CCM imefanya maamuzi magumu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imefanya maamuzi magumu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by montroll, Aug 19, 2011.

 1. montroll

  montroll JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  pengine sijui hasa maana ya maa
  muzi magumu. Lakini mimi nadhani yafuatayo nayo ni maamuzi mag

  umu ambayo ccm imeyachukua na kuna kila dalili ya kuendelea kuyachukua ambayo ni serikali chache sana duniani kama zipo ambazo zina weza kuchukua na wananchi wake wakaridhika na wasichukue hatua yoyote zaidi;

  1.kumuacha/kumsaidia Jeetu patel aondoke nchini wakti anatuhumiwa kwa wizi mkubwa
  2.kumpoteza balali katika mazingira ya kutatanisha sana baada ya kusema kweli kwamba yeye atsema kweli.
  3. Kutotaja na kuwachukulia hatua wamiliki wa kagoda.
  4. Kukiri hadharani kwamba wamiliki wa kagoda hawajulikani.
  5.waziri wa ulinzi kuamua ktojiuzulu pamoja na mabomu yake kuleta maafa makubwa kwa wanachi mara mbili kwa uzembe wake.
  6. Mweye kampuni ya ANBEN kutochukuliwa hatua yoyote
  7.kukiri waziwazi kwamba hawamjui mwenye richmond.

  9. Kutubutu kusema kwamba cdm ni wachochezi wakti dinia yote in juwa kwamba cdm ni wapigania haki wanao takiwa kuungwa mkono na kila mpenda haki.
  10. Kumuomba seif shariff adanganye kwamba ameshindwa uchaguzi ilhali wao ccm ndio walio shindwa.

  11.kutawla bila ridhaa ya kweli ya wananchi
  12.kumtoa spika aliyependwa na bora sana kwa viwango vingi tu na kumweka kibaraka wao bila kuona haya.
  13. Kumfukuaza kazi mkurugenzi bora kabisa katka viwango vyote kwasababu tu alitenda kazi yake kwa kadri ya taaluma yake. Hakuipendelea ccm.

  Haya ni maamuzi magumu sana, nani anweza kuchukua maamuzi kama haya?

  nawakilisha.
   
 2. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  14.Kumpa jairo likizo ya malipo.
   
 3. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umenena kweli. mkuu
   
 4. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  @montroll..ni mkurugenzi yupi bora aliyefukuzwa?
   
 5. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,083
  Likes Received: 880
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  tido muhando mkuu..
   
 6. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  hiyo ndio ccm bwana kama ulikuwa huijui
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Msumari wa moto kwenye kidonda kibichi
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Naongeza.....................
  14.Kuendelea kuwabeba Ngeleja na Adam wakati nchi ipo gizani...
  15.Kumuacha mkurugenzi wa EWURA wakati anadanganya umma na wanatofautiana kauli na bosi wake...
   
 9. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Montroll, unahoja nzuri lakini fanya marekebisho ktk haya yafuatayo:-
  1. Matumizi ya vituo
  2. Matumizi ya herufi kubwa kila panapostahili.
  3. Uandishi wa maneno kama yanavyostahili.


  Makosa yakiwa mengi hata hamu ya kusoma inapungua.
   
 10. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  20. Kuhakisha utajiri wa Tanzania unaporwa na wageni kwa kushirikiana na manyang'au wa nchini kwa kisingizia cha uwekezaji.

  21. Kuhakikisha watoto wa kitanzania wanakuwa watumwa ndani ya nchi yao (kwa kuwafanya wajinga) kwa kuanzisha kampeni ya ujenzi wa shule za kata na kujivunia zaidi ya 80% kupata Daraja la IV na 0.

  22. Kuhakikisha kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi haiweki wazi matokeo ya Urais wa JMT ktk Uchaguzi wa 2010.

  23. Kuhakikisha kuwa Rahisi, Makamu Rahisi na Waziri Mkubwa wanafanya safari nyingi iwezekanavyo za ndani na nje ya nchi hata kama hazina tija au faida kwa nchi.
   
 11. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  24. Kuhakikisha njia kuu za uchumi (Bandari, Reli, Mabenki, Viwanja vya Ndege, nk) zinakufa ili baadaye zimilikiwe na wageni.
   
 12. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  • Kuwatisha wafanyakazi kuwa wakigoma na kuandamana watapigwa virungu na polisi.
   
 13. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  . Kumfunga Babu Seya bila sababu ya msingi.
  . Kuwa na waziri mkuu asiye na maamuzi yoyote ndani ya nchi.
  . Kuwa na maziwa na bahari lakini nchi haina mela hata moja.
  . Kuwa na viwanja vya ndege na wafanyakazi 185 lkn nchi haina hata ndege moja.
  . Kutaka kujenga reli kutoka Tanga mpaka Musoma wakati iliyopo imekwama!
   
 14. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kuzungumzia kilimo ndio uti wa mgongo wakati budget ni less than 5%
   
 15. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2011
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kuwa na raisi mtembezi kuliko wote duniani
   
 16. m

  mfngalo Member

  #16
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umenena mtoa mada,much respect 2u..
  BT
  umesahau hii pia
  Kudanganya wabunge kwa wiki 2 ya ume2 furuu bila mgao na baaada ya kupitisha bageti ume2 mgao kama kawa!
   
 17. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Another novice critic's comment! So let's, as you wish, agree that JK is a throttlebottom, nebbish and a callow president and that CCM's manifesto has utterly flopped. If this is the case, did the opposition side delineate an alternative blueprint? I suppose instead of incessantly puling and misprizing whatever little the government has achieved, we must change our crippled mindset and be part of the change.
   
 18. M

  MPG JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM ni chama cha majambazi,maaumuzi magumu kwao ni kuendelea kuiba maliasiri za watanzania.
   
 19. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,725
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  mzee wa dictinary tumekuzoea,enz zile za sec school tunachukua mabombastic ya bilogy na agrcultr tunayaweka kwenye debate,ujinga mtupu!
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  26. Kumtimua tido muhando Tbc1 baada ya kuanzisha kipindi cha mchakato majimboni.

  27. Kuruhusu twiga wetu kwenda Qatar pasipo sisi kujua!
   
Loading...