19/08/2011 ni Mwaka mmoja Toka CCM Watangaze Hussein Bashe si Raia wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

19/08/2011 ni Mwaka mmoja Toka CCM Watangaze Hussein Bashe si Raia wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MVUA GAMBA, Aug 20, 2011.

 1. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana Jf

  Leo ni mwaka Mmoja toka CCM walipotutangazia Hussein Bashe Kada wa CCM alieongoza Kura za Maoni kuwa Si RAIA wa Tanzania,Cha ajabu yupo anashiriki vikao vya CCM na ni Kiongozi wa Chama hicho.

  Nimeleta hapa kama kumbukumbu naomba kuwasilisha
   
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  huu ni upuuzi mkuu hapa sio sehemu yake haya mambo ya uraia wa BASHE yameongelewa sana hapa
  tumia voucher zako kujenga nchi, ina maana hujui kama hiyo ilishakanushwa na waziri wa mambo ya ndani? au unataka tujadiri nini hapa?
  MODS iungeni hii post na zile za BASHE tumechoka kujadili watu, au chit chat
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Inaomyesha una hasira sana!!!!....cool down ma frnd???
   
 4. M

  Magarinza Senior Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: May 9, 2008
  Messages: 122
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Acha kufikiri kibwana mdogo wewe. Hoja siyo Bashe "msomali" hapa, hoja ni kitendo cha chama cha MAJOKA kutwambia mtu si mtanzania, wakamvua nyazifa zote alizokuwa nazo katika chama chao alafu bila kupewa taarifa nini kilijili baadae, mtu huyo huyo leo ghafla amekuwa raia mwema na kiongozi ndani ya chama hicho hicho cha MAJOKA.

  Tunakumbuka kikao kilichoharamisha uraia wa Bashe kiliongozwa na brazamen JK ambaye (kwa bahati mbaya sana kwetu) leo ndiye rais na mwenyekiti wa chama hicho hicho cha MAJOKA. Huu ni zaidi ya uwendawazimu. Kwa kitendo hiki(cha kuruhusu mtu asiye raia kuwa kiongozi ndani ya chama anachokiongoza) kwanini tusiamini huyu jamaa anaweza kuuza nchi (anaiuza) muda wowote na yeye akasepa!!??
   
Loading...