Mdahalo wa kukata na shoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa kukata na shoka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dr wa ukweli, Aug 11, 2011.

1. Dr wa ukweli

Dr wa ukweli JF-Expert Member

#1
Aug 11, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 892
Likes Received: 27
Trophy Points: 45
Salaam kwenu wote,

Napenda kuwatangazia kwamba Vox Media na East Africa Business and Management Training Institute wameandaa tena mdahalao Jumamosi ijayo utakohusu ubinafsishaji wa UDA. Washiriki watakuwa Dr. Didas Masaburi (Meya), Mkurugenzi wa Simon Group, na tunatarajia pia kuwa na wabunge wa dar es Salaam au mwakilishi wao. Mahali ni Movenpic Hotel na mdahalo utarushwa moja kwa moja na Star TV kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi mbili kasoro dakika kumi usiku. Wanaohitaji kadi wawasiliane na Juvenalis Ngowi (0784 265072).

Tanzania tunaitaka itawezekana kwa aina hii ya uuzaji? Karibu uulize na kutoa dukuduku lako

2. Kivumah

Kivumah JF-Expert Member

#2
Aug 11, 2011
Joined: Jan 7, 2008
Messages: 2,413
Likes Received: 56
Trophy Points: 145
Honestly mimi sio muumini wa hii Midahalo ya kila siku, SIONI UMUHIMU WAKE. pamoja na kuwepo na Midahalo hii kila siku, Nchi hii bado ni Masikini, hatuna Umeme, Tunaibiwa kifisadi n.k
Tunataka sasa kila mmoja kwa nafasi yake atimize wajibu wake ili tutoke hapa tulipo.

3. Kachanchabuseta

Kachanchabuseta JF-Expert Member

#3
Aug 11, 2011
Joined: Mar 8, 2010
Messages: 7,290
Likes Received: 11
Trophy Points: 135
Mdahalo wa kishabiki

Agrrr stupid vox watu wanakufa na njaa wenyewe wanaandaa midahalo ya kipuuzi

4. Ben Mugashe

Ben Mugashe Verified User

#4
Aug 11, 2011
Joined: Oct 9, 2008
Messages: 939
Likes Received: 32
Trophy Points: 45
KWanini Wasimuhite na Mh Mzindakaya na aliyekuwa Mkurugenzi mkuu wa UDA? maana hao ndo wadau wakuu wa hii issue ya UDA ili tuweze kubalance maneno kati yao?

5. kiraia

kiraia JF Gold Member

#5
Aug 11, 2011
Joined: Nov 20, 2007
Messages: 1,614
Likes Received: 268
Trophy Points: 180
Wewe ni mmoja wa watu wanaohofia watanzania kujua ukweli, huu ni mwanzo na bado.

6. Nduka

Nduka JF-Expert Member

#6
Aug 11, 2011
Joined: Dec 3, 2008
Messages: 8,479
Likes Received: 760
Trophy Points: 280
Hawa Vox Media nao wanatumia masaburi kufikiri, suala hili sasa hivi linachunguzwa na TAKUKURU na kamati ya bunge, kuendelea kulijadili hadharani ni kuingilia uchunguzi. Nadhani woote walioandaa huu mdahalo hawana hata chembe ya uelewa wa sheria ya kupambana na kuzuia rushwa.

7. jogi

jogi JF-Expert Member

#7
Aug 11, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,799
Trophy Points: 280

Masaburi hoyeeeee!!!!

8. Elli

Elli JF-Expert Member

#8
Aug 11, 2011
Joined: Mar 17, 2008
Messages: 26,816
Likes Received: 10,106
Trophy Points: 280
Jamani mimi siamini kama huu mjadala kweli upo, yaani mambo ya kiutendaji yawekewe mjadala? sijaelewa labda jamani, kuna mada nyingine au mada ndio hio ya kuulizana jinsi walivyoshiriki kutuibia? au ni mjadala wa kutiana vidole machoni? mmh na-doubt credibility ya huu mjadala...ni ulewea wangu tu wala si ugomvi wala maslahi na mjadala wa jinsi hio.

9. jogi

jogi JF-Expert Member

#9
Aug 11, 2011
Joined: Sep 25, 2010
Messages: 19,335
Likes Received: 12,799
Trophy Points: 280

Takukuru si mahakama, bunge halizuii kujadili lolote nje ya bunge for any circumustance. BRAVO VOX MEDIA. MAXIMMUM RESPECT

10. Nduka

Nduka JF-Expert Member

#10
Aug 11, 2011
Joined: Dec 3, 2008
Messages: 8,479
Likes Received: 760
Trophy Points: 280
Duu!! umepata LIKE yako leo?

