Wana JF tumsaidie kijana huyu!

Status
Not open for further replies.

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207
Samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya na kuwapa pole .. Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa na mwanajamvi mwenzetu VIKWAZO.. (saidia Mtanzia mwenzetu anateseka) weli wengi tumeisoma na imetugusa sana na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea kidogo tulicho nacho. Ila tatizo hakuna wakukusaya.

Waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo mtu tekelezee hili ( Kukusanya hizo fedha) Hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari ..... Inapendeza sana kuona wana JF tunajitolea kwa moyo na kumsaidia Mtanzania mwenzetu.. anaye taka kujionea na kusoma link hii hapa..

https://www.jamiiforums.com/habari-...mtanzania-mwenzetu-anateseka.html#post2209158


abas uvimbe.jpg
abasi 2.jpg



Asanteeni sana wakuu Tunaomba sana tena sana Na samahani kwa usumbufu...



Article yenyewe hii hapa
http://www.mwananchi.co.tz/makala/-/...aidieni-jamani.

UPDATE:
- Kijana amefikishwa KCMC asubuhi hii kwa msaada mkubwa wa Mhe. Hood wa Mogorogoro ambaye amejitolea kugharimia mitibabu.
- Hadi hivi sasa haijajulikana bado gharama zote za matibabu zikuwa ni kiasi gani na kama matibabu hayo yanaweza kufanyika hapa nchini au la
- Familia ya Abbas ni maskini kwa maana ya neo "maskini" na hivyo pamoja gharama hizo bado kutakuwa na mzigo mkubwa kwa familia.
- Kampuni ya Mwananchi ambao wamekuwa wakicoordinate suala hili wanafanya mpango wa kuweza kufundua Abdallah Abbas Medical Fund ya kusaidia gharama za matibabu na nyingine kwa familia. Endapo litafanikiwa hili mapema leo au siku chache zijazo itakuwa ni njia rahisi ya kuweza kuchangia kutoka sehemu yoyote duniani.

UPDATE:
Maxence atapokea michango yote ya wana Jamii Forums.
Na ata toa report baada ya kupokea michango ...
Kwa anaye taka kuwasiliana na Maxence directly ..
Number hii hapa +255713444649 ...(
0713444649 )

KUCHANGIA:
M-PESA: +255 755 642929
ZAP: +255 784 526 444
BANK: CRDB - Acc # 01J2092391800 - Maxence M. Melo
CREDIT Cards:
https://www.jamiiforums.com/payments.php
PayPal, send to: mwanakijiji@klhnews.com


MPAKA SASA: (hata michango iliyokuja kuisaidia JF imeunganishwa)
Watakaochangia zaidi list itawekwa chini ...


====================
Michango kuanzia Julai 18, 2011

  1. Chakaza - TZS 50,000/=
  2. Kilewo - TZS 50,000/= (kapeleka mwenyewe)
  3. SOMEONE - $100.00
  4. Arabian Falcon - TZS 50,000
  5. Maxence Melo - TZS 100,000
  6. Fidel80 - TZS 30,000
  7. Hakutoa ID - TZS 25,000
  8. Hakutoa ID - TZS 30,000
  9. BAK - TZS 23,000 (hazijachukuliwa, will confirm)
  10. afrodenzi - USD 158.00
  11. Aine - TZS 20,000
  12. First Born - TZS 10,000
  13. VIKWAZO - USD 47.00 (30GBP)
 
We bwana...niliogopa kufungua hiyo thread kwa kuhofia ntakachoona ila sasa imebidi. Inatisha na kusikitisha kwa wakati mmoja...

Ukipata mwongozo nijulishe nikuunge mkono kidogo.
 
Wazo zuri naunga hoja!! Thtz y watu wanahoji Jf tuwe creative!! mambo ya Saccos, Timu ya mpira JF, Uchaguzi wa Sredi bora 5 za mwaka, na mambo mengine mengi yanawezekana. Nashangaa Mods wanakalia uchumi vitu vyote hivi!!

Mods amkeni mpo kwenye usingizi mzito!! Sio mnajitokeza kusaidia Mamiss tu, vitu vya msingi mmevikalia...dah inauma sana!!
 
samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo
kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya
na kuwapa pole ..

Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa
na mwanajamvi mwenzetu vikwazo..
(saidia mtanzia mwenzetu anateseka)

kweli wengi tumeisoma na imetugusa sana
na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea
kidogo tulicho nacho.
Ila tatizo hakuna wakukusaya.

waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo
mtu tekelezee hili ( kukusanya hizo fedha)

hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari
..... Inapendeza sana kuona wana jf
tunajitolea kwa moyo na kumsaidia mtanzania mwenzetu..


Ad.....

AD

count me in
 
Nakubaliana nawe kabisa. Ni wajibu wa kibinadamu kuwasaidia wenye matatizo kama huyu kijana.
 
We bwana...niliogopa kufungua hiyo thread kwa kuhofia ntakachoona ila sasa imebidi. Inatisha na kusikitisha kwa wakati mmoja...Ukipata mwongozo nijulishe nikuunge mkono kidogo.
Binafsi imenigusa sana..Kimya kikizidi itabidi nifungue thread Kwenye kila idara..Tufanye tuwezalo itakuwa vizuri sana.. Inapendeza hata mbele za Mungu ... Sante mpenzi
 
ad,tuko pamoja! its high time tuchangie wagonjwa na wahitaji wa elimu tuachane na maharusi!
Umenena cha maana sana mpendwa.. Maana hakuna atakae penda kutokewa Na kitu kama hicho.. Maana tukianza kupiga kelele kwa nini Mbunge asione hili... Mmhhh na dhani umeshajua matokeo..Sante mpendwa..Tuko pamoja.
 
Wazo zuri naunga hoja!! Thtz y watu wanahoji Jf tuwe creative!! mambo ya Saccos, Timu ya mpira JF, Uchaguzi wa Sredi bora 5 za mwaka, na mambo mengine mengi yanawezekana. Nashangaa Mods wanakalia uchumi vitu vyote hivi!!Mods amkeni mpo kwenye usingizi mzito!! Sio mnajitokeza kusaidia Mamiss tu, vitu vya msingi mmevikalia...dah inauma sana!!
Uko tayari kumchangia huyu Mtanzania mwenzetu???
 
Samahani wakuu

naomba nichukue muda wenu kidogo
kuwashukuru kwa kazi nzito mnayofanya
na kuwapa pole ..

Dhumuni ya kuandika hii thread
ni kuhusiana na thread iliyofunguliwa
na mwanajamvi mwenzetu VIKWAZO..
(saidia Mtanzia mwenzetu anateseka)

kweli wengi tumeisoma na imetugusa sana
na kuna wanajamvi ambao tuko tayari kujitolea
kidogo tulicho nacho. Ila tatizo hakuna wakukusaya.

Waheshimiwa tungeomba sana muda wenu kidogo
mtu tekelezee hili ( Kukusanya hizo fedha)

Hata kama hazitatosha kwa hospitali lakini zitamsaidia kwa sukari
..... Inapendeza sana kuona wana JF
tunajitolea kwa moyo na kumsaidia Mtanzania mwenzetu..


anaye taka kujionea na kusoma link hii hapa..



https://www.jamiiforums.com/habari-...mtanzania-mwenzetu-anateseka.html#post2209158

Asanteeni sana wakuu
Tunaomba sana tena sana
Na samahani kwa usumbufu...

AD.....


PM could have done much better

I second your Idea thou...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom