Revealed; DC WA IGUNGA Fatuma Joseph Kimario Sio Muislamu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Revealed; DC WA IGUNGA Fatuma Joseph Kimario Sio Muislamu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Haki sawa, Sep 24, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. H

  Haki sawa JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 3, 2007
  Messages: 4,701
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  FATUMA KIMARIO SIO MUISLAMU- WAISLAMU TUNATUMIKA IGUNGA.
  Naomba leo niandike jambo ambalo linawezekana kabisa kwa wengine wakaniona ama nimekuwa na msimamo tofauti kuhusu dini yangu tukufu ama labda wakafikiri kuwa na mimi nimeamua kuukana uislamu kwa manufaa ya wakristo na ama hata nimeamua kuwa mwanasiasa, jambo ambalo kati ya hayo hapo juu hakuna hata moja ambalo limenisukuma katika kuandika juu ya jambo hili leo.

  Kilichonisukuma mpaka nikafikia kuandika makala haya ni kutokana na ukweli ambao nimeufahamu baada ya kutumia muda wangu kutafakari kuhusiana na malumbano ya siasa na dini ambayo yamekuwepo kwa mjuda mrefu na sasa yanaelekea kufikia kilele chake huko Igunga haswa juu ya “Ukristu wa CHADEMA” na “Uislamu wa CCM” NA CUF haijulikani kama wao ni waislamu ama ni wapagani kwani kwa sasa waislamu wameamua kuwa chama chetu kiwe ni CCM kitu ambacho sio sahihi na hakuna kikao wala mhadhara wowote ambao umewahi kufanyika na kufanya maamuzi hayo.
  Naandika kwa sababu ya picha ya leo ya gazeti la Tanzania Daima kuhusu hijabu na mtandio inafedhehesha uislamu na viongozi wetu mnadharaulika sasa kutokana na kutetea kitu ambacho ni fedheha sitaki muendelee .
  Fatuma Joseph Kimario sio Muislamu- (DC wa Igunga).

  Ndugu zangu waislamu nimefanya utafiti na kugundua pasipo na shaka kuwa huyu dada yetu ambaye leo anatumiwa na CCM hata kuwafanya viongozi wetu wabadilishe maana halasi ya vazi la heshima la Hijabu kuwa ni kimtandio tuu ni kuwa sio muislamu kwa mujibu wa sheria za Allah mwenyewe.

  Mama huyu ameolewa na bwana Joseph Kimario ambaye huyu Joseph ni mzaliwa wa Wilaya ya Rombo Kilimanjaro kutoka kijiji cha Olel, kata ya Makiidi na Tarafa ya Mkuu . Huyu mumewe kwa sasa anaishi Mbezi Beach jijini DSM na wanajenga nyumba nyingine Tegeta jijini DSM .

  BWANA JOSEPH KIMARIO ni kiongozi wa dini ya kikatoliki katika parokia ya Mbezi –huyu ni mzee wa kanisa na ni mwenyekiti wa kigango cha mbezi kati sasa huyu ndio kaoa Muislamu kweli?
  Watoto wa Fatuma na Joseph wamebatizwa na ni wakatoliki isipokuwa mmoja wa kike ambaye mpaka sasa hajafanya maamuzi ila watoto wao ambao wanasoma na mmoja akiwa anasoma UDSM ni mwanakwaya katika kanisa katoliki chuo kikuuu.

  Fatuma akiwa DSM hajawahi kukutwa kavaa hijabu hata siku moja na hata huko Igunga havai hijabu na ndio maana siku alipokutwa kava mtandio alikuwa kavaa sketi fupi ya kitenge na mtandio ule alivaa kwa sababu anaenda kukutana na wazee wa kiislamu huyu asitufanye tupoteze msimamo wetu kuna siku itakuwa aibu.

  Ndoa yao bado nafuatilia ilifungwa wapi kwani taarifa hizi nimeweza kuzikusanya kwa muda huu ambao suala hili lilipoibuka na haswa nilipomsikia Safari akisema tufanye kwanza utafiti nikajua kuna kitu CDM wanajua na ndio maana wanajiamini na hata mwanazuoni Prof.Safari kuamua kutoa ufafanuzi.

  Siku haya yakidhihirika waislamu tutaficha wapi nyuso zetu? Natoa tahadhari tuwe makini na kauli zetu.
  Mwenye ubishi kuhusiana na Uislamu wa Fatuma aje hapa na aseme kama mwanamke ambaye kaolewa na mkristu bado anakuwa na sifa ya uislamu ama laa na hata aina ya mifugo anayofuga Joseph kwenye shamba lake Tegeta inatia kinyaa na siwezi kuiandika hapa.

  CCM inatutumia waislamu kwa manufaa yao Igunga.

