Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimetangaza nia ya kugombea Udiwani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Aug 14, 2011.

1. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#1
Aug 14, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Ndugu, jamaa na marafiki wa JF habarini za saa hizi? Mimi sijambo!
Mimi, Ndege Edward S. Jacaduogo nimeamua kwa dhati kabisa bila kushinikizwa na mtu yeyote kugombea udiwani kata ya Nyahongo liliko jimbo la Rorya mkoani Mara kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)!

Hii ni kutokana na kujiuzulu kwa madiwani watatu wa kata tatu tofauti jimboni Rorya kuanzia December 2010 kutokana na maslahi ya kisiasa ndani ya CCM katika harakati za kuwania uenyekiti wa halmashauri ya Rorya. Kama nilivyowahi kueleza hapa JF kuwa madiwani watatu hao waliojiuzulu walikuwa kama wafuatao:

1. Ndugu Ambogo wa kata ya Nyahongo (CCM)

2. Ongujo Wakibara wa kata ya Mkoma (CCM)

3. Okeya Ogigo wa kata ya Nyamtinga (CCM).

Kampeni zinaanza tar 07/09/2011 na kura ni tar 02/10/2011 lakini mpaka sasa watu bado wanaendelea kuchukua fomu na wa CHADEMA tayari wamechukua fomu wanne na mwisho wa kuchukua fomu CHADEMA ni tar 24/08/2011. CCM wamechukua watano na mwisho ni leo jumapili 14/08/2011.

Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) 2011 katika mchepuo wa usimamizi wa biasha (BBA). Nilikuwa mwanaharakati na mwanachama mzuri wa CHADEMA na nilikuwa muwakilishi (CR) wa BBA kwa muda wa miaka mitatu.

Kwa heshima na taadhima na kwa dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na michango yenu ya kimawazo!
Tuko pamoja.

Kwa pamoja tutashinda kwani tunaamini katika Nguvu ya Umma.

Kwa pamoja tushikiane kutokomeza ufisadi na manyanyaso na udhalishaji wa kila namna!

Naomba kuwasilisha....

2. M

Masauni JF-Expert Member

#2
Aug 14, 2011
Joined: Aug 15, 2010
Messages: 378
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
sawa mkuu tupo pamoja

3. kingxvi

kingxvi JF-Expert Member

#3
Aug 14, 2011
Joined: Feb 11, 2011
Messages: 883
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
katange rorya hyo nia kwa wapga kura wako

4. Tz-guy

Tz-guy JF-Expert Member

#4
Aug 14, 2011
Joined: Aug 10, 2011
Messages: 439
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Fanya bidii, siasa inalipa...

5. Sir R

Sir R JF-Expert Member

#5
Aug 14, 2011
Joined: Oct 23, 2009
Messages: 2,177
Likes Received: 2
Trophy Points: 135
Najiandaa kwenda church, baadae ntakupa mbinu ya kushinda

6. G

Godwine JF-Expert Member

#6
Aug 14, 2011
Joined: Jan 15, 2010
Messages: 1,369
Likes Received: 45
Trophy Points: 145
7. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#7
Aug 14, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Huko Chadema unakoenda unapotea!

8. M

Mnyakatari JF-Expert Member

#8
Aug 14, 2011
Joined: Oct 25, 2010
Messages: 1,556
Likes Received: 486
Trophy Points: 180
Yes mkuu!Mpaka sasa mmechukua fomu za chadema watu wanne.Mchakato wa kumpata mgombea mm6ja wa cdm umekaaje hadi sasa?Mi nakupa moyo endeleza mapambano.Kama ukipitishwa na chama fahamu kuwa unapeperusha bendera ya chama makini kinachouzika kwa wananchi hivyo kuna uwezekano wa kushinda.Hivyo nawe watakiwa kuwa makini.

9. m

mzee wa njaa JF-Expert Member

#9
Aug 14, 2011
Joined: Jun 16, 2011
Messages: 1,368
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Komaa tu.

10. Ms Judith

Ms Judith JF-Expert Member

#10
Aug 14, 2011
Joined: Dec 24, 2010
Messages: 2,569
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
hongera sana mkuu,

Mungu akiwa upande wetu, hakuna atakayekuwa juu yetu. Mungu akutangulie katika azma yako ya kulinda na kusimamia maslahi ya watu wako

Bwana apewe sifa!

11. Ritz

Ritz JF-Expert Member

#11
Aug 14, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 42,252
Likes Received: 4,672
Trophy Points: 280
Subiri Katiba mpya tupate mgombea binafsi ndio ukagombee Magamba na Magwanda hamna kitu utakwenda kuwa mtumwa tu

12. Mwita Maranya

Mwita Maranya JF-Expert Member

#12
Aug 14, 2011
Joined: Jul 1, 2008
Messages: 10,569
Likes Received: 104
Trophy Points: 145

Nikupongeze sana kwa uamuzi wako wa kujitokeza kupigania maendeleo na ustawi wa watu wa Rorya.

Tunahitaji vijana wengi tena wasomi kwenye ngazi ya udiwani ili kuwadhibiti wakurugenzi wa halmashauri kufuja fedha kwa kuwabu

13. Rejao

Rejao JF-Expert Member

#13
Aug 14, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 9,239
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
There must be somebody using your ID'

14. DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

#14
Aug 14, 2011
Joined: Nov 13, 2009
Messages: 11,595
Likes Received: 4,709
Trophy Points: 280

Wacha unafiki wewe gamba laini, unasema magamba hamna kitu wakati ndiyo unakoshibia, kutwa nzima hubanduki kwenye keyboard kuwatete mafisadi aka magamba

15. e

erneus kyambo Member

#15
Aug 14, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 40
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Yes we can, ukombozi umewadia, hakuna la kutushinda hakuna wa kutushinda!

16. Baba Collin

Baba Collin JF-Expert Member

#16
Aug 14, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 458
Likes Received: 0
Trophy Points: 33
Big up!upo katika mikono salama mkuu.tunakussuport mpiganaji wetu.ila kumbuka usiwe msaliti km wale wa arusha.

17. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#17
Aug 14, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 11,996
Likes Received: 2,651
Trophy Points: 280

Futa kauli yako mara moja apotee kwani haoni?gamba la mamba we.

18. kichomiz

kichomiz JF-Expert Member

#18
Aug 14, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 11,996
Likes Received: 2,651
Trophy Points: 280

ID zenu si za ukoo labda atakuwa ni mjomba enu.

19. J

JACADUOGO2. JF-Expert Member

#19
Aug 14, 2011
Joined: Dec 13, 2010
Messages: 930
Likes Received: 3
Trophy Points: 35
Nawashukuru sana nazidi kuamini kuwa tuko pamoja. Niko huku kijiji na ninatumia simu na huku mambo ya Ngeleja ndo kama kawaida na tuko mbali kidogo na Ngeleja.
Nitazidi kuwapa taarifa kadri mchakato utakavyoenda!

20. O

Omr JF-Expert Member

#20
Aug 14, 2011
Joined: Nov 18, 2008
Messages: 1,160
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
sasa ulikuwa unataka nini?Mchango? Nenda kawajulishe watakao kupigia kura sio sisi. Mijitu mingine bana

Loading...