EWURA yasalimu Amri kwa BP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EWURA yasalimu Amri kwa BP

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHOST RYDER, Aug 19, 2011.

 1. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Baada ya mbwembwe nyiiiingi....Mkurugenzi wa BP kufikishwa Mahakamani kujibu tuhuma za kukaidi Agizo la Serikali...mara tumesimamisha leseni ya BP kwa miezi mitatu kwa kukaidi Agizo la Serikali.

  Kwa kweli siku zinakimbia sana kama ni hivyo maana miezi mitatu ya EWURA itakuwa imekwisha, nikisema hivi ni kwamba BP mziki mdundo mafuta yamenza kuuzwa toka jana katika vituo kadhaa Nchini...Jana nimekunywa mafuta BP kwa bei saafi ya 2264.

  Haaya Ubabe na mwembwe za Haroun Masebu waaapi.

  Naamini kabisa EWURA kasalimu Amri kwa BP

  ADIOS
   
 2. N

  Nsengimana Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haa!sitaki kuamini kama sirikali ya magamba imefua dafu mbele ya hawa mabeberu,shame on magamba.
   
 3. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  usanii tupu, walisema bp itaendelea kuuza rejareja baada ya kununua kwa wauzaji wengine wa jumla
   
 4. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Jamaa si wamegoma kushusha mafuta mazito? kazi kwake
   
 5. m

  maoniyangu Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  tatizo hapa inaonekana uelewa mdogo au huna habari za kutosha. nenda kasome tena ile taarifa ya kuifungia bp ukiwa umetulia utaelewa. bp imefungiwa kuuza mafuta ya jumla. vituo vya reje reja vyenye nembo ya bp vinaruhusiwa kuuza mafuta ila wasinunue kutoka bp.
   
 6. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Hawana ujanja isipokuwa kusalimu amri tu. Hivi unajua kuwa
  hata mgao wa umeme uliopo Mwanza ni kwa sababu jenereta
  zinazozalisha umeme huko zinatumia mafuta mazito ambayo
  yanauzwa na BP peke yake?
   
 7. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Utakuwa unaishi UGANDA
   
 8. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Arudi tena kwenye TV aseme kama na kwa hilo wamekaidi Agizo
   
 9. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  ile ilikua sanaa na wasanii
   
 10. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nani anayedhibiti BP kuwa anunue kwa wauzaji wengine na Auze kwa bei ya Faida baada ya kukataa ile ya awali ambayo wengine waliikubali na source ya mafuta wote ni moja. Duh na mashaka na CV za watendaji pale EWURA Mkuu
   
 11. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa wameingia kwenye Michezo na wachezaji...Hapa pazuri sana
   
 12. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Nasikia zimemegwa kusikojulikana MegaWatt 20 inawezekana wamenunua mafuta haya kutoka BP kuwasha mashine hizo maana matukio yanaendana, jana umeme Mwanza umewaka na maji yametoka na jana BP kafungua vituo vyote anauza mafuta
   
 13. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Nitawasiliana na watu wa masuala ya filamu
  ili ichezwe filamu ya Ewura. teh teh teh!!!
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sijui ilikuwaje hakuna mbunge aliyehoji kauli ya Ngeleja kuwa wamefungia BP. Ukitafakari kwa makini ni kwamba BP hawajafungiwa. Ni hivi: Ngeleja alisema wanaruhisiwa kuuza mafuta yao kwa wengine na hivyo wale wauza mafuta rejareja wenye nembo ya BP wataruhusiwa kununua mafuta kwa wengine. Now, in real essense, Ngeleja anasema BP wanaruhusiwa kufanya biashara ya jumla na sio ya rejareja! Swali, kuuza kwa jumla sio biashara? Sasa haya majigambo ya kufungiwa leseni yanatoka wapi? kNa hakuna mahali popote aliposema Ngeleja kuwa BP wamekatazwa kuagiza mafuta. Ina maana BP wanaendelea na biashara ila tu wasiuze kwa rejareja!!!

  Mwenye data atusaidie, vitu vya rejareja vya BP viko vingapi? vingi ya vituo vya BP vinatumia nembo ya BP tu!. Usanii mtupu.
   
 15. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Inasemekana serikali yetu inamkataba na BP wa kuwauzia mafuta mazito ya kuendesha mitambo ya umeme so mpaka jana ilikuwa haijawashwa iyo mitambo so ndio maana BP walikuwa na kiburi.
   
 16. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Tz taaabani kwa matajiri.
   
 17. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  walikurupuka na maamuzi yao
   
 18. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  SI SAHIHI KUSEMA MAFUTA MAZITO YANAUZWA NA BP PEKEE. TOTAL PIA WANAUZA MAFUTA MAZITO!!!
  PIA SI SAHIHI KUSEMA BP IMEFUNGIWA:- HUWEZI KUMFUNGIA KWA KUMRUHUSU AUZE MAFUTA KWA JUMLA KISHA WAKALA WAKE AKACHUKUE KWA WALE WALIOUZIWA KWA JUMLA. HEBU JIULIZE HIVI:-
  1. Huyo wa rejareja akienda tuseme oilcom ambako mafuta ya BP yamewekwa akanunua lita zake 1000000 invoice ikaandikwa oilcom lakini pesa ikaenda BP katika jina la kulipa deni la yale mafuta yaliyoletwa kwa bei ya jumla. Je, hayo mafuta yatakuwa yameuzwa kwa huyo mteja na Oilcom au BP?
   
 19. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  BP walizuia wauzaji wao wa rejareja na wanaotumia Nembo ya BP kwa kuwa walikuwa hwakubalini na suala la wao kuruhusiwa kuuza kwa kununua kwa wauzaji wengine wa jumla na kwamba wangefanya hivyo endapo tu wataendelea kusambaza wao Nishati hiyo kutoakana na usimamizi wa nembo yao kimataifa kwa ubora na mafuta wa rafiki wa mazingira.

  Pamoja na EWURA kuwazuia kuuza kwa jumla mafuta ya Taa, petrol na Diezel lakini hawakuweza kuwazuia kuuza mafuta ya Ndege kwa kuwa EWURA haina mamlaka na Nishati hiyo

  Swali: Nani sasa anadhibiti uuzaji wa mafuta ya Ndege

  kwa hiyo kufunguliwa kwa vituo vya BP kuna maanisha wamaesalimu Amri na kuwakubalia wao kusambaza nishati hiyo kwa kuendelea kulinda mkataba wa biashara wa kimataifa na Haki Miliki ya Viwango vya BP

  Arusha wamefungua - kanunue kama upo huko

  Mwanza pia

  DSM pia

  Mbeya Sijui na Dodoma Sijui

  Kweingineko walishafunga vituo vyao kutokana na Uchakachuzi wa Mafuta ulikithiri
   
 20. GHOST RYDER

  GHOST RYDER JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,025
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Critical Thinking

  :clap2:
   
Loading...