Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...
Shinikizo la mkakati wa kumng'oa mwenyekiti wa NCCR -Mageuzi James Mbatia'' limeiva '' baada ya makada wa chama hicho 'kushikilia' bango msimamo wao wa kutaka Mbatia kujiuzulu pasipo shuruti...
Luhanjo 'aliboronga' kumsafisha Jairo
KATIBU Mkuu Kiongozi, Phillemon Luhanjo ama hakujua au alifanya makusudi kumsafisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo katika kashfa ya...
Kutokana na ajali ya meli huko Zanzibar..,CUF kama chama cha siasa na sehemu ya serikali ambacho kinaamini katika uwajibikaji pindi matukio ya uzembe wa viongozi walio serikalini ni vema...
Wadau,
Ni wakati watanzania kwa ujumla tujiulize ni nini majukumu ya mamlaka ya bima Tanzania (Tanzania insuarance regulatory authority) inapaswa kuyafanya juu ya maafa mazito yaliyowakumba...
September 8, 2011
I cordially invite you to join us for a very special Peace Corps 50th anniversary event to be held in Shriver Hall at Peace Corps headquarters in Washington, D.C., on...
Shalom wandugu wote
Katika pita pita na kutaka kuwapa shoulder Chadema nimejikuta kwamba siwezi kutoa mchago wangu kwa njia ya sms na kuambiwa kwamba Vodacom ambayo kuna mikono ya mafisadi kama...
WanaJF
Naomba msaada wenu
Nataka kujua ni kitu gani kimejificha hapo Vcom na CCM
Kabla ya kampeni mji mzima wa DSM ulikuwa umejaa matangazo ya VODACOM
uchaguzi ulipoanza matangazo yote...
Kila kipindi cha uchaguzi, mambo mengi ya kusikitisha na yanayohitaji kukemewa yanayoibuka hasa hili linalohusu UDINI na UKABILA.
Katika picha zilizowekwa hapa mtandaoni, moja inasikitisha sana...
Wanajamvi natoa dukuduku langu, najua siko peke yangu ila kwa niaba yao naomba kuwasilisha, kuna hivi viwanja vipya serikali imevipima hapa DSM nafikiri toka miaka ya 2000 mwanzoni, kuna baadhi ya...
Na Sharon Sauwa
12th September 2011
Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inatarajiwa kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa na...
Nilitegemea tbc wangekuwa msitari ya mbele kuunga mkono tangazo la mkuu wa kaya. Cha kushangaza hakuna cha maombolezo wala nn. Sijui ni kutomwelewa mkuu wa kaya au nyodo kwa tunaowalipa posho?
Wakuu,
Mtakumbuka mnamo mwezi Machi/Aprili (kama sijakosea) mwenyekiti wa kamati ya Mabadiliko UVCCM Hussein Bashe aliahidi kutuomba JF ushauri juu ya reforms ndani ya chama.
Ametuomba kumpa...
Ndugu wana JF, kwanza kabisa natumaini mmekuwa na mapumziko mema ikiwa ni pamoja na kusheherekea sikuku vizuri. Nimeona nilete hapa jamvini jambo ambalo nimeliona ndani ya maelezo ya hotuba ya Mh...
Ndugu Bernad Mchomvu ameteuliwa na RAIS kushika nafasi ya uenyekiti wa bodi ya TRA.
Kabla ya hapo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Millennium Challenge ile ambayo ilipewa na Bush $700million. Na...
Wanajf na watanzania wote,natangaza nia ya kugombea ubunge songea mjini kwa ticket ya chadema.nlitaka kufanya hvyo kwnye uchaguz uliopita lakin nlikuwa underage.kwahyo next election ntakuwa na 25...
Wanajamii Forums nimevutiwa na uchambuzi huu kuhusu mipango ya kubomoa jengo la Kihistoria la Mahakama Rufani Tanzania.
Ndugu zangu,
Tumesikia, kuwa Serikali kupitia Wizara yake ya Katiba na...
Kwa mudamrefu nimekuwa nikitafakari yanayojiri pale uwanja wa ndege wa Mwl. Julius K. nyerere hususan abiria wanaokuja kuibiwa mizigo yao. Imefikia hatua ya abiria kutobeba au kununua vitu vya...
Wanajamvi:
Nimekuwa najiuliza ilikuwaje Rostam kutinga Igunga katika kampeni za CCM na huku alishasema hataki tena 'siasa uchwara' za CCM? lakini baada ya kutafakari sana inakuwaje mtu huyu...
ndugu zangu wana IGUNGA najua mpo ktk wakati wa mgumu wa vishawishi vya vyama mbalimbali lakini muhimu muangale kuwa tupo ktk kipindi cha mageuzi ya kiutawala yani msidanganyike kwa yeyote...