Elections 2010 Halima Mdee, unahitajika Igunga

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,366
6,404
Waungwana,

Ni wazo langu jamani kwa Chadema, nadhani Ndugu Halima Mdee anahitajika kwenda Igunga kuwavuta akina mama ambao bado hawajaamua hata na wale ambao hawaeleweki
 
WildCard

JF-Expert Member
Apr 22, 2008
7,510
2,395
Hili la kufanyiwa kampeni na watu wengine kidogo linanikwaza kama lile la kuchangiwa ili ufanye harusi yako mwenyewe. Lingeishia kwa viongozi wa vyama pekee( kama alivyo Dr Slaa au Mtatiro au Mukama) ingekuwa afadhali kidogo. Lakini hili la WABUNGE kidogo linatia shaka. Uwezo halisi wa anayegombea unafunikwa kabisa na wabunge hawa maarufu. Matokeo yake tunapelekewa bungeni mizigo tu. Tutafakari kidogo.
 
You might be right anyway!! Tradition and experience states against you proposition. watu wamezoea hivyo. Nadhani duniani kote iko hivyo, pamoja na kuwa the dunia might be wrong also, maana katika sayansi hakuna wengi wape. WildCard sasa kama watu wanakuwa moved na ujio wa helicopter, wanapoteza watoto, lazima kwenda kama watu walivyo. But you are right.
 
Tunawaonea sana wapiga kura wetu kwa sababu ya elimu ndogo ya shule na uraia. Tunawapelekea hawa celebrities wa siasa, ze comedy, kwaya ya Komba, wanamuziki wa kizazi kipya basi. Mungu yupo. Ipo siku tutachaguana kikwelikweli.
 
Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,934
685
Waungwana,

Ni wazo langu jamani kwa Chadema, nadhani Ndugu Halima Mdee anahitajika kwenda Igunga kuwavuta akina mama ambao bado hawajaamua hata na wale ambao hawaeleweki

Halima Mdee yuko Igunga hii wiki ya pili. Wamewekwa vijijini yeye pamoja na wabunge wengine wa CDM kuhakikisha mambo hayaendi mrama huko ambako CCM hawafiki.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom