Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Kesho tarehe 27/08/2011, Ramadhan 27, Star Tv itarusha moja kwa moja kutoka MovenPick Hotel mdahalo kuhusu " ITIKADI ZA VYAMA VYA SIASA NA TANZANIA TUNAYOITAKA"
Mdahalo huo utahusisha wazungumzaji wakuu wafuatao
1.Bwana Mabere Marando, mwanasheria Kitaaluma na mwanachama wa CHADEMA.
2.Nape Nnauye wa ccm
3. Jussa Ladwa
wote mnaombwa kutune Tv zane ili kupata fursa ya kujifunza na kupanua wigo wa Mjadala juu ya ujenzi wa Jamii ya Kisasa hapa Tanzania yenye kuogopa na kukataa Ubakaji na Ulawiti wa raslimali zetu kwa Jina la siasa.

3. Jussa Ladwa<

MUDA WA KAWAIDA NDO SAA NGAPI MKUU?

Kiboko ya Nape ni John Heche. Marando atakuja mpa pressure huyo nepi

Saa ngapi?
Tunaruhusiwa kuhudhuria? Au ni discussion ya watu hao watatu tu?
Moderator ni nani?

waandaaji wadhibiti ile mijimama ya ccm isiyo na hoja kazi kuzomea au kushangilia hoja zinazokinzana waziwazi na tanzania tuitakayo. pia watu wajizuie kuwa ki-chama chama.

Tunashukuru lakini mkuu ujumbe wako umekosa explicity ya kutosha.ie umebaki tu unaelea...why?,where? and when? ni mambo yanayotakiwa kwa pamoja yaonekana kwenye briefing yako

Kesho tarehe 27/08/2011, Ramadhan 27, Star Tv itarusha moja kwa moja kutoka MovenPick Hotel mdahalo kuhusu " ITIKADI ZA VYAMA VYA SIASA NA TANZANIA TUNAYOITAKA"
Mdahalo huo utahusisha wazungumzaji wakuu wafuatao
1.Bwana Mabere Marando, mwanasheria Kitaaluma na mwanachama wa CHADEMA.
2.
Nape Nnauye wa ccm
3. Jussa Ladwa
wote mnaombwa kutune Tv zane ili kupata fursa ya kujifunza na kupanua wigo wa Mjadala juu ya ujenzi wa Jamii ya Kisasa hapa Tanzania yenye kuogopa na kukataa Ubakaji na Ulawiti wa raslimali zetu kwa Jina la siasa.

KWENYE BOLD KWANI HUYO JAMAA YUPO HAPA TANZANIA, Maana nina muda mrefu sijamuona kwenye media?

Kama alivyosema mleta mada itakua MovenPick : muda ni kuanzia saa7:20 usiku hadi 9:20 usiku wakuu,kama unataka ushiriki kuna number wanatangaza mara kwa mara kwa yeyote atakaetaka kushiriki ila number ya sim sikuimeza wakuu na mara nyingi hili tangazo wanalitoa Star tv.

Kama muda ni kuanxia saa Saba usiku mpaka saa Tisa usiku, lazima watakaojaa kimahudhurio ni Walinzi wa usiku a.k.a Kolokoloni na Waanga. Msalimieni Shehe Yahaya mnaweza kuwa nae muda huo

Jussa Ismaili Ladhu ni Naibu katibu mkuu cuf Zanzibar, huyu kijana namfagilia sijui nape atapitia wapi!

Mdahahalo wa itikadi za kisiasa leo kuanzia sa moja usiku statv kati ya Nauya CCM,Mabere CHADEMA,Ismail CUF,'kama NGELEJA ataruhusu'

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom