Chadema Wants CCM Out Of Igunga Race: CCM has violated elections ethics and regulations


nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
81
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 81 145
Sat, Sep 24th, 2011Sat, Sep 24th, 2011 | Tanzania Sat, Sep 24th, 2011

Dr-Peter-Kafumu5.jpg
Dr Peter Kafumu


CHADEMA has called for the Igunga returning officer to disqualify the CCM candidate, Dr Peter Kafumu, from contesting for the upcoming by elections on grounds that his party has violated elections ethics and regulations.

The CHADEMA Director for Legal and Constitution Affairs, Mr Tundu Lissu, told reporters here on Saturday that the candidate should not contest since his party allowed its officials to campaign while armed.

Mr Lissu said it is illegal for anyone to be armed while participating in political campaigns and called on security organs to act tough on such acts.

He blamed the police for taking no action against Mr Aden Rage who addressed a campaign rally on Thursday while armed with a pistol.

"CCM MPs are now moving around with pistols in the Igunga campaigns and this is dangerous. We have already reported the matter to the Igunga Returning Officer, Mr Protase Magayane, for his action," he said.


The ongoing campaigns have been marred by acts of violence allegedly instigated by supporters of CHADEMA and CCM and the recent allegations of campaigners carrying firearms only makes matters worse.


Recently the MP for Sumbawanga Urban, Mr Aeshi Hillally and Esther Bulaya (CCM-special seats) were allegedly ambushed at a rest house popular with CHADEMA supporters at Mwanzuki Road with the aim of torching CCM's campaign vehicle.

Chaos ensued as bullets were fired soon after CHADEMA security men were tipped-off of the situation and reacted.

Eye witnesses told reporters that the two MPs decided to run away to save their lives but their vehicles were already stoned by suspected CHADEMA security men.


Addressing press conferences at different times on Saturday, both CCM and CHADEMA gave confusing statements as they came to the defence of their supporters following the incident.


The CCM Campaign Manager, Mr Mwigulu Mchemba, said Ms Bulaya and Mr Hillary
were attacked by CHADEMA supporters while driving back to their guest house while CUF through Mr Lissu and the CHADEMA campaign Manager, Mr Mwita Waitara said the accused actually wanted to sabotage their opponent's campaign efforts.


Commenting of the incidents, police hace said that they are aware of the incidents and that investigations are ongoing.


Mr Isaya Mungullu from the police's Criminal Investigations Department said: "We are aware of the incidents and we have questioned about ten people in connection with the matter, including the two MPs, Ester Bulaya and Aeshi Hillary."


He also said that they have recovered two bullet shells, noting that the bullets were fired from a pistol of 9mm make and they were trying to establish the owner of the weapon.


On the issue of MP Rage, he said the Police have questioned him and the matter would be forwarded to higher authorities for further action.


"We have questioned him to establish grounds that led him to carry the gun during the campaign and we will then hand over the matter to our lawyers for more legal action," he said.


The police assured residents of Igunga that they are on top of things and that peace and tranquillity will be maintained throughout the campaigns and on polling day until the results are announced.

By PIUS RUGONZIBWA, Tanzania Daily News
 
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
6,947
Likes
13
Points
0
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
6,947 13 0
Ni kweli, kisheria CCM ilishapoteza sifa tangu siku nyingi sana kwa kufanyi vurugu CDM, CUF na wana-Igunga.
 
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Messages
10,569
Likes
113
Points
160
Mwita Maranya

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2008
10,569 113 160
Magayane hana uthubutu wa kumuondoa mgombea wa ccm kwenye kinyang'anyiro cha ubunge hata kama hao wabunge wanaotembea na bastola wakaamua kuua watu.

Kama jeshi la polisi linawagwaya wabunge hao hata pale inapothibitika kwamba aeshi kapiga risasi na maganda mawili yameokotwa lakini hawajathubutu kumkamata.
 
Rejao

Rejao

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Messages
9,241
Likes
286
Points
180
Rejao

Rejao

JF-Expert Member
Joined May 4, 2010
9,241 286 180
Sioni cha maana hapa.
Ngoja niendelee kulala zangu
 
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
6,947
Likes
13
Points
0
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
6,947 13 0
Mdharau mwiba miguu huota tende mzee; kama ulidhani CHADEMA wanacheza ngojera hapa ngojeni mje muone kilio cha CCM kitakavyomuangukia Al Shaabab Rage na advertise ya ki-mwiko chake kiunoni kama kijana mdogo mwenye umri wa miaka 12 tu.

