CCM sasa yaihofia CUF

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Akiongea na waandishi wa Habari mjini igunga meneja kampeni za chama cha mapinduzi Mwigulu nchemba amesema tunahofia kura za mgombea wa Cuf Leopold Mahona alizopata mwaka jana katika uchaguzi mkuu, pia na kampeni za CUF kweli jinsi zinavyoendeshwa kwa kweli imekuwa ni tishio, tunajipanga kuhakikisha ni jinsi gani tunakikabili chama cha CUF, Habari zaid soma majira tar 25.09.2011
 
Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
6,942
1,187
CCM na hizi saikolojia za akina mama nitilie hizi nazo!!!!!!!!!!! BAVICHA hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,228
8,722
kwa kuwa CCM wamezidiwa na chadema ni wakati mwafaka sasa kuunganisha guvu na mke wake cuf angalau italeta uzito..
 
Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,829
4,164
Akiongea na waandishi wa Habari mjini igunga meneja kampeni za chama cha mapinduzi Mwigulu nchemba amesema tunahofia kura za mgombea wa Cuf Leopold Mahona alizopata mwaka jana katika uchaguzi mkuu, pia na kampeni za CUF kweli jinsi zinavyoendeshwa kwa kweli imekuwa ni tishio, tunajipanga kuhakikisha ni jinsi gani tunakikabili chama cha CUF, Habari zaid soma majira tar 25.09.2011

Majira limenunuliwa kucheza Mind Games in place of Mtanzania. Kama Rostam wasinge 'mfanya' leo hii Majira lisingeandika pumba linazoandika kila siku, na badala yake tungezisoma kwenye Mtanzania.

Kusema CCM wanahofia CUF ni kuwahadaa wananchi kwamba ni CUF na wala si CDM ambao ni tishio kwa CCM.

Shame on you Majira.
 
emmathy

Senior Member
Sep 22, 2010
147
25
hata matokeo ya uchaguz mkuu*2010* yalivyoanza kutangazwa walionyesha cuf ndio tishio kwao kumbe ilikua janja ya nyani wachakachue vizuri, cdm msilale
 
kiche

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
456
155
Akiongea na waandishi wa Habari mjini igunga meneja kampeni za chama cha mapinduzi Mwigulu nchemba amesema tunahofia kura za mgombea wa Cuf Leopold Mahona alizopata mwaka jana katika uchaguzi mkuu, pia na kampeni za CUF kweli jinsi zinavyoendeshwa kwa kweli imekuwa ni tishio, tunajipanga kuhakikisha ni jinsi gani tunakikabili chama cha CUF, Habari zaid soma majira tar 25.09.2011
Danganya toto!!!ccm mtaweweseka sana!,na bado vyama vya 'msimu' naona vinawatoa jasho mpaka mnawaomba wagonjwa na vikongwe kwenda kupiga kampeni,2015 itakuwaje kama uchaguzi mdogo imekuwa hivi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom