Chunya kuna nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chunya kuna nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Daniel Anderson, Aug 15, 2011.

 1. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajanvi naomba kwa yeyote mwenye taarifa zaid kuhusu wachimbaji uchwara wa kichina waliopewa ruhusa bandia ya kuchota madini yetu huko. Je wanaendelea? Na kama ndio ni kwa ruhusa ya nani?
  Environmental impact assesment ambayo awali haikufanya sasa tayari?
  Madini yanayopatikana huko yanawanufaisha vipi wananch wa huko?
  Jaman kama kuna yeyote mwenye maelezo ya kina kuhusu wilaya hii atumwagie.
  Nawasilisha.
   
Loading...