Katika kile kinachoonekana ni mpango wa maandalizi kwa ajili ya uchaguzi wa NEC ya CCM mwakani na uchaguzi wa Raisi na wabunge 2015 kuna maandalizi makubwa na yakutisha yameanza...
Kama siyokufuja pesa za walipa kodi nini?naomba hapa tuwekane wazi mimi sioni mantiki kwa vyama kutumia gharama zilizopitiliza kwa kukodi helkopiter kwa ajili ya chaguzi ndogo kama Igunga kwani ni...
Wingi wa matukio TZ unaifanya Tz kutokuweka vipaumbele kwenye mambo ya msingi, yapata miezi kadhaa baada ya kauli za dharula kutolewa zikilenga utatuzi wa tatizo la umeme miezi inazidi kusonga...
Ni miaka 50 ya uhuru ya Tanzania maji,umeme,ufisadi,mikopo kwa wanafunzi...e.t.c hvyo vyoyote vina2utafuna watu bdo wanaishi within $1 per day!! Miaka 50 ya uhuru ni ya kifisadi na kwa wale...
Waliitwa wapiganaji ndani ya CCM na wakawa ndio tumaini la CCM katika uvuaji magamba, je imetokea nini ? Mbona hawako Igunga kwenye uwanja wa mapambano na badala yake walioitwa mafisadi ndio...
Naanza kwa kumnukuu spika 'sasa nitawahoji wanaosema ndio......., wanaosema sio........., haya waliosema ndio wamepita walisema sio wameshindwa hoja imepita asilimia 100 kwa mia' haaaa...
Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli, jana alitumia mkutano wa kampeni kumpiga vijembe Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kuwa alivunja sheria za nchi alipopanda punda na kumtembeza kwenye...
Hukumu ya Dowans imetoka wakati Muafaka ambao kampeni za mwisho zinafanyika igunga, Wapiga kura wa igunga tambueni kuwa ubovu na ufisadi wa CCM na Rostam Azizi ndio uliopelekea taifa hili...
Tuanze sasa kujadili mambo ya siku ya uchaguzi Igunga.
Ni nani mwenye majina halisi ya vituo vyote vya kupigia kura. Nimeangalia kwenye website ya Tume ya Uchaguzi sioni badala yake naona jumla...
Katika hali ya kustaajabisha, wagombea wa CUF, CCM na CHADEMA wote ni Wakristo, lakini tumeshuhudia waislam wakihamasishana wasichague CHADEMA, sasa ingetokea mgombea wa CHADEMA angekuwa mwislam...
Leo hii polisi imegawa vipeperushi vyenye picha za ffu wakiwa wamekamata watu, na ujumbe unaosomeka "epuka aibu na fedheha, tii bila shuruti", "polisi tupo imara tutamshuguriki kikamilifu yeyote...
Niko Mza hapa, tunaishi mtaa mmoja na diwani wa Kitangiri. Nyumbani kwake kuna kundi kubwa mno la vijana pamoja na magari lukuki na Coaster ya kukodi ya Mukesh. Nilipouliza kuna nini, nikaambiwa...
Wadau kila nikitafakari nakosa muelekeo hasa kwa chama Tawala ambacho kimetawala Jimbo la Igunga tangu kupata Uhuru yaani 50 miaka, hawakupaswa kuhangaika kutumia Vyombo vya Angani, kuwahonga...
kilaza wetu maarufu baada ya kutua igunga amedanganya wananchi wa igunga eti macho ya dunia yako igunga
macho ya dunia ipi kama uchaguzi mkuu wa rais dunia haina habari
*Vyaanza kutumia helkopta kukamilisha kampeni zao
*Magufuli aunguruma, aahidi kutoa bajeti maalumu
*Rage apigwa faini 100,000/- kukampeni na bastola
Na Benjamin Masese, Igunga
VYAMA vya CCM na...
Naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kupitia TBC TV..
Kilichonisikitisha ni namna wanavyotangaza kuhusiana na uchaguzi mdogo wa igunga..wameonesha viongozi wa CDM wakipelekwa mahakamani na...