Elections 2010 Magufuli ajiingiza mtego wa magamba Igunga

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Katika kitu ambacho hakukishitukia mapema Bwana Pombe Magufuli ni kuingizwa mtegoni na magamba katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea Igunga kuanza kuropoka kama Mukama.

Bwana Pombe ameingia katika mtego kwa kutoa ahadi zisizokuwa na kichwa wala miguu eti ahaeweza kuingia kila wizara ni mgombea wa ccm pekee na si wa vyama vingine na kujifanya yeye Shehe Yahya kwamba Kafumu atakuwa Waziri.

Jamani huyu bwana Pombe hajui kama shida za barabara zimeletwa na CCM na yeye mwenye kama Waziri anaesimamia barabara, yaani kajishusha sana kuliko kawaida.

Sasa amebakia kuimba tu na kundi la TOT na kuwaburudisha watoto akishirikiana na Hadija Kopa na Komba.

Ajipime maneno anayoyaongea wakati wa kampeni maana sasa ameingia katika kundi la walewale wasiojua saubuhi wala jioni.

Nawasilisha kwa wanaJF.
 
Mimi huwa nawashangaa saaaana wanaomsifia huyo jamaa. Binafsi jinsi mfumo ulivyojisokota ndani ya CCM na serikali yake, sitegemei chema chochote kitoke CCM. Huyu Magufuli ni msanii mzuri sana. Mimi napendekeza wapenda ukombozi wa nchi hii kamwe wasisike kumsifia huyu Bwana. Hakuna kitu hapo.
 
kweli anajiabisha eti atajenga daraja la mbutu kwa pesa za ccm kwa bajeti gani? Kwanini leo alikuwa wapi siku zote?,,,,,vichekesho gani tena bwana magufuli nenda kavunje mabango na nyumba zilizojengwa kwenye hifadhi za barabara
 
Eti anahidi kujenga madaraja na barabara kipindi hiki cha kampeni...........ni honyo kabisa! Wanaigunga nanyi embu amkeni na na usitukieni huo uwongo wa mchana kweupeeeeeeeee!
 
Katika kitu ambacho hakukishitukia mapema Bwana Pombe Magufuli ni kuingizwa mtegoni na magamba katika kampeni za uchaguzi zinazoendelea Igunga kuanza kuropoka kama Mukama.

Bwana Pombe ameingia katika mtego kwa kutoa ahadi zisizokuwa na kichwa wala miguu eti ahaeweza kuingia kila wizara ni mgombea wa ccm pekee na si wa vyama vingine na kujifanya yeye Shehe Yahya kwamba Kafumu atakuwa Waziri.

Jamani huyu bwana Pombe hajui kama shida za barabara zimeletwa na CCM na yeye mwenye kama Waziri anaesimamia barabara, yaani kajishusha sana kuliko kawaida.

Sasa amebakia kuimba tu na kundi la TOT na kuwaburudisha watoto akishirikiana na Hadija Kopa na Komba.

Ajipime maneno anayoyaongea wakati wa kampeni maana sasa ameingia katika kundi la walewale wasiojua saubuhi wala jioni.

Nawasilisha kwa wanaJF.
Hizi habari mkahadithiane vijiweni mwa chama chenu.
Kama akilo yako ni fupi hivyo basi ujue kuwa potentoal ya Dr Kafumu kusonga mbele ni kubwa kuliko jamaa yenu Kashindye.
Common sense pipoooz.
Hapa kwa mtoa sredi kuna reasoning capacity ya chekechea
 
Jipange kwanza, eti na Wassira kawaahidi kuanzia mwezi ujao wataanza mradi wa kuvuta maji toka ziwa victora mpaka Igunga, yaani CCM wanawafanya wanaIgunga kama vifaranga wa ndege vile, lakini imekula kwao kwani watu wameamka sasa!!!
 
Eti anahidi kujenga madaraja na barabara kipindi hiki cha kampeni...........ni honyo kabisa! Wanaigunga nanyi embu amkeni na na usitukieni huo uwongo wa mchana kweupeeeeeeeee!

Huo si uongo, hiyo ni rushwa ya waziwazi.

Ni bahati mbaya kwamba hata hao waliopewa majukumu ya kupambana na rushwa wanaipamba, vinginevyo sasa hivi magufuli alitakiwa kuwa ndani.
 
Hivi Magufuli si ni Waziri...??
Sasa huko alipo yupo likizo au...?
au analipwa pesa kufanya kampeni
 
mwigulu ni mwizi ,muongo mla rushwa na anadaiwa chupi ya mke wa sheikh farid aliyokimbia nayo peak hotel mjini igungA
 
Magufuli I give you 0 perc -SIFURI.....HOPELESS MAGUFULI.................................................OOOOOOO
 
Magufuli hizo ahadi zake ni rushwa ya wazi, anaitumia nafasi yake uwaziri vibaya, pia atasababisha serikali iingie gharama nyingine ya kurudia uchaguzi; kwani kama mgombea wa ccm atatagazwa mshindi, huu ni ushahidi tosha wa mahakama kuufuta ushidi wa Kafumu. Hawa vingozi wetu wanatakiwa kuwa wangarifu wanapokwenda kwenye kampeni waende bila kutumia nyadhifa zao.Pia kitendo cha kila kiongozi kudai katumwa na Rais, huu ni upuuzi na ni kumdharilisha rais hapo matokeo yatakapokuwa kinyume na matakwa yao.
 
Nimemsikia Pombe akiwaambia wana Igunga kwamba huko kwao Chato amepita ubunge mala 15 bila kupingwa!sijui alimaanisha nini huyu jamaa!Inamaana tuamini kwamba Pombe amekuwa mbunge wa Chato kwa miaka 75?
 
siasa ni mchezo mchafu usipokuwa makini unajimalkza mwenyewe. Magufuli anajifunga gori mwenyewe.
 
Hizi habari mkahadithiane vijiweni mwa chama chenu.
Kama akilo yako ni fupi hivyo basi ujue kuwa potentoal ya Dr Kafumu kusonga mbele ni kubwa kuliko jamaa yenu Kashindye.
Common sense pipoooz.
Hapa kwa mtoa sredi kuna reasoning capacity ya chekechea

Potentiality ya Dr Kafumu ipo katika kuendeleza ufisadi wamadini yetu mara tu akipata wadhifa wawaote kama amabvyo amekuwaakifanya wakati wote. Ni bora tumaopate Kashindye akishiriki kutatua matatizo ya waalimu na sekta ya elimu kwa ujumla
 
Back
Top Bottom