Je kipimo cha chama kuwa na nguvu ni kushinda chaguzi ndogo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kipimo cha chama kuwa na nguvu ni kushinda chaguzi ndogo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oldonyo, Aug 12, 2011.

1. o

oldonyo JF-Expert Member

#1
Aug 12, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 554
Likes Received: 1
Trophy Points: 35
Nimeamua kuandika post ii ili tuweze kuchangia mawazo na nyinyi,kwani kwasasa macho ya watanzania wengi yameelekezwa katika uchaguzi mdogo wa jimbo la igunga kama kipimo cha vyama kukubalika kwake.

Lakini tukirudi nyuma chaguzi nyingi ndogo hasa katika awamu ya kwanza ya jk zilifanyika hasa katika majimbo ya tarime,busanda biharamulo magharibi na mbeya vijijini nini matokeo ya chuguzi izi?

Ni kwamba ccm kiliweza kutetea viti vyake na pia chadema katika jimbo la tarime.lakini pamoja na ayo katika uchaguzi mkuu wa 2010 licha ya ccm kushinda chaguzi ndogo iliweza kugaragazwa vibaya na vyama vya upinzani sana sana chadema. Sasa nikweli uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga unaweza kutupa picha halisi ya 2015 mambo yatakavokuwa.

NAWASILISHA.

2. JamboJema

JamboJema JF-Expert Member

#2
Aug 12, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,148
Likes Received: 31
Trophy Points: 145
MKUU UNAUHAKIKA NA HIKI KITU AU HUPENDI TU CCM (cHAMA cHA mAIGIZO)?

3. o

oldonyo JF-Expert Member

#3
Aug 12, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 554
Likes Received: 1
Trophy Points: 35

ivi chama kutoka wabunge watano kama chadema adi arobaini na nane simafanikio?NCCR kutoka na wabunge zero hadi wanne simafanikio?CUF bunge la tisa haikuwa na mbunge tanzania bara leo wanae mmoja lindi mjini hayo sio mafanikio?turudi TLP leo nao wanatamba vunjo ayo sio mafanikio?kwani majimbo haya yaliyochukuliwa na upinzani yalikuwa yanaongozwa na nani?

4. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#4
Aug 12, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Siyo kipimo!

5. Barubaru

Barubaru JF-Expert Member

#5
Aug 12, 2011
Joined: Apr 6, 2009
Messages: 7,162
Likes Received: 26
Trophy Points: 0
Kila kitu kinawezekana ndio maana ikaitwa Siasa.

6. M

Mzee wa Posho Senior Member

#6
Aug 12, 2011
Joined: Jul 14, 2011
Messages: 160
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Chadema ina wabunge 23 akiwemo na shibuda! Hivyo ni kutoka majimbo matano hadi 23! Usipotoshe umma we Gwanda(mgambo)

7. lutamyo

lutamyo JF-Expert Member

#7
Aug 12, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 633
Likes Received: 37
Trophy Points: 45
Kwa mtazamo wangu hicho hakiwezi kuwa kipimo tosha labda kungekuwa na fair ground kaka... Tukumbuke kuwa mbwa hata ukimpa meno ya bandia hawez kumbwekea anayemfuga...maana nikuwa NEC na msimamizi ambaye ni DED hawawezi kamwe kuruhusu watoto wao wale nyasi

8. o

oldonyo JF-Expert Member

#8
Aug 12, 2011
Joined: Aug 11, 2011
Messages: 554
Likes Received: 1
Trophy Points: 35

je wazee wa kujivua gamba wana wabunge wangapi?ukiachana na kina sterah manyanya na kina vicky kamata bila kusahau viti kumi vya raisi na vile mlivotangaza kwa mtutu wa bunduki.

9. Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

#9
Aug 12, 2011
Joined: Nov 25, 2010
Messages: 31,782
Likes Received: 36,777
Trophy Points: 280
Kipimo ni nguvu ya umma.

10. M

Mafie PM JF-Expert Member

#10
Aug 12, 2011
Joined: Mar 19, 2011
Messages: 1,318
Likes Received: 2
Trophy Points: 135

Ama kweli kila mwizi anaogopa GWANDA.

11. fredmlay

fredmlay JF-Expert Member

#11
Aug 12, 2011
Joined: Apr 30, 2008
Messages: 1,855
Likes Received: 24
Trophy Points: 135
hawa wa viti maalum huwa wanaitwa nani tena.. eh nanii... nimesahau tena labda sio wabunge wao 'mzee wa posho' magamba proper

12. Michael Scofield

Michael Scofield JF-Expert Member

#12
Aug 12, 2011
Joined: Jul 30, 2011
Messages: 1,218
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Viti maalum wa ccm 50, hawaingii kwa kichwa kama Magdalena Sakaya, wingi wao ni wa kuitikia ndiyoooooooooooo.

13. Mungi

Mungi JF Gold Member

#13
Aug 12, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
kujua kama chaguzi ndogo ni kipimo cha chama fulani kukubalika inatakiwa kwanza utafiti ufanywe, kama vile wa synovate or redet.

mfano:
1. Jimbo lina wananchi wangapi
2. Lina wapiga kura wangapi
3. Wazee wangapi walijiandikisha kupiga kura
4. Vijana wangapi walijiandikisha kupiga kura
5. Wajinga wako kiasi gani
6. Wasomi wako wangapi
7. Uchumi wa wananchi unategemea nini na wanafaidikaje na products wanazozalisha wenyewe
8. Wanaathirika vipi na mfumuko wa bei hapa nchini
9. Nini matarajio ya hiyo jamii kimaisha na kiuchumi, na nani anaweza kuwasaidia kufikia malengo wanayoyataka

14. Mungi

Mungi JF Gold Member

#14
Aug 12, 2011
Joined: Sep 23, 2010
Messages: 16,985
Likes Received: 441
Trophy Points: 180
Mwizi utakaaje mbele ya Mpambanaji aliyevaa Gwanda? lazima utoke baru kama wewe mwizi

15. JamboJema

JamboJema JF-Expert Member

#15
Aug 15, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,148
Likes Received: 31
Trophy Points: 145
Hayo yooote sawa ila kuwa ndo CCM imegaragazwa sana! Hapa naona si kweli. Let's name a spade, a spade!

16. TUKUTUKU

TUKUTUKU JF-Expert Member

#16
Aug 15, 2011
Joined: Sep 14, 2010
Messages: 11,852
Likes Received: 43
Trophy Points: 145
Hapana mkuu!sample will be very sample to represent the whole population!!

17. Bishop Hiluka

Bishop Hiluka Verified User

#17
Aug 15, 2011
Joined: Aug 12, 2011
Messages: 4,100
Likes Received: 1,424
Trophy Points: 280
Kwa siasa za Tanzania, chama (hasa cha upinzani) kinaweza kukubalika sana
na kuchaguliwa lakini kisishinde, umesahau kuwa baada ya kura kinachofuata
ni uchakachuaji? Hivyo sidhani kama hiki ni kipimo sahihi.

Huu ni mtazamo wangu...

Loading...