Ruge naye anazimikia mapigo ya CHADEMA?

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
ruge-nguo.jpg Jamani hii sio Magwanda ya CHADEMA? Kumbe hata Ruge naye anayapenda magwanda ya Chadema!! Kwli hizi gwanda zimekuwa chati siku hizi!!!

Nawasilisha JF.
 

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,161
3,004
Wacheni kuidharaulisha Chadema.Watu wengine wanajivunia kuvaa magwanda.Kwa yeye ni nani mpaka mumlazimishie?
 

Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,202
812
Hakuna mtu asiye ipenda CHADEMA, wengi hawataki kujionyesha kwa sababu za usalama wa biashara zao.
Baba wa Taifa mwenyewe alikuwa anapenda kupiga hizo gwanda akienda kukakugua shughuli za maendeleo vijijini-Angalia TBC1.
 

oldonyo

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
549
86
Uyo kibalaka tu afu wanafanya kazi kwa kutetea matumbo yao kwa kuwanyenyekea magamba
 

Sambega

Member
Jul 6, 2011
68
16
Ruge ni mnafiki na mzandiki,ila baada ya kusoma alama za nyakati sasa anajaribu kuonesha anawapenda magwanda kwa vitendo, huku akikiponda kwa maneno ili magamba wasimshtukie,namshauri asiwe ndumilakuwili.
Ila kuna m p u u zi mwingine anaitwa E. Kibonde yeye bado anawang'ang'ania magamba kwa nguvu zote,kwakuwa jina lake ni kibonde ni ngumu kwa yeye kusoma alama za nyakati,muurumieni tu,ni kilaza huyu.
 

Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
10,074
5,630
Hana lolote huyu, magamba pure...asingemruhusu kibonde aongee pumba anazo ongeaga kwenye radio yake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom