?

Mtu akikupa mawazo ya kipumbavu wakati anajua ni ya kipumbavu na wewe ukayakubali atakuona mpumbavu kweli.
 
thread kama hizi ndo zile zile wanaongelea kina jery Silaa. zinamaliza hadhi ya JF
 
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili kumuharibia kwani babayake na kijana amenza kumpigia mwanane kampeni za chini kitu ambacho kinawaumiza sana vichwa mapacha watatu wanamuona kama msaliti ya EL, RA na mzee wa vijisenti. hii imekaaje?

nilijua una matatizo lakini sikujua kama ni kwa kiwango hiki.
 
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili kumuharibia kwani babayake na kijana amenza kumpigia mwanane kampeni za chini kitu ambacho kinawaumiza sana vichwa mapacha watatu wanamuona kama msaliti ya EL, RA na mzee wa vijisenti. hii imekaaje?
kiongozi naona umeamua kupika tetesi mwenyewe na kutudondoshe hapa sio, ili uongoze idadi ya post zako!haina mbaya karibu sana.
 
Labdaawe raisi wa wakwere..maana babu yake alikuwa chifu
 
Damn...Mtikila ni mtu mzima mwenye akili zake kutumiwa na mafisadi...na angetaka kutumiwa leo angekua bilionea...Ridhwan labda amegewe eneo msata aliongoze!
 
Wakuu ndani ya CCM na UVCCM kuna tetesi kwamba mwane mkuu wa kaya, anaweza kupewa nafasi ya kuiliongoza taifa hapo 2015. Mzee Mtikila akitumiwa na mafisadi ameanza kumchafua huyo kijana ili kumuharibia kwani babayake na kijana amenza kumpigia mwanane kampeni za chini kitu ambacho kinawaumiza sana vichwa mapacha watatu wanamuona kama msaliti ya EL, RA na mzee wa vijisenti. hii imekaaje?

Kura za mirembe zitakuwa myingi zaidi
 
Dude as long you have free time & internet! basi isiwe sababu ya kuja kuandika lolote unalojisikia humu JF!!!

au watufanya hatujui umri wa mtanzania ambaye anafaa kugombea Urais ni umri upi..

au lengo lako wana JF wamshambulie tu Ridhwan .. Sababu ya chuki zako ulizo nazo..?!

au wataka kuongeza idadi ya posts zako! zifike 100 ndani ya hii wiki..?

Wewe Mwingereza nenda jifunze kiingereza kisha uje urekebishe heading, Riz1 for president 2015?????!!!!!!!
 
Back
Top Bottom