Ufisadi wa wanyama pori TANAPA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi wa wanyama pori TANAPA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinganola, Aug 20, 2011.

1. kinganola

kinganola Senior Member

#1
Aug 20, 2011
Joined: Aug 16, 2011
Messages: 118
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Hivi,mimi nauliza,hivyo vibali wanavyo tumia hao wenye makampuni ya kukamata wanyama pori hai na kuwauza nje ya nchi,nani ameviandaa?,Hao jamaa,wametumalizia wanyama wetu,nimebahatika kusikiliza mahojiano ya mwizi mwizi wa wanyama pori katika media fulani,nimesikitika sana,jamaa amekiri toka aanze hiyo kazi mwana 1997,wameiba na kasafirisha maelfu ya wanyama,poleni wata tz wenzangu,mbuni,swala,twiga,simba,p-milia,tomson,chui,dog mwitu,fisi nk,wame ibwa na kuuzwa mataifa ya nje na hasa uarabuni,jamaa kakiri wamewahi kukwapua swala kama alfu na kuwasafirishia KIA,swala wanaminyana hadi wana zaa Air Port,jamani,hii si aibu?

2. kaburungu

kaburungu JF-Expert Member

#2
Aug 20, 2011
Joined: Mar 9, 2011
Messages: 1,608
Likes Received: 2,461
Trophy Points: 280
Mkuu media ipi ulosikia huyo mwizi (mtuhumiwa) anaongea? Kuwa wazi kidogo.

3. Bishop Hiluka

Bishop Hiluka Verified User

#3
Aug 20, 2011
Joined: Aug 12, 2011
Messages: 4,101
Likes Received: 1,425
Trophy Points: 280
Nimepita tu...

4. P

PakavuNateleza JF-Expert Member

#4
Aug 20, 2011
Joined: Sep 9, 2009
Messages: 957
Likes Received: 513
Trophy Points: 180
You dont know what you are talking.Try to find out what TANAPA is doing before posting

5. NOT ENOUGH

NOT ENOUGH JF-Expert Member

#5
Aug 20, 2011
Joined: Dec 8, 2010
Messages: 526
Likes Received: 8
Trophy Points: 35
Nimesoma thread yako mara 3 sijailewa, nahisi unataka kuleta story za kule kwenye kahawa. Jipange uandike thread yako vizuri then we will assist you. Tofautisha kati ya National parks, Game reserves, WMA and Hunting blocks then do the needful allocation. Mfano ulichoandika na TANAPA havina uhusiano kabisa.

Goodweekend

6. F

Froida JF-Expert Member

#6
Aug 20, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 7,903
Likes Received: 1,330
Trophy Points: 280
[​IMG]  [​IMG]

7. Patriote

Patriote JF-Expert Member

#7
Aug 20, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 1,718
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Ndugu mtoa mada naomba nikupe elimu kidogo juu ma rasilimali hii ya wanyamapori, kwanza kabisa hapa nchini tuna taasisi za aina tatu zinazohusika na uhifadhi wa wanyamapori. Kwanza ni Tanzania National Parks (TANAPA) hawa wanasimamia national parks, hapa tanzania zipo kama 15 tu, wao wanaruhusu utalii wa kutazama tu (game viewing or other form of non consumptive wildlife utilization), sio kuua mnyama. yaani no hunting wala live animal capture/kukamata. shirika TANAPA linaongozwa na Mkurugenzi Mkuu, makao makuu yapo Arusha.

Pili kuna Department of Wildlife, linaongozwa na Director of Wildlife/mkurugenzi wa Wanyamapori, linasimamia Game Reserves 18+, Game controlled areas 20+ pamoja na wanyamapori waliopo katika maeneo ya wazi/ya vijiji (Wildlife Management Areas -WMAs 16+). ndani ya Mengi ya maeneo haya vimetengwa viplot vinavyoitwa Hunting Blocks ambamo uwindaji hasa wa kitalii unaruhusiwa. Ni ndani ya Idara hii ambapo wanaruhusu uwindaji, ukamataji na usafirishaji wa wanyama hai, biashara hizi ni halali kama zinafanywa kwa kufuata taratibu na sheria za nchi. Makao makuu ya Idara yapo Dar Es Salaam.

Tatu ni Ngorongoro Conservation Areas, eneo hili linasimamiwa na mamlaka ya hifadhi ya ngorongoro NCAA, Lipo eneo moja tu ambalo ni ngorongoro, makao makuu yapo ngorongoro. mamlaka hii inaongozwa na Chief Conservator. hapa Game viewing tu ndio inaruhusiwa.