  Naomba nieleze ni kwanini sasa naamini kuwa waislamu tunataka kutumiwa na CCM kwa manufaa yao wenyewe ya kisiasa huku waislamu tukiendelea kuumizwa;
  1. Kitendo cha kumfukuza Rostam na kumlazimisha ajiuzulu ni wazi kuwa kilisukumwa na udini zaidi .Hii inatokana na ukweli kuwa alituhumiwa pamoja na wenzake wakristu wawili ambao ni Edward Lowassa na Andrea Chenge , ila aliyetakiwa kujiondoa ni Rostama tuu kwa kuwa ni muisilamu na kudhihirisha hilo CCM waliamua kuweka mgombea Mkristo Igunga ili kuongeza idadi ya wakristu bungeni kwa kuwapunguza waislamu.

  2. CCM iliamua kumwondoa Muislam kutoka cheo cha katibu mkuu wa CCM ndugu Makamba na kumuweka mkatoliki Ndugu Wilson Mukama , ambaye juzi alitoa tuhuma nzito kwa nchi za kiislamu kama vile Pakistani, Afganistani na Libya .Hii ni dalili ya wazi kabisa kuwa Mukama anazo falsafa za kimarekeni kiuwa kila Muislamu ni gaidi kwanini asingesema kuwa Makomandoo wa CDM wametoka vatikani? CDM ina uhusiano gani na nchi za kiislamu?

  3. Timu ya kampeni Igunga inaendeshwa na wakristu – hii ni kutokana na kuwa kuna ajenda ya kuongoza wakristu Bungeni na ndio maana sasa wanabebana wakristu kwa ajili ya kuhakikisha kuwa hilo linaweza kutimia hapa nawazungumzia wakina Mchemba,Mkapa,Mangula,Mashishanga . Hawa ni wakristu ambao wengine tangu 2005 hawakuwahi kuonekana wakifanya siasa ila leo ndio wapo Igunga kuongoza timu ya kampeni za CCM huku sisi waislamu tukitakiwa kutoa matamko ya kulaani CDM na kuisaidia CCM ambao wanajua wanatutumia tuu.

  4. CCM ilikataa kumpitisha mgombea muislamu Igunga , huyu ni ndugu Jaffari ambaye anajulikana msimamo wake ulivyo dhabiti kwenye masuala ya Imani na huyu ndio angeweza kusimama kidete kuhakikisha kuwa waislamu tunapata mahakama ya kadhi kule Bungeni .Wameweka mkatoliki ambaye ikifika kupiga kura kuhusiana na jambo hilo imani yake itamsimamia zaidi.

  5. Igunga inatumika kuuwa hoja ya kuandamana kuhusua mahakama ya kadhi. Tulitoa tamko kuhusiana na nia yetu ya kuandamana kudai mahakama yaq kadhi ili niwaambie ukweli ni kuwa viongozi wa dini 40 waliitwa na JK na kupatiwa kiasi cha shilingi milioni moja kila mmoja ili8 kui8zima hoja hii kwani ingemuweka pabaya na ndio maana leo Igunga inatumika kupoteza malengo ya waislamu na sisi tunajikuta tukiingia. Nina ushahidi kuhusiana na jambo hili na anayebisha aje hapa aseme japo kuuweka sasa ni kuwadhalilisha viongozi wangu wa dini .


  MAANDALIZI YA MCHAKATO WA KATIBA MPYA .

  Ndugu zangui waislamu tunagawanywa ili utakapoletwa mswada wa katiba mpya tugawanyike kwenye mambo yasiyokuwa ya msingi na kisha tufarakane na tushindwe kuingiza madai yetu ya kimsingi katika kuidai katiba mpya na haswa viongozi wetu wataendelea kutumiwa hivi hivi na sisi tukuendelea kukaa kimya basi kamwe hatutaweza kufanikiwa hata siku moja naomba tuamke kwani kuna mambo hayako sawa mimi niko kwenye mfumo ndio maana nawaambia kuwa tumetegwa na kama hatutaweza kujitanzua tutaangamia muda sio mrefu .
  Baada ya kusema haya yote nawaomba viongozi wa Kiislamu tuchuinguze jambo hili kwani tutajikuta tunafikwa na aibu kuwa siku za usoni.
  Ni mimi mwana wenu.
   
 2. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #2
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  asante kwa kuwasilisha mkuu, natamani huu ukweli ungeupeleka kwa hao maiamamu na mashekhe ingependeza zaidi
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Haki sawa umenena na kama hayo unayoyasema ni kweli, nadhani iko siku hii dini itasambaratika mfano wa dola ya warumi. Hata hivyo wewe umeonyesha njia acha wengine wakufuate. Na huyu DC kama magamba watakosa ubunge igunga, naye lazima watamtidolaizi tu. Atachukuliwa kuwa ni sababu ya kufeli.

