Vyombo vya habari vina umuhimu mkubwa katika ujenzi wa taifa imara na kujenga mawazo na mitazamo ya watu juu ya nchi yao wenyewe, NI chombo muhimu katika ujenzi wa taifa, ni chombo kinachotoa...
Nimeipitia hutuba ya Rais wa Zambia aliyebwagwa katika uchaguzi uliopita nikagundua kuwa wapo baadhi ya viongozi wa Afrika wenye upeo na uzalendo wa hali ya juu kwa nchi zao tofauti na...
jamani Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961,wananchi tunaheshimiana na kupendana na hasa wananchi tunaupendo mkubwa na jeshi letu la wananchi,hiki wanachokifanya waporaji wachache wanataka kuondoa...
1. Nimepata simu kutoka kwa makamanda walioko uwanja wa mapambano, Igunga kuwa mnamo saa mbili na nusu usiku huu, Vigogo kadhaa wa CCM walikuwa wanagawa sare na fweza kwa wanawake waliokusanywa...
Tulitegemea kuwa kampeni za Igunga zingetawaliwa na sera za vyama husika ili wananchi maskini wa nchii waweze kutambua ni mgombea yupi anafaa ili aweze kuwahudumia wanachi wa Igunga, badala yake...
Waziri Nchimbi akimbia na sanduku la kura Songea
Madiwani warushiana makonde
VURUGU kubwa zimezuka jana mjini hapa baada ya baadhi ya madiwani kurushiana makonde na kumlazimu Waziri wa...
Sun, Sep 25th, 2011
Sun, Sep 25th, 2011| Tanzania
Inspector General of Police (IGP), Saidi Mwema
Tarime traditional elders have thanked the police force for involving them in ending clan...
Sun, Sep 25th, 2011Sun, Sep 25th, 20
Sun, Sep 25th, 2011
Chairman of DP Rev Christopher Mtikila
The Democratic Party ( DP) will launch its campaign for Igunga parliamentary seat on...
*Ni baada ya kulalamikiwa kufanya kazi kwa upendeleo
*Walinzi CCM wadaiwa kumtwanga mwandishi wa habari
*Habari zake zatajwa kumdhalilisha kigogo wa chama
*Aliyepigwa CUF atoka hospitali...
Kitendo cha huyu mama kuitwa msilamu wakati mkristo
kwa kweli ni cha kujiaibisha na hivyo anaitajika kupakwa mafuta ya roho mtakatifu
ili aendelee kuishi na mumewe vinginevyo aitajiki kuendelea...
FRIDAY, SEPTEMBER 23, 2011
NAPE AKIWA MWANZA AFUNGUKA KUHUSU CCM.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye amesema kwamba licha ya madai kuwa chama hicho kimepoteza...
Nimekua nikifuatilia kwa karibu uchaguzi wa Jirani zangu na Wakwe zangu hapo Zambia, hatimae Upinzani wamechukua nchi na hio ndio ishara Nzuri kwamba sasa wanaaminiwa na harakati za Kuapishana...
Baada ya Jumamosi ya 24.9.2011 kuripoti kuhusu Emmanuel Nchimbi kukimbia na sanduku la kura, baada ya mzozo wa kuchakachua kura za umeya, leo amawaita waandishi wa habari na kukanusha kuwa yeye...
Kwa muda mrefu tumekuwa tukiambiwa kuwa shirika la utangazaji la taifa (TBC) linabadilisha mfumo wa Matangazo kutoka Analog kwenda Digitali, Hapohapo inasemekana wanaohusika kubadili mfumo huo ni...
Mjadala wa muungano ni mkali kweli,wazanzibar wanasema muungano huu ni haramu kwa sababu mikataba haionekani na wala serikali ya Zanzibar haina mikataba zaidi ya picha ya kuchanganya udongo kati...
Wakuu...angelikuwa ni kamanda Lema amefanya aliyoyafanya Rage.....
1) angekuwa yupo segerea saa hizi
2) Shimbo wa jwtz angekuwa ametoa tamko, huku vifaru vichakavu vya jwtz vikitoa moshi kwa...
Wakati uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga unakaribia vyama vya CUF na CCM vilitutangazia kwamba vitatumia helkopta kwenye uchaguzi huo. Na hii ndiyo ingekuwa kwa mara ya kwanza kwa CUF kutumia...
Na Maggid Mjengwa,
KUNA kisa cha bwana mfuga kuku aliyeshangazwa kwa kuku wake mwenyewe aliowafuga kumkataa. Alishangaa iweje kuku aliokuwa akiwapa pumba na mtama, wakala wakashiba, kisha...