Kuna uhusiano kati ya Lema na yule Wakili bilionea wa Arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna uhusiano kati ya Lema na yule Wakili bilionea wa Arusha?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Avanti, Aug 11, 2011.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kumekuwa na taarifa za kuhusu huyu wakili maarufu wa Arusha aliyekamatwa kwa tuhuma za money laundering, kuna mtu wakati naongea naye nikaona anajaribu kumwuunganisha huyi wakili katika kufahamiana na Godbless Lema wetu wa Chadema. Hivi ni kweli huyu wakili ana uhusiano wowote (kibiashara, kindugu, kikazi, kichama, n.k) na Lema? Mwenye taarifa atujulishe tafadhali?
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu unapoleta taarifa yoyote iwe tetesi au taarifa ya aina yoyote ujaribu kuiweka vizuri. Umetumia maneno, '...mtu wakati ninaongea naye nikaona...' unaongea kitu na mtu halafu unasema tena unaona badala ya kusikia. Umwulize vizuri huyo uliyekuwa unaongea naye akuambie kikamilifu anachokifahamu. Usijifanye kama vile umeongea na mtu na kusikia kitu kumbe ni ubunifu wako wa kutafuata habari.
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu yangu uzi wako hauna mashiko,ila kama uhusiano upo kama mwanachi wake wa kawaida kama wewe ulivyo na uhusiano na mbunge wako au diwani wako.
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Mmoja ni Mbunge na mwingine ni mpiga kura wa jimbo la mbunge huyo. Na wote wanaishi mji mmoja. Jee umetosheka au una jingine?
   
 5. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Thawa Thawa!
   
 6. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  50% nimetosheka!
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Mwingine ni mwanasiasa , mwingine ni Lawyer/ Money lounder ....Hah hah . According to DCI of course.
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hiyo nyekundu wengi wetu tumezoea kuona kwa macho ila hata ubongo unaweza kuona pia kwa hilo nakurekebisha kuhusu tetesi mie simo na sina comment yoyote.
   
 9. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Huyo wakili ni nani?Mbona unaishi kwa mafumbo?
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280
  Mbona Kikwete anawafahamu wauza unga? sasa hoja yako hapa ni nini? huku ni kufikiri kwa kutumia "masaburi."
   
 11. g

  grandpa Senior Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hivi hata akiwa na uhusiano wa kirafiki au kikazi au wowote ule (as long as hukumsaidia kupata hizo bilioni 18 zinazotuhumiwa kupatikana kwa njia haramu) nae kuna kosa gani? Medium Mwale ni wakili maarufu mjini Arusha. Hivi ukiwa na tatizo la kisheria halafu ukaenda kwa wakili una kosa? Mie naona thread zingine zinaanzishwa tu for the sake ya kuzusha vizivyozushika!
   
 12. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wote si wanatoka Arusha? Sasa tatizo ni nini wakifahamiana?
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Weka hapa ulichoona wewe ndicho tukusahidie iwapo unaona vizuri au la!
   
 14. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  i guess so! lema ni mbunge na arusha mjini na huyo wakili ni mkazi wa arusha mjini
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Mbona kikwete alikuwa na uhusiano na muuza Majini Yahya,kwa hiyo jk ni mchawi
   
 16. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,720
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Lema,, yes may be 100 years ago their grandfathers were relatives or they from same tribe region or their name are just related. Is it gambas bomb'''
   
 17. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kawapime dna
   
 18. Komamanga

  Komamanga JF-Expert Member

  #18
  Aug 11, 2011
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamaa ndiye aliye fadhili kampeni za Lema mwanzo mwisho
   
 19. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wadau mimi ninachokiona hapa ni huyu mleta maada anajaribu kuona kama kuna uhusiano wa lema wakati akiiba gari na kesi ikiwa mahakamani baada ya kushikwa na polisi kumtumia huyo wakili ili kushinda kesi. Jamani kwani hamwezi kuunganisha nukta? wake up you great tanks
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu unauliza Wazungu Ulaya
   
Loading...