  Have a good day!
   
 4. M

  Massenberg JF-Expert Member

  #4
  Sep 24, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 1,173
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Ulianza vizuri wakati ukielezea kuhusu imani ya huyo DC wa Igunga ila ulipofika kwenye kipengele cha CCM kuwatumia kwa manufaa yao Igunga na katiba mpya nadhani akili yako ikawa tayari imeshachoka. Hivi nyinyi kwa nini hamjengi hoja zenye busara? Mbona hatuwasikii waislamu wenzenu wahindi na waarabu wakilialia kama nyinyi? Au wao hawako kwenye nchi hii?
   
 5. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #5
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Aisee tunakushukuru mkuu, tusubiri tena tamko la Bakwata!!!
   
 6. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,855
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Ulikuwa Wapi siku Zote Kugundua Haya!! Sasa Nenda kawaambie Wenzako Mnaweza Mkawa na Msimamo Thabiti
   
 7. only83

  only83 JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  .......Kimario chali!!!
   
 8. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #8
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Well said Mkuu. Big up. Hats off. Kudos
   
 9. muonamambo

  muonamambo JF-Expert Member

  #9
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  ngoja nitarudi baadaye
   
 10. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #10
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Umeanza vizuri sana mkuu ila kipengele cha ccm ukasahau ulichokuwa unasema. Mwishoni umekuwa kama ccm tena. Acheni haya mambo ya udini hautatujenga. After all Ukristu umeletwa na wazungu na uislam wa waarabu; tulikuwa na dini zetu. Dini sio kitu cha kujisifia hata kidogo. TUKATAE KUTUMIWA NA HAWA WAJINGA NA TUJENGE TAIFA LETU KWA KUKATAA UNYONYAJI, UFISADI, UBINAFSI NA UWENDAWAZIMU WA CCM. PERIOD
   
 11. m

  mpunze Member

  #11
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we ndo umejenga hoja zako hivi.
   
 12. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #12
  Sep 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Umeonaeee!
  Mi nimemsoma vizuri....mara akaanza kuelekea porini....nikajiuliza, inawezekanaje kuweka mambo mazito hivyo then unatoa malalamiko mepesi na yakishabiki.

  damn!!
   
 13. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #13
  Sep 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Asalaam Alekyum wadau wote wa JF.

  Nikupongeze kwa dhati sana ndugu yangu Haki Sawa kwa hekima yako ya kuchambua mambo na laiti kama hawa wanaojiita wanazuoni wa kiislamu wangekuwa na maono kama wewe basi uislam usingekubali kutumiwa tena na magamba ya ccm kwa vijisenti vichache na kusaliti imani na kuidhalilisha.

  Vazi la kanzu, hijabu ama balaghashia yamekuwa common kwa ulimwengu wa sasa na yanavaliwa na watu ambao hata sio waislam vuta kumbukumbu siku ya kufunga mkutano wa 4 wa bunge letu Mh. Mbowe alikuwa amevaa suti na balaghashia hivyo sio kila avaaye ni muislam. Mbona hawa wanazuoni hawajamkemea Mh. Aden Rage kwa kupanda na bastola mkutanoni huku ikiwa wazi je hakuutia doa uislam?
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Sep 24, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,957
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo mume wa DC Igunga ni mkatoliki na wote pamoja na DC wanafuga mbuzi Katoliki! BAKWATA itabidi watoe tamko tena kupinga ya awali
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Sep 24, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,859
  Trophy Points: 280
  Dah kumbe mama Kimario alikua anatuigizia. Kakitambaa kamewaingiza chaka Bakwata povu likawatoka mithili ya mtu mwenye kifafa. Nimeamini ya kuwa 'no research no right to speak'.
   
 16. W

  WIZARD Member

  #16
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusipo kuwa makini humu ndani wana "jf" udini ushatia timu. Huyu jamaa anaandikia gazeti gan kwanza nkanunue..? NB: atatugawa humu ndani na topic zake za kiaina.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Sep 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa nashangaa Mchaga toka lini akawa muislamu? Je kitimoto ufugaji mpaka mabucha ya kitimoto angemwachia nani?
  Waislamu mnayumbishwa sana na mawimbi ya CCM na nyie mnajitakia kuyumba.
   
 18. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #18
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio mana muislam km mimi sifati misimamo yyt ya bakwata.
   
 19. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #19
  Sep 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Haki sawa, uzi wako umetulia mno ila umelalia upande mmoja wa dini.
  Naomba unitoe gizani (hata kwa pm) hivi uislam ni imani au itikadi?
   
 20. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #20
  Sep 24, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio mana muislam km mimi sifati misimamo wala matamko yyt ya bakwata.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...