CUF na CHADEMA kuisindikiza CCM uchaguzi mdogo Igunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF na CHADEMA kuisindikiza CCM uchaguzi mdogo Igunga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by President Elect, Aug 20, 2011.

 1. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kuna uwezekano mkubwa sana wa vyama vya CUF na CHADEMA, kuwa wasindikizaji katika uchaguzi mdogo jimbo la Igunga.

  Tathmini iliyofanywa mara tu baada ya kumalizika kwa zoezi la kura za maoni ndani ya vyama hivyo, inaonyesha kuwa mtandao wa CCM umeenea kila kona ya jimbo hilo na ukitumika vizuri mgombea wake atashinda kwa kishindo.

  Dalili za aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Rostam Aziz, kuunganisha nguvu ili kubakiza kiti hicho kwa CCM, ni changamoto nyingine kwa vyama vya upinzani vyenye wagombea wake katika uchaguzi huo mdogo.

  Nawatakia kila la heri wagombea wote, na kampeni za amani.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mwita25 wishes to thank you for such a cerebral, pithy and canonical analysis. Hopes that CHADEMA would find a way to win IGUNGA constituency is a chimera. They should first strengthen party structure from the bottom.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,798
  Likes Received: 36,830
  Trophy Points: 280
  U should think like lawyer.
   
 4. usininukuu

  usininukuu JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kura zitaamua CHADEMA ni chama makini naamini kitafanya vizuri
   
 5. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 2,461
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Asante ndugu mnajimu wa kanda ya Afrika mashariki na kati! Zidumu fikra zako.
   
 6. P

  PETER NYAMWERO Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 7. P

  PETER NYAMWERO Member

  #7
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu umeongelea CCM tu unajuaje CDM amajajiandaa hivyo suala ingine sio mtandao wa suala lililopo ni kuwarudishia mgombea bora hapo CC YA CDM isiharb ukishaharb hapo basi na jimbo limepotea
   
 8. m

  mopaomokonzi JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna ubishi hali imekuwa tofauti na ilivyoanzakuonekana, sasa sehemu zote makundi ya watu yanasema CCM inashinda. Pia mtandandao uliotengenezwa na kiongozi wa ccm aliyeko huko bwana Mwigulu ni wa kisayansi mno kwenye kila kundi. Haina ubishi ccm watashinda
   
 9. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  No Research, no evidence, no right to speak.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  CCM na CUF ndio watakuwa wasindikizaji wa CHADEMA kwani imesimamisha kamanda mwingine mpambanaji, anayeyajua vizuri matatizo ya wana Igunga. CCM imemsimamisha Kafumu, kwa muda mrefu amekuwa kamishna wa madini hakuna kitu amefanya. Huyo atakuwa mtaji wa chadema kulichukua jimbo kiulainiii!!
   
 11. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  watabaki kuwa wasindikizaji like always
   
 12. President Elect

  President Elect JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 693
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni Kweli, baada ya uchaguzi matokeo yatawekwa hadharani.

  Hapo ndipo tutajua aliyefanya research ni CCM, CUF au CHADEMA.
   
 13. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #13
  Aug 21, 2011
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana Igunga wasipokubali kurubuniwa wakajitokeza zaidi ya 50% kupiga kura, Chadema itashinda. Wapiga kura wasipojitokeza kwa wingi CCM itashinda. Uchaguzi wa 2010 licha ya kuwezeshwa na bilionea rostam, CCM waliambulia kura elfu 30 katika jimbo la wapiga kura 170,000. Bila kuiba, kura za CCM huwa haziongezeki. CUF vilvile hawana mvuto kwa undecided voters, Piga ua hawapati zaidi ya kura elfu 15. Hivyo ni changamoto kwa Chadema kuhamasisha wapiga kura wajitokeze.

  Mano-a-mano, Hamnaga ushindi wa kishindo kwenye chaguzi ndogo na wala analysis za kabla sijui jimbo lilikuwaje kabla hazisaidii.
   
 14. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #14
  Aug 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Nadhani kwenye kampeni kila mkutano inabidi umati uulizwe 'wenye shahada za kupigia kura wakae upande wa kulia na wasio na shahada wabaki kushoto'.

  Kisha lile kundi la kulia wainue juu shahada zao kama alama ya kushangilia kupata idadi ya wapiga kura.

  Ikifanikiwa hii, tutakuwa tumekomesha ununuzi wa shahada hizo kwa asilimia kubwa.
   
 15. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #15
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kuna wapenzi wa CCM ambao wana mahaba na chama chao lakini wana-kiwewe kweli kweli!!!

  acheni uchaguzi ufanyike, kura zitaamua! mambo ya oooh CCM watashinda........CHADEMA hawashindi!!!.........
  Kama wanashinda, unaweweseka kitu gani humu??!!!
   
Loading...