Elections 2010 Chadema itaangushwa Igunga

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa kutosha wakati ccm itatumia madiwani wake 24 ili kushinda katika mchakato huo! Kwa sababu madiwani wa ccm wanakubalika kwa wananchi! je kama wananchi wanamkubali diwani wa ccm ina maana hata mgombea wa ccm ndiye atakayeshinda tena kwa kuraw nyingi
 
Wishful thinking, mwana maghamba fisadi aliye temwa na CCM ni wa CCM kwa watu waelewa CCM imeoza kwa wote waliomo haifai kuchaguliwa na wana Igunga!!!!!!!!!!!
 
Wishful thinking, mwana maghamba fisadi aliye temwa na CCM ni wa CCM kwa watu waelewa CCM imeoza kwa wote waliomo haifai kuchaguliwa na wana Igunga!!!!!!!!!!!

lakini mkuu wakati mwingine tusome mada na kufikiri
je ni kweli cdm haina madiwani wa kutosha??tunaomba hili liwekwe peupe
 
Diwani mmoja anaruhusiwa kupiga kura ngapi? Mbona kwa Tundu Lissu mijinga mijinga Midiwani ni ya CCM lakini Mheshimiwa ni Chadema!
 
lakini mkuu wakati mwingine tusome mada na kufikiri je ni kweli cdm haina madiwani wa kutosha??tunaomba hili liwekwe peupe
yaani madiwani wa ccm watatumika kuwashawish wapiga kura kwa vyovyote vile wakianza kugawa chakula ijumaa na hatimaye ushindi
 
Tuache uvivu wa kufikiri hivi watakaopiga kura za kumchagua mbunge huko Igunga ni Madiwani au wananchi? au unadhani madiwani wanahaki ya kufikiri na kuchagua kwa niaba ya wananchi?
 
chama cha demokrasia na maendeleo(chadema)kinachoshiriki kugombea nafasi ya kiti cha ubunge iliyochoachwa wazi na rostam azizi wa ccm kitaangushwa vibaya kutokana na kutokuwa na madiwani wa kutosha wakati ccm itatumia madiwani wake 24 ili kushinda katika mchakato huo! Kwa sababu madiwani wa ccm wanakubalika kwa wananchi! Je kama wananchi wanamkubali diwani wa ccm ina maana hata mgombea wa ccm ndiye atakayeshinda tena kwa kuraw nyingi
green guard.................
 
Chadema kushinda igunga ni sawa na mende kuangusha kabati.
 
Kwa hiyo issue sio madiwani, ni njaa.....wakipewa mahindi na maharage kilo mbili mbili wanauza uhuru wao.
Kwa hiyo wanaigunga ni mazuzu kiasi hicho??
yaani madiwani wa ccm watatumika kuwashawish wapiga kura kwa vyovyote vile wakianza kugawa chakula ijumaa na hatimaye ushindi
 
mimi sihofii madiwani ila wasiwasi wangu ni kuchakachua kura.jamani sisim ni wezi,kwani walikoshinda wabunge wote wa cdm madiwani wengi maeneo hayo walikuwa wa cdm?????fanya tafiti upya,angalia hata arusha mjini tu kwani madiwani wengi ni cdm????
 
Back
Top Bottom