Hotuba ya mwisho wa mwezi.

msnajo

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
3,066
1,137
Wakuu salaam sana! Taratibu zilionyesha kuwa kila mwisho wa mwezi JK analihutubia Taifa. Miezi kadhaa cjaona hicho kitu, what went wrong? Was it JUST KIDDING(JK) as I saw from his FB pages?
 
Hakuna umeme, unategemea nini?

Kompyuta ikulu hazifanyi kazi kisa umeme
Ikiandikwa kwa mkono kwenye radio hatutasikia kisa hakuna umeme
ikioneshwa kwenye TV hatutaona kisa umeme

Hatutakuwa na hotuba mpaka hali ya umeme itakapo tengemaa
 
mimi nikiona tu sura yake kwenye TV naweka CD ya Rose Mhando so sijui lini huwa anaongea maana nikimsikiliza naweza pasua TV yangu bure labda akawahutubie Bagamoyo
 
Hana kipya cha kuwadanganya watanzania. Alisema uongo wote hadi akaishiwa kabisaaa.
 
Pole Mkuu! ikibidi hubidika. Yupo tu mpaka otherwise iamue.
mimi nikiona tu sura yake kwenye TV naweka CD ya Rose Mhando so sijui lini huwa anaongea maana nikimsikiliza naweza pasua TV yangu bure labda akawahutubie Bagamoyo
 
Kwanini asiombe hotuba mbadala kutoka kwa S.RWEYUMAN, msemaji wake mkuu. Haya matatizo yote tunayokumbana nayo, kweli hana jambo la kuzungumzia? Hii ni hatari mno, as if hatuna prezdaa hapa tz?
 
Ni matatizo ya kuiga. Anasema alijipangia badala ya kusema alimwiga Mkapa.

Vipi na ile ya kuulizwa na wananchi wake maswali? Hii ingekuwa safi siyo
 
Ni matatizo ya kuiga. Anasema alijipangia badala ya kusema alimwiga Mkapa.

Vipi na ile ya kuulizwa na wananchi wake maswali? Hii ingekuwa safi siyo

Kuhusu kuulizwa maswali nafikiri angetaman ardhi ipasuke. Kuhusu kuiga hotuba, alidhan ni swala kukurupuka bila reasoning! For sure, hatuna prezdaa watz
 
tatizo lenu wabongo, raisi wetu ni msikivu na mwelewa sana. Anatumia busara maana anajua sasa hivi hakuna umeme na wadau wote wako Igunga. Pia anajua kuwa hata watoto wa miaka mitano siku hizi wanajua 'mchele na pumba'
Hali ni tete kila kona ataongelea nini na kipi aache, huku maafa, huku ajali, huku uchaguzi Igunga.
Vasco Dagama yupo busy na safari
 
Back
Top Bottom