Elections 2010 Ushindi wa CUF Igunga ni Kulinda Kura

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada ya vyama vya CCM na CDM baada ya kukosa mvuto katika mikutano yao sasa wameanza kutumia Helkopta ili kupata mvuto kwa wagombea wake hata hivyo mgombea wa CUF amesema kama wao watakimbilia angani atawafuata huko huko ambapo kesho ataanza mashambuizi ya anga kwa Helkopta.
 
Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,990
4,502
Hivi wewe unafikiri kuwa na helikopta ndio kushinda? wakumbushe tu CUF wasimalize mafuta ya kurudia Dar maana baada ya matokeo helkopta inaweza kuwa mzigo msije mkaipakia kwenye fusso.
 
MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Cdm inawashabiki igunga,CUF inawapiga kura IGUNGA.Hii ndo inawatia kihoro CDM kuhusu CUF mpaka wanajitahidi kuvuruga kila mkutana wa CUF bila mafanikio.
 
RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
kutokana na kampeni zinazoendelea na kukubalika kwa mgombea wa CUF Leopold Mahona ni mambo ambayo yanayoonyesha ushindi wa wazi kwa mgombea huyo huku akiwa na kura za mtaji wa 11,321, ambapo baada ya vyama vya CCM na CDM baada ya kukosa mvuto katika mikutano yao sasa wameanza kutumia Helkopta ili kupata mvuto kwa wagombea wake hata hivyo mgombea wa CUF amesema kama wao watakimbilia angani atawafuata huko huko ambapo kesho ataanza mashambuizi ya anga kwa Helkopta.
Hizi ni kampeni uchwara! Hao ccm B hawana lao bara!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom