Mnyika aomba muongozo Bungeni juu ya muda gani utakaotumika kumhukumu Ngeleja kesho

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Mbunge wa ubungo John John Mnyika aomba muongozo kwa Sapika Makinda juu ya muda gani utakaotumika kumhukumu Ngeleja kesho juu ya mapitio ya bajeti yake na mpango maalum juu ya utatuzi wa janga la kitaifa kuhusu umeme hatimaye spika Makinda asalimu amri kwamba kuna muda wa kutosha kabisa.

Peoples power
 
Hakukua na haja ya kuanzisha thread. ungeendeleza kwenye thread zilizotangulia zinazomhusu Ngeleja (LLB Hons, LLM)
 
Swali kwa Mh. Masaburi: Hivi ni kweli Mh. Mtemvu na Mh. Zungu wanafikiri kwa kutumia Malalio!
 
Hakukua na haja ya kuanzisha thread. ungeendeleza kwenye thread zilizotangulia zinazomhusu Ngeleja (LLB Hons, LLM)

Kati ya watu wa ajabu wewe ni baba lao. Sasa kuna uhusiano gani kati ya unachochangia na kuleta mambo ya kishenzi ya elimu yako hapa; eti LLB Hons, LLM. Nani kakuambia tunaoza hapa? Picha ninayopata kwako ni kuwa wewe ni miongoni mwa wale wanaofikiria kwa m-a-k-a-l-i-o. Ni sawa na mwanaume anatongoza halafu anaanza kumtajia m/ke eti yeye ana mali, LLB, LLM, PhD,......etc. Huu ni umaskini wa mawazo. Hakika wewe ni maskini wa akili. Umeenda shule tu lkn hujabahatika kuelimika.

Pole sana. Shenz type.
 
avatar46712_3.gif


Mkuu avatar yako inanikumbusha mbali sana!!!

Dr. Shukuru (PHD) alivyowapigia magoti wananchi akiomba kura.................Hii yote ni njaa tu. Elimu, suti, skuna unapiga magoti kwenye vumbi eti unaomba kura...Hawa ndio wasomi wetu...inatia kinyaaa!! Mi nilidhani Ezekiel Maige huyu!
 
Tafadhali, wengine hii ndiyo njia pekee ya kupata habari za nyumbani. Usikatishe tamaa watu kutuhabarisha
 
Back
Top Bottom