Siri ya kuwashwa majenereta ya IPTL

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Kumbe yale majenereta ya iptl yamewashwa huku gharama za kuyaendesha zikiongezeka kwa mafuta ya kuyaendehsa yale ni ghali mno

sasa msijiongopee yamewashwa kwa sababu ya mfungo

yamewashwa ilikuwasahaulisha makali ya giza lililotanda

yamewashwa lakini nyeti zinasema yatazimwa na you will go back to normal (3 days bila umeme ) baada ya bajeti ya wizara ya madini kupitishwa

habari ndio hiyo

tanzania eeeeh tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaa, nchi yangu eeehhhhhhhhhhhhhh, nakupenda saaanaaaaaaaaaaaaaaaaaa

ndo maana mgao umepungua???????????
au
hebu tupe source au umesikia yakinguruma?

inawezekana kukawa na ukweli kwenye hili nishalisikia

wamefanya kusudi ili kupunguza makali ya umeme lakini ukweli unabaki pale pale kuwa after sometimes bajeti ikishapita then inazimwa kwani kuiwasha ile mitambo ni hasara tupu

Kumbe yale majenereta ya iptl yamewashwa huku gharama za kuyaendesha zikiongezeka kwa mafuta ya kuyaendehsa yale ni ghali mno

sasa msijiongopee yamewashwa kwa sababu ya mfungo

yamewashwa ilikuwasahaulisha makali ya giza lililotanda

yamewashwa lakini nyeti zinasema yatazimwa na you will go back to normal (3 days bila umeme ) baada ya bajeti ya wizara ya madini kupitishwa

habari ndio hiyo

Ndio maana nampenda KIKWETE, hana haja ya kutatua matatizo, yeye anatuliza tu matatizo kwa muda na baadae tatizo linakuwa kubwa zaidi

maisha ya bongo lazima mtu au wawe ndo nadhani watajua hawataki ujinga kwa mfano wabunge wakigomea kitu fulani kwa manufaa ya raia baada na sisi tuwape support ndo kwanza tunawaponda maisha yakitugonga tunawalaumu.

kingine cha muhimu hivi hizi bajeti za upinzani zinafanyiwaga kazi au ndio wakishamaliza kuzisoma zinaishia kwenye vipaza sauti vya bunge na kwenye mafolder ya PC zao...

Hivi hii IPTL si ndiyo imeamuliwa kufilisiwa na mchakato umeanza? Au wameifilisi kimakosa? au maana ya kufilisi mimi sielewi - siyo kwamba kampuni inaondolewa kwenye biashara mali zake kuuzwa, madeni yake kulipwa kwanza na kilichobakia kuwarudia wenye hisa?

Mwanakijiji, ni MCHAKATO wa kufilisi. Very technical!

Hivi hii IPTL si ndiyo imeamuliwa kufilisiwa na mchakato umeanza? Au wameifilisi kimakosa? au maana ya kufilisi mimi sielewi - siyo kwamba kampuni inaondolewa kwenye biashara mali zake kuuzwa, madeni yake kulipwa kwanza na kilichobakia kuwarudia wenye hisa?

yaani mjomba mi naskia kizungu zungu kisha inakuja nguzu nguzuki
yaani kulia nataka,kucheka nataka

Hivi imekuaje hadi mtikila kaacha kushughulikia suala la Tanganyika? maana tunahitaji re-independnce, ili tujijue kama wazalendo.

Huo mgao umepungua vipi wakati bado tunapata umeme masaa 6 tu ndani ya masaa 24? Au bongo makali yamepungua?

inawezekana kukawa na ukweli kwenye hili nishalisikia

wamefanya kusudi ili kupunguza makali ya umeme lakini ukweli unabaki pale pale kuwa after sometimes bajeti ikishapita then inazimwa kwani kuiwasha ile mitambo ni hasara tupu

Nipo kitongoji kimoja hapa mjini Mbeya, na kwa zaidi ya saa 48 umeme umekuwepo kwa saa nne tu. Baada ya hapo umeshakatwa tena na sasa hivi ni giza.
Tanesco mkoa wanasema mgao hauko chini yao tena, na unakuwa directed kutoka makao makuu Dar.
Kwa hiyo inawezekana ni kweli TANESCO wameamriwa kuzidisha mgawo mikoani, na kutoa unafuu huko Dar ambapo mnsema mgao umepungua, labda na Dodoma (?); Lengo likiwa kuwadanganya wabunge kwamba hali iko under control !!

Hapa nilipo, hakujawahi kutokea mgao mkali kama uliopo sasa hivi - for the past three days hakuna umeme maeneo mengi ya mji wa Mbeya.
Hali ni mbaya sana, ninashangaa kusikia wenzetu huko mnasema mgao umepungua !!

Naona ngeleja ameamua kufanya usanii mwingine ili bajeti yake ipite.

Siri ni jairo alizuia makampuni mengine kusupply mafuta na kung'ang'ania gapco tu wasupply mafuta huku ikiwa haina uwezo baada ya kupigwa stop kaimu katibu akaruhusu makampuni mengine kuipa mafuta iptl huu ndo mkanda mzima!!!jairo ni zaidi ya magamba ya ccm

Back
Top Bottom