Hizi takwimu zinatufundisha nini?

TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Salama Wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu coments zinazotolewa humu ndani hasa hasa coments za Malaria Sugu, Rtz, Mwita25 na Rejeo. Nimegundua kwamba wote hawa coments zao almost zina mwelekeo mmoja.

Leo nimefanya utafiti wa kitakwimu kidogo na nimeamua tu-share pamoja juu ya takwimu hizi za wenzetu kama zinavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.

Baada ya kusoma hili jedwali naomba mtoe coments zenu juu ya takwimu hizi. Ahsanteni..MALARIA SUGU
RTZ
MWITA25
REJAO
Join Date
02/08/2009
01/01/2011
15/04/2011
04/05/2010
Total Post
7,042
2,071
1,083
1,967
Cutoff date
19/09/2011 at 13:23
19/09/2011 at 17:46
19/09/2011 at 13:49
14/09/2011 at 12:49
Membership in the forum up to cutoff date
778 days
261 days
157 days
498 days
Approximation of numbers post per day
9.05 post / day
7.93 post / day
6.89 post / day
3.94 post / day
 
Mbopo

JF-Expert Member
Jan 29, 2008
2,532
409
What is so speacial with the trio? Why did you narrow down your analysis to those three. Could it be because their contributions have been going against what some of you and Mods subscribe to? Acha chokochoko zisizo na maana hapa. Unless you want to declare that this is a forum for like minded people or an exclusively a members' club and we will all quit! Hiyo crack down unayoifanya umetumwa na nani? Who should we compare you with?
 
Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,083
6,334
Salama Wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu coments zinazotolewa humu ndani hasa hasa coments za Malaria Sugu, Rtz, Mwita25 na Rejeo. Nimegundua kwamba wote hawa coments zao almost zina mwelekeo mmoja.

Leo nimefanya utafiti wa kitakwimu kidogo na nimeamua tu-share pamoja juu ya takwimu hizi za wenzetu kama zinavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.

Baada ya kusoma hili jedwali naomba mtoe coments zenu juu ya takwimu hizi. Ahsanteni..

MALARIA SUGURTZMWITA25REJAO
Join Date02/08/200901/01/201115/04/201104/05/2010
Total Post
7,042
2,071 1,083 1,967
Cutoff date
19/09/2011 at 13:23
19/09/2011 at 17:46
19/09/2011 at 13:49
14/09/2011 at 12:49
Membership in the forum up to cutoff date
778 days
261 days
157 days
498 days
Approximation of numbers post per day9.05 post / day7.93 post / day6.89 post / day3.94 post / day

Kwani tatizo li wapi...kwa kuwa wanaipinga CDM ndio umeamua kuwafuatilia?
 
JamboJema

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
1,143
209
Nionavyo mimi, nadhani mhusika mni mmoja. Kuwa na uhakika jaribu kufuatilia 'wording' zao. Ikiwa ni mtu mmoja lazima awe na particular style asiyoweza kuificha. Sifanyi utafiti huu mimi. simo!
 
TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
What is so speacial with the trio? Why did you narrow down your analysis to those three. Could it be because their contributions have been going against what some of you and Mods subscribe to? Acha chokochoko zisizo na maana hapa. Unless you want to declare that this is a forum for like minded people or an exclusively a members' club and we will all quit! Hiyo crack down unayoifanya umetumwa na nani? Who should we compare you with?

Jadili hoja kwa kutumia akili si kwa kutumia MASABURI!
 
mpunze

Member
Sep 20, 2011
57
9
sema kwanza takwimu zako Join Date : 7th May 2011
Posts : 119
Rep Power : 21
zinatufundisha nini?
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,531
Salama Wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu coments zinazotolewa humu ndani hasa hasa coments za Malaria Sugu, Rtz, Mwita25 na Rejeo. Nimegundua kwamba wote hawa coments zao almost zina mwelekeo mmoja.

Leo nimefanya utafiti wa kitakwimu kidogo na nimeamua tu-share pamoja juu ya takwimu hizi za wenzetu kama zinavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.

