Bora wakati ule tulipokuwa na Rais Lowassa

Kithuku

JF-Expert Member
Nov 19, 2006
1,395
208
Naisema out of desperation. Ombwe linaloonekana wazi baada ya Lowassa kutemwa serikalini linaonesha ndiye aliyekuwa rais katika miaka ile 2 ya mwanzo ya utawala wa JK.

We saw and heard him making things happen rather than wait and talk about what has happened! Serikali ya sasa inazungumzia yanayotokea kama journalists tu, hata viongozi wanatoa comments tu badala ya kuchukua hatua za utendaji! Lowassa was better! Unfortunately I'm realizing this at a time when he can't get back in.

Na uzoefu wangu kama mwanahistoria ni kuwa kiongozi akishajeruhiwa kisiasa, akirudi madarakani anakuwa mbaya hatari kabisa, mifano: Milton Obote, Laurent Gbagbo, na wengine. Yaani hapa sasa hasa mwaka huu ni amang'ana gasarikire, tunahitaji system overhaul tuanze upya kabisa!
 
sidhani kama kuna umuhimu wa kumjadili lowassa kwani si muadilifu. tunataka viongozi waadilifu. full stop.
 
Huwezi jadili utawala wa JK bila kumjadili Lowasa. Utawala wa sasa umeyumba sana baada ya Lowasa kulazimishwa na bunge kujiuzulu. Amebakia Magufuli ndiye anaipa uhai serikali sasa.
 
hakuna nafuu cha muhimu ni kuondoa system nzima iliyooza ambayo ndio inasababisha tufikirie hivi kwa sababu baba riz 1 kafanya sub ya kichovu katoa afadhali kaingiza potelea mbali lowasa mwizi pinda mnafiki mlinda wezi na utendaji sifuri kwa ss hivi ha2wezi kupata waziri mkuu msafi ndani ya ccm hata hao wakina six, mwakyembe ni wanafiki wa2pu
 
Katika serikali yetu inabidi watu watano watoke,haijalishi wajiuzuru,wafukuzwe au wapate ajali washindwe kufanya kazi ndo tutaendele.hawa ni RAISI,W/mkuu,NGELEJA,MAKINDA na LUKUVI.
 
Lowassa wengi hatumpendi kwa sababu ya ufisadi wake lakini tumnyonge huku tukimpa haki yake. Alikuwa mchapa kazi. Angekuwapo Lowassa wahuni hawa wanaotunyima mafuta unadhani wangefanya hivyo kwa masaa sita? Taarifa ni kwamba Kikwete aliwaalika kula futari naye ndipo akawabembeleza kurejea kuuza mafuta!
 
Katika serikali yetu inabidi watu watano watoke,haijalishi wajiuzuru,wafukuzwe au wapate ajali washindwe kufanya kazi ndo tutaendele.hawa ni RAISI,W/mkuu,NGELEJA,MAKINDA na LUKUVI.
<br />
<br />
mkuu kweli hawa wanaboa sana ila tusiwaombee mabaya! Mwombee adui yako afanikiwe
 
Hata mimi namuunga mkono huyu jamaa, offcoz Edward ni mtu aliyekumbwa na kASHFA ya Richmond but yupo vizuri mno katika uchapakazi kushnda huyu Bwana Mizengo. wewe mwenye fikiri tangu unasoma shule ya msingi hadi hapo ulipo sasa, walimu wako walikuwa wanakwambia Waziri Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa Serikali, so any mistake that happen in Regime lazima aonekane kashiriki kwa upande mmoja au mwingine hata kama Hajakusudia, na ndio maana yale mambo yalimkuta, tofauti na Bw. Mizengo anakuwa na tabia ya uoga na unafiki tu, tena pengine anausika na mambo ya Jairo. Lowasa is a best , hache mambo yenu, ndani ya CCm hAKUNA M2 mwengne hanayeweza kufata nyayo za Edward bwana.
 
Cha kusikitisha hata waziri mkuu hajasema neno hata moja katika janga la umeme.. BP 50% share ni za serikali sasa kiongozi wa serikali inabidi atwambie kwanini nao waligoma? Leo nimesika kaimu mkuu wa mkoa dar anazungumza baada ya kitimutimu kuisha je alikuwa wapi? je ngeleja kama asingekuwa January Makamba ungeyasemea wapi?
 
Mimi naunga mkono mtoa hoja. Kwa jinsi nchi inavyokwenda sasa, ni afadhali ya mwizi mchapa kazi kuliko ya huyu JK na kilaza mwenzie Pinda.
 
isije ikawa ombwe hili linaonekana zaidi kutokana na kupanga mbinu za kumwangusha Rais,ili tu ionekane kuwa fulani anafaa .Mungu ibariki Tanzania
 
Ndani ya CCM waadilifu wapo. Tunao na kila siku wanalalamika. Ukienda huko wilayani ndo utatambua wasivyoridhika. Kampeni za matumizi makubwa ya fedha sasa wamebaini ni Mtandao wa kifisadi unaonufaika ndo mana nao wanataka mjumbe wa HK atoke Wilayani. Lowasa kwa kutumia uPM alipanua mtandao wake kupitia wakuu wa mikoa, wilaya na maded. Ndiyo maana pamoja tuhuma kwake mtandao wake unaendelea kumpa matumaini ya urais. Umma wa ukweli haumhitaji
 
hakuna nafuu cha muhimu ni kuondoa system nzima iliyooza ambayo ndio inasababisha tufikirie hivi kwa sababu baba riz 1 kafanya sub ya kichovu katoa afadhali kaingiza potelea mbali lowasa mwizi pinda mnafiki mlinda wezi na utendaji sifuri kwa ss hivi ha2wezi kupata waziri mkuu msafi ndani ya ccm hata hao wakina six, mwakyembe ni wanafiki wa2pu

Hiyo system Unataka kumweka nani hapo ambae hajaoza ??? .............Mwanasiasa ambaye hajaoza kwa mtizamo wako Bado hajazaliwa ............
na kama kazaliwa bado hajaanza kwenda shule Bado................
 
Back
Top Bottom