CCM - kwa nini mnataka kushinda kwa nguvu tu huku mmepoteza umaarufu nchini?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
225
Hili swali huwa najiuliza kil siku, kwa nini CCM huwa inataka kushinda kwa haramu katika chaguzi wakati kila mtu anajua kwamba imeshapoteza umaarufu mkubwa kwa wananchi? Na inazidi kupoteza kwa sababu haijirekebishi, mfano katika ufisadi, bali ni usanii tu?

Kwa nini CCM wanataka kulazimisha ushindi na kuanzisha machafuko. Kwa nin polisi na vyombo vya dola vitumiwe na CCM hili hali vinajua machafuko yaweza kutokea? Kwa nini........?
 
isitoshe muda mwingi wanatumia kugombana wenyewe kwa wenyewe tu -- kugombania ulaji. Kweli wananchi wamewachoka magamba kwa maovu yenu hayo. Hivi hamfanyi tathmini ya kina mkajua hilo? Nyie watu wa ajabu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom