Magamba ya CCM yajiandaa kupambana kupitia NEC ya CCM!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magamba ya CCM yajiandaa kupambana kupitia NEC ya CCM!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmaroroi, Aug 12, 2011.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2011
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kuna uvumi kuwa watu waliotakiwa kujivua gamba CCM wanafanya mikakati ya kutumia mtandao wao ulio[po NEC ya CCM kukwamisha kufukuzwa uanachama.Wenye kujua ukweli mtujuze ukwali wa uvumi huu.Je kama watafanikiwa kuuzima upepo huo kupitia NEC haitakuwa hatari kwa maadui wao?

  Je mtandao wao huo ni kwa maslahi ya Taifa au binafsi?Je yaliyompata Mbeki A/Kusini yanaweza kujirudia Tanzania.

  Nawasilisha mada hii tuichanganue.
   
 2. K

  Kiti JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kuua nyoka piiiga kichwa. Gamba kubwa ni Mwenyekiti wa CCM. Aondolewe huyo kwenye kofia mbili abaki na U Vasco Dagama wake
   
Loading...