Unaenda kulala kitu gani saa asubuhi yote hii au wewe ndio wale mnaotutia hasara kwenye kundi kubwa la waandishi wa habari waliohongwa safari ya huko Marekani ili mkirudi muweze kusaidia kuokoa jahazi kwa kutumia kalamu zenu lakini kwa masikitiko makubwa ya sie ndugu zenu huku uswahilini sio???????

Sioni cha maana hapa.
Ngoja niendelee kulala zangu
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
81
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 81 145
Hivi huyu Aden Rage hakuwa jela? Mtu anayekwenda jela ni felon haruhusiwi kumiliki silaha ...

Kwanini Serikali ya CCM imemruhusu? hata kama kuna Umiliki ni Sheria kutokubeba hiyo silaha kwenye Umati wa Watu

Yaani huyu ni mtu wa CCM na kuvunja sheria sio shida hata kidogo? Angalia kama angekuwa wa Upinzani sasa hivi Uchaguzi Ungeondolewa na Kupewa Ushindi CCM.
 
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2007
Messages
20,562
Likes
1,585
Points
280
Kigogo

Kigogo

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2007
20,562 1,585 280
hahaaaa ccm kila kona wamebanwa
 
M

Mkandara

Verified Member
Joined
Mar 3, 2006
Messages
15,459
Likes
186
Points
160
M

Mkandara

Verified Member
Joined Mar 3, 2006
15,459 186 160
Duh katika hili wala sitetei Chadema wala mkuu Lissu, kwa sababu kama kuna mtu alikuwa na silaha huyu ndiye atafunguliwa mashtaka na sii mgombea Ubunge maanake sioni kuhusika kwake. Haya maswala ya kukihukumu chama kwa kosa la mtu ama watu ambao wamefanya maamuzi hayo wao wenyewe bila barua ama ridhaa ya mbunge au ktk chama suidhani kaa ni maamuzi ya busara. Tunazidi kujikoroga wenyewe!..
Ni kweli Rage kafanya makosa makubwa sana lakini kwa nini Rage asishtakiwe yeye? Je, kiongozi yeyote wa Chadema au CCM akitishia usalama wa wananchi tuvihukumu vyama na sii mhusika?
 
C

Chriss Daud

Member
Joined
Sep 25, 2011
Messages
7
Likes
0
Points
0
C

Chriss Daud

Member
Joined Sep 25, 2011
7 0 0
Japokuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya Chama na Mtu, mara nyingi mtu huongozwa na itikadi ya Chama Chake. Lakini nahofia kukihukumu moja kwa moja CCM, kwa hili la Rage, maana makamanda we2 wa CHADEMA nao huweza kukamatwa na bangi, silaha, coz nao ni binadamu then tukahukumu moja kwa moja. nadhan tutafungwa midomo hapa!
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
38
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 38 145
Hivi huyu Aden Rage hakuwa jela? Mtu anayekwenda jela ni felon haruhusiwi kumiliki silaha ...

Kwanini Serikali ya CCM imemruhusu? hata kama kuna Umiliki ni Sheria kutokubeba hiyo silaha kwenye Umati wa Watu

Yaani huyu ni mtu wa CCM na kuvunja sheria sio shida hata kidogo? Angalia kama angekuwa wa Upinzani sasa hivi Uchaguzi Ungeondolewa na Kupewa Ushindi CCM.
Si kwamba namtetea lakini katika ile kesi rage alishinda rufaa na akaionekana kuwa hakuwa na hatia ingawa wakati rufaa inaamriwa alikwua ameshatoka kwa msamaha.
Kitendo cha kutembea na bastola kwenye mkutanio wa hadhara ni kibaya sana na anastahili kuadhibiwa
 
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2011
Messages
686
Likes
3
Points
0
Said Bagaile

Said Bagaile

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2011
686 3 0
Amemkumbuka mumewe aliyemwacha Segerea, ana hamu ya kukutanishwa nae tena amekosa mbinu nyingine akaona bora avunje sheria hadharani ili afungwe tena akakutane na Musee yake kule. Sasa kwa kumkomoa tunamhonga hakimu asimfunge, ampige tu faini au amrudishe kwao El-shabab
 

Forum statistics

Threads 1,238,907
Members 476,226
Posts 29,336,526