Pole pole Tutafika Watanzania

vivian

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,749
998
CHADEMA IRINGA YACHANGISHA FEDHA KUMKOMBOA KADA WAKE ALIYEHUKUMIWA KWA KUCHANA PICHA ZA CCM


Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Chiku Abwao (chadema)akionyesha fedha zaidi ya Tsh. 117,000 ili kulipa faini ya shilingi laki moja ambazo kada huyo wa Chadema alishindwa kulipa na kulazimika kwenda jela kuanza kutumikia miezi mitatu kama alivyohukumiwa na mahakama ya Mwanzo janaMbunge Abwao akionyesha kadi za wana CCM 12 waliojiunga na Chadema leo katika mkutano wa kampeni za Udiwani kata ya Miyomboni Kitanzini leo eneo la Soko kuu Kadi zilizorejeshwa na wana CCM kwa Chadema leo Vijana zaidi wakisikiliza mkutano wa kampeni za Chadema leo japo idadi si kama ile ya CCM
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom