Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajanvi naomba kwa yeyote mwenye taarifa zaid kuhusu wachimbaji uchwara wa kichina waliopewa ruhusa bandia ya kuchota madini yetu huko. Je wanaendelea? Na kama ndio ni kwa ruhusa ya nani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeamua kuandika post ii ili tuweze kuchangia mawazo na nyinyi,kwani kwasasa macho ya watanzania wengi yameelekezwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga kama kipimo cha vyama kukubalika...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndugu, jamaa na marafiki wa JF habarini za saa hizi? Mimi sijambo! Mimi, Ndege Edward S. Jacaduogo nimeamua kwa dhati kabisa bila kushinikizwa na mtu yeyote kugombea udiwani kata ya Nyahongo...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Naisema out of desperation. Ombwe linaloonekana wazi baada ya Lowassa kutemwa serikalini linaonesha ndiye aliyekuwa rais katika miaka ile 2 ya mwanzo ya utawala wa JK. We saw and heard him...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mgomo na maandamano yanapaswa kuwa silaha ya mwisho kabisa kwa watawala wasiosikia kelele za vilio vya uchungu wa watu wao. Na sasa nashawishika kuwa kuna haja ya kuandamana na kuigomea serikali...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Wanasiasa 26 wachuana kumrithi Rostam Igunga Monday, 15 August 2011 10:03 Waandishi wetu KINYANG'IRO cha uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga kimezidi kushika kasi baada ya jumla ya wanachama 26...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MUUWAJI AMETULIA TABATA-ZOMBE UNALETA SIASA NANI ALIMUUA HUU NIUHUNISIDHAN KAMA TUTAWEZA KUVUMILIA KUWA NA MAWAZIRI WAHUNI KWENYE SERIKALI HIII, KIKWETE WAKATI UNACHAGUA LIST ULIMSHIRIKISHA MIRAJI...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Asalam aleykum, mabibi na mabwana leo nakuja na hoja binafsi,hoja hii inamhusu Waziri mkuu Mizengo Kayanza Pinda.mh kiranja mkuu wa mawaziri,ulliposema wewe ni mtoto wa mkulima wengi wetu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF wawili wameshinda uongozi chadema jimbo la Ukonga. Mikael Aweda-Mwenyekiti Mwita Maranya-Mjumbe kamati ya utendaji. Nawasilisha.
13 Reactions
92 Replies
7K Views
Chadema kimeandaa mkutano mkubwa wa hadhara mjini Arusha Alhamisi wiki hii utakao ongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe Kwa kushirikiana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa...
0 Reactions
280 Replies
21K Views
Jamani nataka maoni yenu wana JF. Tanzania inaelekea wapi? 1.Hali ya ufisadi ni ya mpito tu na itakuja kuisha 2.Mafisadi watashitakiwa na haki kutendeka 3.Mafisadi wana nyamazisha kesi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hivi ni nini mantiki ya kuorodhesha wachangiaji(108) wakati unajua hata iweje siyo zaidi ya 25 watakaochangia?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Saturday, 13 August 2011 20:50 AWAOMBA RADHI WABUNGE, WATANZANIA Neville Meena, Dodoma BUNGE jana lilipitisha bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini huku baadhi ya wabunge wakiitahadharisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Chama cha Wananchi CUF kimemuomba Msajili wa Vyama vya siasa nchini kuongeza kiwango cha matumizi ya kampeni kwa kila chama kufikia TSH. milioni 80 ili kufanikisha kampeni zao. Source: Star TV...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Mpango mzuri, Fikra pungufu kidogo Zitto Kabwe Taifa zima lilikuwa linasubiri siku ya tarehe 13 Agosti 2011 ili kufahamu ni jambo lipi jipya Waziri wa Nishati na Madini atakuja nalo kuhusu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kampuni ya Mabasi iliyokuwa imeahidiwa Tenda ya Usafirishaji abiria Jijini Dar mara baada ya Uda kuuzwa kwa Simon Group ni ya Idd Simba? Naomba mwenye data za kampuni hii atumwagie hapa jamvini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wanaoitwa wataalam wa hali ya hewa hapa nchini wana elimu ya kubaitisha.Habari nilizozipata kutoka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko huko anasema watu wengi wanaoingia huko Kigoma kilipo chuo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ushindi huu kwa wale wote wanojua siasa za Tanzania hakika I SALUTE YOU GUYS FOR YOUR NICE AND BEAUTIFUL STRATEGIC GAME CHESS VICTORY DURING THE END GAME VIVA VIVA FOR THE VICTORY...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napunguza urefu wa thread, soma hapo chini ufaidike, Maada yangu imefanikiwa kuibua vitu vingi sana, nawashukuru wachangiaji wote, na ndio maana halisi ya forum, chokonoa watu wteme sumu zao, Laaa...
11 Reactions
153 Replies
15K Views
Hivi kweli serikali yetu haifanyi biashara, je fedha inatoa wapi? Kama mtu hafanyi kazi na ana pesa then what is his best name and what can be his living ethics.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…