Elections 2010 Igunga:Polisi kukosa namba za kifuni sheria inasemaje?

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
34,430
2,000
Nimeangalia TBC1 taarifa ya saa 2 usiku huu Dr.W.Slaa akihutubia kwenye mku5 wa kampeni polisi wakiwa hawana namba vifuani mwao. Je tukichukua hatua mkononi watajiteteaje?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,297
2,000
Nimeangalia TBC1 taarifa ya saa 2 usiku huu Dr.W.Slaa akihutubia kwenye mku5 wa kampeni polisi wakiwa hawana namba vifuani mwao. Je tukichukua hatua mkononi watajiteteaje?

Watanzania bana kwa uwongo! Eti nimeangalia TBC 1 Polisi hawana namba kifuani.
Hayo maneno kasema Dr Slaa, kwa mtu anaetizama TV uwezi kuona kama polisi hawana ana namba kifuani, unajifanya wewe ndio umeona!
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Watanzania bana kwa uwongo! Eti nimeangalia TBC 1 Polisi hawana namba kifuani.
Hayo maneno kasema Dr Slaa, kwa mtu anaetizama TV uwezi kuona kama polisi hawana ana namba kifuani, unajifanya wewe ndio umeona!

Ha ha ha ha jamaa anafikiri yeye peke yake ndiye mwenye macho. Ona navyoumbuka sasa
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
34,430
2,000
Nimeona sana maana mimi situmii miwani kama wewe. Ila usijali waambie waache kuvaa namba hiyo jumapili ndio utausikia mziki wake.
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,297
2,000
Nimeona sana maana mimi situmii miwani kama wewe. Ila usijali waambie waache kuvaa namba hiyo jumapili ndio utausikia mziki wake.

Acha kamba wewe kwa taarifa yako namba za Polisi siku hizi zipo pembembeni ya mkono kwenye bega!
Ata mimi nimeangalia hiyo habari tena baada ya Dr Slaa, kuongea hayo maneno mtu wa kamera akamvuta Polisi kidogo uwezi kuona namba!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom