Baada ya kuona Watu walio wakodi kuja kushangilia Helkopta hawajafika wakahairisha safari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya kuona Watu walio wakodi kuja kushangilia Helkopta hawajafika wakahairisha safari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by silver25, Sep 28, 2011.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana CCM walifeli kama kawaida yao kufeli katika utekelezaji wa ahadi anazozitoa.
  Kawaida ya hawa Magamba ni kukodi watu na kuwapakiza kwenye makenta, Malori, mabasi, vibasi na marandcruiser, kwaajiri ya kujaza mkutano,, lakini jana ilikuwa Tofauti maana walijaribu kusubiri watu wajae bila mafanikio na hata watoto jana HAWAKUWA WENGI KIASI CHA KUAHILISHA KUTUA KWA HELKOPTA YAO WAKISINGIZIA GIZA ETI WATAPATA AJALI.

  HUKU WENZAO WAKITUA KWA KUSHANGILIWA NA WANAIGUNGA WOOOOTEEEE,, JAMANI IT IS THE TIME FOR CHANGE

  PEEEEEEEEEEPOOOOOOOOO ............................

  CCM wakiiba kura safari hii, sijui nisemeje
   
 2. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  tusubiri trh 3 tutajua akili za watu wa igunga ni old fashoned au wamepevuka after 50 years of independence.
   
 3. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah ninawasiwasi, lakini nikijaribu kufuatilia Kampaign naona Kama kuna matumaini ya wanaigunga kuonesha mfano kama walio ufanya nchini Zambia
   
 4. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Na wewe nae ni mmoja wa GT wa JF ? . Kama ndivyo ndivyo basi ni hasara kubwa kwa mtandao huu na taifa kwa ujumla ! Inatusaidia nn hii humu ndani ? . Halafu ndio utaona watu wanaipenda na kuichangia sana. Tuna safari ndefu sana !
   
 5. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunashukuru kwa taarifa mkuu, tuko pamoja.
   
 6. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,321
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  Aliyepewa kazi ya kuwasafirisha watu naye si mjinga amezitia ndani na kuingia mitini!!!!!!!!!!!
   
 7. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  sawa sawa
   
 8. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa mtaji huu inabidi urudi skuli.
  Enzi ya Mwalimu kulikuwepo na kisomo cha manufaa aka kisomo cha ngumbaru aka kisomo cha watu wazima.
  Unahitajika kwenda huko ukajipolish kuandika.
   
 9. e

  ebrah JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mungu ibariki Tanzania, wafungue na wanaiginga waijue kweli ili waweze kuwa Huru!
   
 10. Atubela

  Atubela JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 180
  Vipi limekuchoma au?????????? lako hilo babu.
   
 11. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Imenichona si kidogo.
  Ila bado arudi ngumbaru
   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  huwezi kutukokota kwenye safari yenu ndefu ya kutumbukia shimoni, hamna pa kuponea.
   
 13. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Tutaona kama watu wa Igunga wameanza kubadilika kama watu wa Kinondoni au bado wapo usingizini kama watu wa temeke.
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  nasikia wasoma huko ngumbaru, eti ni mwaka wa nne mfululizo sasa wafeli, una kicwa cha panzi bibie!! ndo mana huoni haya kuporomosha mash.uz.i.
   
 15. mtoto wa mfugaj

  mtoto wa mfugaj Senior Member

  #15
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni tarehe 2/10/2011.ni muda wa mabadiliko natumaini igunga wanalielewa hili
   
 16. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  kama kawaida yao, walishazoea kudhulumiana
   
 17. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  kesho kutwa wana Igunga amkeni..chugueni mtu makini, msije-mjuta kwa miaka 4...
   
 18. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mashuzi mabaya zaidi ni yale yatokayo mdomoni kwako. Hivi hao nzi wanao kuzunguka huwaoni?
  Hebu jichunguze afya yako hasa ya fikra.
   
 19. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bila kuwa na Wasaliti katika Nchi fulani au kundi fulani Neno usaliti lisingekuwa na Maana, na bila kuwa na watu wasiyoona katika Dunia hii basi neno Kipofu pia lisingekuwa na Maana,,, Kwasababu usipo jua umbali wa mahali fulani huwezi kuuongelea umbali huo Kaka,, na kama huwez ni bora ukae kimya au ukapige mswaki usije sababisha Harufu mbaya kwa wale wanao ujua umbali wa kile kinacho zungumziwa,
  Kama hujahusishwa sehemu basi ujue huusiki, na kama huhusiki basi kaa pembeni,, wana JF ni wastaharabu na si WATUMIA NGUVU KAMA WEWE UNAVYO TUMIA NGUVU, mimi ni mwana JF hata kabla yako.. Kajipange vizuri kisha UJE KUWATETEA WALIO KUTUMA
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ungetupa kafoto kama ingewezekan, tungefarijika. Lakini shukrani kwa taarifa. Mapambano kotekote.
   
Loading...