Okey, turudi kwenye topic uliyoianzisha.

baada ya kupata elimu hiyo tueleze sasa wanaJF kinagaubaga ulikuwa unataka kutujuza nini??????????????????Otherwise itabidi uombe kuiondoa huja yako kwenye jamvi.

8. kinganola

kinganola Senior Member

#8
Aug 20, 2011
Joined: Aug 16, 2011
Messages: 118
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

Kipindi cha kina Zembwela EA Radio,siku ya alhamisi asubuhi tarehe 18,walikuwa na mahojiano na huyo mwizi live,live.

9. s

sem2708 JF-Expert Member

#9
Aug 20, 2011
Joined: Nov 4, 2010
Messages: 3,094
Likes Received: 507
Trophy Points: 280
Hivi wakuu huu uwindaji na utoroshaji wa wanyama pori vinalandana na ile issue ya mzee ruksa ya loliondo miaka ile? Just want to know mates.

10. dudus

dudus JF-Expert Member

#10
Aug 20, 2011
Joined: Feb 28, 2011
Messages: 7,780
Likes Received: 6,114
Trophy Points: 280
Halafu kama nchi ya machizi vile! Si juzijuzi tulinunua faru, tena kwa maelfu ya rand, kutoka Afrika Kusini? Sasa tunauza wachache tulio nao ili watakapoisha kesho tukanunue huko huko tulikouza? Ama kweli nchi ya wachuuzi!

Badala ya kufikiria ku-invest kwenye viwanda vikubwa na kilimo kwa ajili ya ku-export bidhaa za viwandani including processed agricultural, livestock, and sea products; tunawaza kuchuuza hadi digidigi.

Yaani kwa lugha nyingine hatutaki kabisa kujishughulisha, vile alivyotupa Mungu tunauza hivyohivyo bila any added value - angalia madini (dhahabu, tanzanite, uranium, n.k); wanyamapori (twiga, digidigi, n.k.), ardhi (mapori kama yalivyo), mazao ya baharini (sangara, kamongo, kama walivyo).

Nchi ya kusadikika hii! Lakini chanzo cha mambo yote haya ni nini?

11. Patriote

Patriote JF-Expert Member

#11
Aug 20, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 1,718
Likes Received: 153
Trophy Points: 160
Ni utu uzima tu kung'ang'ana ni jadi, ila kama source ndo hiyo, basi kwa kweli hiyo source inaqualify kuitwa unreliable source of information.

12. mashikolomageni

mashikolomageni JF-Expert Member

#12
Aug 20, 2011
Joined: Jan 5, 2010
Messages: 1,565
Likes Received: 5
Trophy Points: 135
Napita tu

13. montroll

montroll JF-Expert Member

#13
Aug 20, 2011
Joined: Jul 31, 2011
Messages: 288
Likes Received: 51
Trophy Points: 45

Amini amini...nawaambia, tutalia na kusaga meno na hakuna kitakacho salia ...Hadi CCM iondolewe madarkani!

14. p

plawala JF-Expert Member

#14
Aug 20, 2011
Joined: Jan 10, 2011
Messages: 627
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Tutawaondoaje? kura wanachakachua,maandamano wanataka kuyatungia sheria,hoja za majukwaani wanakimbia

15. Halisi

Halisi JF-Expert Member

#15
Aug 20, 2011
Joined: Jan 16, 2007
Messages: 2,810
Likes Received: 83
Trophy Points: 145

Safi sana kwa kutoa mwongozo na umefanya vyema kutomkatisha tamaa, kwa mwongozo huu naamini mtoa mada atatuwekea data kwa umakini zaidi ikiwa ni pamoja na kuweka rejea ya chombo alichomuona ama kumsikia huyo mwizi wa wanyamapori.

16. C

Chacky Member

#16
Aug 20, 2011
Joined: Nov 3, 2010
Messages: 43
Likes Received: 0
Trophy Points: 13
Nashukuru sana kwa ufafanuzi. Naamini hujamsaidia yeye tu, ila hata mimi nimeelewa mchanganuo ukoje

17. K

Karata JF-Expert Member

#17
Aug 20, 2011
Joined: May 1, 2011
Messages: 324
Likes Received: 26
Trophy Points: 45

Loading...