Baada ya kusoma hili jedwali naomba mtoe coments zenu juu ya takwimu hizi. Ahsanteni..MALARIA SUGU
RTZ
MWITA25
REJAO
Join Date
02/08/2009
01/01/2011
15/04/2011
04/05/2010
Total Post
7,042
2,071
1,083
1,967
Cutoff date
19/09/2011 at 13:23
19/09/2011 at 17:46
19/09/2011 at 13:49
14/09/2011 at 12:49
Membership in the forum up to cutoff date
778 days
261 days
157 days
498 days
Approximation of numbers post per day
9.05 post / day
7.93 post / day
6.89 post / day
3.94 post / day

kuzuia uongo na kujikwaza..
 
TUMBIRI

JF-Expert Member
May 7, 2011
1,933
1,199
Tumbiri.
JF sio ya CDM wala CCM au CUF kwa hiyo wewe unataka tujadili watu ili iweje?

Sijasema tuwajadili hawa jamaa. Nimesema tujadili mantiki ya takwimu hizi kutokana na mwenendo wa kukoments thread humu ndani. Ishu ya kutaka kujadili watu unataka kuianzisha wewe.
 
fikramakini

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
247
60
Salama Wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu coments zinazotolewa humu ndani hasa hasa coments za Malaria Sugu, Rtz, Mwita25 na Rejeo. Nimegundua kwamba wote hawa coments zao almost zina mwelekeo mmoja.

Leo nimefanya utafiti wa kitakwimu kidogo na nimeamua tu-share pamoja juu ya takwimu hizi za wenzetu kama zinavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.

Baada ya kusoma hili jedwali naomba mtoe coments zenu juu ya takwimu hizi. Ahsanteni..

MALARIA SUGU
RTZ
MWITA25
REJAO
Join Date
02/08/2009
01/01/2011
15/04/2011
04/05/2010
Total Post

7,042
2,071
1,083
1,967
Cutoff date

19/09/2011 at 13:23

19/09/2011 at 17:46

19/09/2011 at 13:49

14/09/2011 at 12:49
Membership in the forum up to cutoff date

778 days

261 days

157 days

498 days
Approximation of numbers post per day
9.05 post / day
7.93 post / day
6.89 post / day
3.94 post / day

Kwasababu umefanya utafiti bila shaka utakua na conclusion ... sasa kwanini usiweke wazi conclusion yako ndo tujadili. Data ukusanye wewe, uprocess wewe, hata hapothesisi ni siri yako halafu unataka tujadili nini? Iweke sawa mkuu ...
 
Kamura

JF-Expert Member
Apr 26, 2011
494
48
Salama Wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia kwa karibu coments zinazotolewa humu ndani hasa hasa coments za Malaria Sugu, Rtz, Mwita25 na Rejeo. Nimegundua kwamba wote hawa coments zao almost zina mwelekeo mmoja.

Leo nimefanya utafiti wa kitakwimu kidogo na nimeamua tu-share pamoja juu ya takwimu hizi za wenzetu kama zinavyoonekana kwenye jedwali hapa chini.

Baada ya kusoma hili jedwali naomba mtoe coments zenu juu ya takwimu hizi. Ahsanteni..

MALARIA SUGU
RTZ
MWITA25
REJAO
Join Date
02/08/2009
01/01/2011
15/04/2011
04/05/2010
Total Post

7,042
2,071
1,083
1,967
Cutoff date

19/09/2011 at 13:23

19/09/2011 at 17:46

19/09/2011 at 13:49

14/09/2011 at 12:49
Membership in the forum up to cutoff date

778 days

261 days

157 days

498 days
Approximation of numbers post per day
9.05 post / day
7.93 post / day
6.89 post / day
3.94 post / day

So what? hujaeleweka unataka nini, hatujadili watu hapa lete hoja ya msingi.
 
NIMIMI

Senior Member
Apr 2, 2011
170
16
Sio kila ukisomacho lazima kuchangia, vp khs matatizo ya mtandao? Huna tofauti na anaeleta matokeo ya uchaguzi ambao mshindi keshapatikana na kulazimisha great thinkers wajadili, Je utakuwa unaufahamu wa matumizi wa akili zako? We're not pple with simple mind. Chukua tahadhari.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom