*Wadai chanzo ni uchimbaji mafuta mpakani
*Yashauriwa leseni itolewe kwa nchi mbili
Na Godfrey Ismaely
IKIWA imepita miaka kadhaa baada ya Tanzania kuingia vita kati yake na Uganda kwa ajili ya...
Nilitegemea vyama vya siasa kuzungumzia uboreshaji wa daftari la wapiga kura kwanza.
Vijana wengi wamefikisha umri wa kupiga kura maana mwaka na zaidi umepita tangia daftari liboreshwe, watu...
Heshima mbele wanajamvi!
Hivi hii bendera ya Gadaffi ni ya ccm? au kunausiano wowote kati ya bendera ya ccm
na bendera hii ya Gadaffi? Maana ile bendera nyingine inayopeperushwa na wananchi...
Nimekuwa nikifuatilia bunge linaloendelea kwa karibu sana ili nione jinsi ambavyo mbunge wangu Mh. G. Lema atakavyo peleka kero za wapiga kura wake wa hapa Arusha mjini. Kwa bahati mbaya sana...
Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji...
Aliyekamatwa ndugu Gervas Mgonja ni kutokana na yeye gari yake ambayo huwa anaikodisha kukutwa eneo la tukio na hivyo ndio mkilichopelekea kukamatwa na hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Rco.
Ni...
Kampuni yoyote katika nchi yoyote ni corporate citizen yenye haki kama raia yoyote. Yana uhuru wa kuchangia michango chama chochote inachoona kitasimamia maslahi yake kikiingia madarakani.
Kwa...
Ndugu wana JF,
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nasikia na kuona viongozi wetu wakisifiwa kwa kujitahidi kuvutia wawekezaji kuliko nchi nyingine hapa Afrika. Swala linalonipa maswali ni hili hapa...
"No nation has the right to make decisions for another nation; no people for another people. "Julius Kambarage Nyerere, from his A
Peaceful New Year speech given in Tanzania on 1 January 1968...
Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na...
source: CNN
Let's consider the world from the point of view of an Arab dictator. Currently, there are three retirement options for any dictator: die in office and hope your sons take over, flee...
Tetesi zinazoaminika ni kuwa Polisi nchni nzima wameweka Mgomo Baridi kupokea hile Posho ambayo Bunge waliambiwa ni Tsh.150,000 wakati wao wanapewa Tsh.100,000, Mgomo umeanza tokea tarehe 15 Mwezi...
Monday, 22 August 2011 09:06
Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela
ASEMA KAMA INATAKA KUENDELEA KUSHIKA DOLA IWAFUKUZE ATUMUMIWA WA UFISADI
Boniface Meena
WAZIRI Mkuu mstaafu, John Malecela...
Kiongozi Machachari na Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila Amekusudia Kumshtaki Mchungaji Mstaafu Ambilikile mwasapila Babu Wa Loliondo kwa Kusababisha Maafa ya Watu Kupitia Dawa yake...
Waungwana naombeni kujuzwa vipi baada ya wale jamaa kukutwa live na MADAWA ya KULEVYA namaburungutu ya hela vipi hole shamans waliyowekewa wall hapa nchini au ndio wameshasepa????
Chama cha Democrasia na Maendeleo chadema kimeanza kupoteza mvuto katika mkoa wa kigoma hii ni kutokana na chama hicho kutokuwa wanaongelea matatizo ya mkoa huo bungeni.
Huku wakijikita hasa na...
Mbio za ubunge Igunga Dkt. Slaa, Zitto kuzindua kampeni
*CHADEMA kutumia helikopta Igunga
*Yaanika mikakati ya kushinda jimbo
*CCM yavuta pumzi, yasubiri CC
Na Benjamin Masese
VUGUVUGU la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.