Ngeleja has to resign, we smell rat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja has to resign, we smell rat

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by montroll, Aug 20, 2011.

 1. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  what he said or forced to say and promise pale Dom mjengoni, was it a hoax?

  Umeme kukatika kama kawa!
  Mbagala saa hii umekatika without notice!

  Ngeleja ajiuzulu, by giving a promise he can not fulfill,

  Akubali ameshindwa,
  aondoke tu.
   
 2. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimeamini maneno ya Kafulila kwamba "serikali ya ccm sio serikali sikivu ni serikali kiziwi" yaani watu wakipiga kelele ndo inasikia. Juzi Wenje ametoa hoja ya tatizo la umeme hasa maeneo ya Mwanza na Arusha ambako ulikatika karibu siku nne mfululizo. Kuanzia jana hadi leo naona umeme upo huku Arusha na Mwanza washikaji wameniambia upo nikajua kumbe kweli hii ni serikali kiziwi, naamini tukiandamana nchi nzima hawa viziwi watasha umeme sasa hivi wanasikilizia baadhi ya maeneo, wakisemwa sana wanawasha mkitulia wanazima, kazi kwelikweli.
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,107
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa ni waajabu sana, maybe kuna hujuma zinafanyika ili ionekane dhahiri kushindwa kwa Serikali legelege.
   
 4. Wacha

  Wacha JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 856
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Ngeleja na Jairo hawawezi kuondoka kwa sababu wanalindwa na Fisadi papa.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0

  Wewe wacha pumba, Ngeleja amesema waziwazi kuwa matatizo ya mgao yatakwisha December. Sasa hiyo miadi alikupa wewe peke yako?
   
 6. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  BLM kuvunjwa muda si mrefu kwa maslahi ya Taifa.
   
Loading...