11. zumbemkuu

zumbemkuu JF Bronze Member

#11
Aug 11, 2011
Joined: Sep 11, 2010
Messages: 8,998
Likes Received: 582
Trophy Points: 280
na mimi ntakuja na mkakati, kila ukinipa LIKE moja nakugongea Like 10, upo?

12. M

Mapujds JF-Expert Member

#12
Aug 11, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Idd simba mbona hamjamualika?riz one naye atakuwepo?inafanyika lini?

13. analysti

analysti JF-Expert Member

#13
Aug 11, 2011
Joined: Aug 24, 2009
Messages: 704
Likes Received: 354
Trophy Points: 80
Tunataka Mdahalo kati ya presidaa na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni!!

14. Ndachuwa

Ndachuwa JF-Expert Member

#14
Aug 11, 2011
Joined: Mar 8, 2006
Messages: 4,529
Likes Received: 725
Trophy Points: 280
Tanzania tunawafanyiwa mdahalo watuhumiwa wa makosa ya jinai badala ya kuwafikisha mahakamani? Huu ni ubaguzi wa matumizi ya sheria uliopitiliza; maana mlalahoi akifanya kosa dogo tuu hata la kumega makusanyo ya ushuru wa soko wa lisaa limoja atafikishwa mahakamani lakini wengine Mara CAG, Takukuru, DPP wachunguze mara POAC waunde kamati kuchunguza na sasa mdahalo. Wengine tungependa tusiwe sehemu ya jamii inayofanya haya madudu lakini hatuna pa kwenda

15. bushman

bushman JF-Expert Member

#15
Aug 11, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 2,312
Likes Received: 67
Trophy Points: 145
Mdahalo mzuri kuandaa ni kati ya tundu lissu na jakaya mrisho kikwete................................huo mimi ukiwepo haijalishi ntakuwepo wapi lazima lakini sio huo ambao watu wamedhulumiana madili yao wanalaluana hadharani................................

16. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#16
Aug 11, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,106
Likes Received: 37
Trophy Points: 145
Hapa napata Shida kidogo,inakuwaje Masaburi na Mkurugenzi Simon Group ndio wawepo hapo kama waongoza mdahalo? Si ndio waliuziana hawa mh! bado cpayi connection.

17. Laurence

Laurence JF-Expert Member

#17
Aug 11, 2011
Joined: Jun 11, 2011
Messages: 3,106
Likes Received: 37
Trophy Points: 145
Hapa napata Shida kidogo,inakuwaje Masaburi na Mkurugenzi Simon Group ndio wawepo hapo kama waongoza mdahalo? Si ndio waliuziana hawa mh! bado cpati connection.

18. Barubaru

Barubaru JF-Expert Member

#18
Aug 11, 2011
Joined: Apr 6, 2009
Messages: 7,162
Likes Received: 26
Trophy Points: 0
Kwanini mzee Iddi Simba asiwepo?

19. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#19
Aug 11, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,190
Likes Received: 996
Trophy Points: 280

Upuuzi mtupu. Ni nani huyu anaewapa watuhumiwa uwanja wa kuleta propaganda zao wakati vyombo vya dola na Bunge vinawachunguza? Waziri mkuu katoa agizo la uchunguzi, watuhumiwa wanaenda kumjibu kabla ya vyombo alivyoviagiza havijampa ripoti.
Hili linawezekana tu kwa nchi zisizokuwa na serikali kama ya kwetu. Ngoja wapate coverage ili watimize lengo lao la kuwatusi wanaowachunguza. Wabunge waliambiwa wanafikiri kwa kutumia makalio na sasa ni zamu ya waziri mkuu kupata stahiki yake.

20. S

SEAL Team 6 JF-Expert Member

#20
Aug 11, 2011
Joined: Jun 10, 2011
Messages: 655
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Mdahalo ni mzuri. ila nisingependa mdahalo huo ufanyike kipindi hiki wakati sakata liko mikononi mwa kamati ya Bunge inayochunguza tuhuma hiyo. Let Vox wait till further notice, if you have their contuct please advise them accordingly!!!. Thanks.

Loading...